Hapo watakuwa wanakosea sana,
Linapokuja suala la kujenga nchi sote yatupasa kuwa pamoja
Bwana yako zzk kashikwa makalio unajamba wewe!
Hapo watakuwa wanakosea sana,
Linapokuja suala la kujenga nchi sote yatupasa kuwa pamoja
huu ni mtazamo tuh,
THE BIG SHOW
Ni kama unaona kitu vile lakini unajivika miwani ya mbao kuzuia taswira.
Hayo maneno yako(bolded in red) unakubali kuwa mifumo hiyo inafanana(kwa maono yako) na pia unakubali mfumo huo unazuia vibaraka na tena unakiri mwenyewe kuwa ni mfumo mzuri.
Swali: Kama umekubaliana na hayo yote kwa nini iwe ni sawa(mzuri) kwa Ayatollah wa Iran lakini tena si sawa kwa Mtei wa CHADEMA?
Bavicha wataporomosha matusi hapa mpaka hii thread itafungwa!
Mzee Mtei ni muasisi wa Chadema.Kama muasisi ana haki ya kutoa ushauri juu ya nani aongoze chama na nani asiongoze!Nadhani mmesahau kuwa muasisi wa CCM ,the late J.K.Nyerere aliwahi kumuondoa J.Kikwete kwenye kinyang'anyiro cha urais dhidi ya B.Mkapa akisema 'hajakomaa'!Na mpaka leo hii wanaCCM wanawekewa CD za sauti yake waisikilize ushauri wake kabla ya kufanyika uchaguzi wa viongozi wao!
Labda tupeni tofauti ya uasisi wa J.K.Nyerere na ule wa E.Mtei.
MAGAMBA MNA WIVU WA KIKE!
Bwana yako zzk kashikwa makalio unajamba wewe!
Hivi mnajua siku ya kwanza kabisa mtu na mkwewe wanapanga kuanzisha chama walikuwa na vision gani? Mkijua hilo ndio mtajua mko sahihi ama lah. Ukute aidia ilianzia sebuleni, tena nyumbani kabisa wakiwa wanapata kahawa, wakapanga na mission ya kusaidia kufanikisha vision yao. Leo vyasaka mnataka nini??? Kiruuuu
Labda nyie hii inahusu mapinduzi ya kuing'oa shishiemu, wakati wenzenu labda ni family matter, tena yenye sentimemtal values za hali ya juu, na labda warithi ni wajukuu. Haka kama sio na uhusiano vile, lazima awe anayeweza kushikiwa rimoti bila chenga. Wao watashika rimoti, yeye ni actons tu hii haaa puuf puuf, dishwaa dishwaaa.
Raha ya mdumangu uuanzie mwanzo, ukikubeba juu kwa juu unapotea wewe.

View attachment 123236View attachment 123236Hawa Wazee wanamatumaini makubwa sana na Chadema , tusifanye Propaganda zenye kufifisha ndogo za Wazee hawa.
mbona hii ipo hata kwenu hujui husen mwiny anandoto ya kua rais au huku msikia januar makamba na ndoto ya urais au hufaham serikal ijayo riz moko anakamata uwazir hahahaha nyan haon kundule bwana anaona la mwenzake
Usitake kuwatoa watu nje ya hoja kuu,
Na siku zote usitake kutangaza vita na watu wasio kuwa na hatia na wewe,
Mada io hapo juu,jadili kwa hoja
CHAMVIGA
Acha ujinga, NENDA CCM muendelee na ujinga huohuo kama hawatawatoa uhai wenu..upu mpu bafu kabisa
Sitashangaa usiponielewa lakini nyinyi ndio maadui halisi wa Chadema!
Shukrani sana Mkuu,
Swali lako zuri,na naomba nikujibu kama ifauatavyo...
MFUMO ULE NI MZURI NA UNAWAFAA WAIRAN NA AYATOLLAH ALKHEMENEI KUEPUKA KUINGIZA MAMLUKI WA KIMAREKANI NA PIA NAKIRI MFUMO ULE NI MZURI KWA CHADEMA KUUTUMIA KUEPUKA KUINGIZA MAMLUKI KUTOKA CCM NA KADHALIKA,
LAKINI CHADEMA ENDAPO IKICHUKUA NCHI NA MWENYE SAUTI AKAWA AYATOLLAH - MTEI,NCHI HII ITAONGOZWA KWA KIAS KIKUBWA NA USHAWISH KUTOKA KWAKE NA KANDA ILE,
KWAIYO UTAKUJA KUONA KWAMBA MFUMO HUO NI IMARA KWA CHADEMA NA UNAWAFAA,LAKINI KWA UPANDE WA PILI MFUMO ULE NI M'BOVU KWA SUALA LA KITAIFA KWA UJUMLA,
NADHAN UTAKUWA UMENIELEWA,
HIMA SASA TUUNGANE KUMSHINIKIZA AYATOLLAH MTEI,AONDOKE NA KUKIACHA HURU CHAMA CHA CHADEMA KWA WANANCHI...
Iran utaratibu ule unawasaidia kama nchi kuepuka kuingiza nchi kwenye umamluki wa marekani,ndio kwa maana ayatollah amepewa nafasi na sauti ya kusema,
Pia CHADEMA UTARATIBU HUU UNAWASAIDIA SANA,KWA MZEE MTEI KUWA NA USHAWISH NA NGUVU NDAN YA CHAMA SIO MBYA,INAWASAIDIA KUEPUKA CHAMA HIKO KUINGIZA MAMLUKI WA MAFISADI WA CCM,
JE,TUKIJAALIA HII NCHI WAKAICHUKUA CHADEMA,HATUONI KAMA TUTAKUWA TUMEWEKA REHANI KUWA MAAMUZI YATAKUWA YANATOKEA UPANDE FLANI,NA SIO MAAMUZ YA KITAIFA??
MZEE MTEI AKAE KANDO KABISA NA SIASA ZA CHADEMA ILI WATANZANIA WAKIPE IMAN YA UHAKIKA CHAMA HIKO
Siyo kweli,
Muasisi wa CCM siyo nyerere,walikuwa wengi,ila nyerere alichaguliwa kama kiunganish wa taifa,
Hata hivyo nyerere hakuongoza chama kwa mfumo ukanda na ukabila