Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
naunga hoja mkono 100% atakayekuja hapa kupinga anakaribishwa na sio kwa matusi aje na critical facts kupinga hii kitu!!
JITAMBUE KWANINI WATU WALIHITAJI MTONYO WA ZZK warekebishe mahesabu?
 
lengo chadema kuwa na mfumo kama huo ni kujiengea utaratibu wa kula hela na kutawala milele watu wa kutoka upande mmoja kitu ambacho ni sumu kubwa kwa ustawi wa demokrasia.

Hapo watakuwa wanakosea sana,

Linapokuja suala la kujenga nchi sote yatupasa kuwa pamoja
 
kwanza jaribu kuwa makini kwenye uandishi wa maneno yako,"mfano, RASI si sawa na RAIS ", pili, kwani katiba ya tanzania na iran ni sawa?
 
Uko biased mkuu, so huwezi ukawa muamuzi mzuri, more or less unataka wazo lako ndo lifuatwe mtu akienda kinyume unaishia kumwambia hana hoja, very bad

Mkuu, lete hoja tujadili.

Je, unaunga mkono tabia ya kutonyana ili mahesabu yarekebishwe?
 
Hivi mnajua siku ya kwanza kabisa mtu na mkwewe wanapanga kuanzisha chama walikuwa na vision gani? Mkijua hilo ndio mtajua mko sahihi ama lah. Ukute aidia ilianzia sebuleni, tena nyumbani kabisa wakiwa wanapata kahawa, wakapanga na mission ya kusaidia kufanikisha vision yao. Leo vyasaka mnataka nini??? Kiruuuu

Labda nyie hii inahusu mapinduzi ya kuing'oa shishiemu, wakati wenzenu labda ni family matter, tena yenye sentimemtal values za hali ya juu, na labda warithi ni wajukuu. Haka kama sio na uhusiano vile, lazima awe anayeweza kushikiwa rimoti bila chenga. Wao watashika rimoti, yeye ni actons tu hii haaa puuf puuf, dishwaa dishwaaa.

Raha ya mdumangu uuanzie mwanzo, ukikubeba juu kwa juu unapotea wewe.
LMAO.....umenichekesha sana it seems so mkuu watu wanaweza wakawa wana focus katika mtazamo wa taifa kumbe mzee mtei aliweka malengo ya saccoss yake!!
 
Turinge BAYOYO...............Turinge BAYOYO..................in GREEN in BLUE and in RED
graphics-dancing-883525.gif
 
Kwa muktadha huu hata mwanachama/kiongozi akifanya kosa aonewe aibu tu ili 'kina THE BIG SHOW'' wakipende chama na kukipigia makofi kwamba hakifuati ya akina Ayatolla?
 
Last edited by a moderator:
naunga hoja mkono 100% atakayekuja hapa kupinga anakaribishwa na sio kwa matusi aje na critical facts kupinga hii kitu!!
JITAMBUE KWANINI WATU WALIHITAJI MTONYO WA ZZK warekebishe mahesabu?

Swadakta kabisa
 
Hivi mnajua siku ya kwanza kabisa mtu na mkwewe wanapanga kuanzisha chama walikuwa na vision gani? Mkijua hilo ndio mtajua mko sahihi ama lah. Ukute aidia ilianzia sebuleni, tena nyumbani kabisa wakiwa wanapata kahawa, wakapanga na mission ya kusaidia kufanikisha vision yao. Leo vyasaka mnataka nini??? Kiruuuu

Labda nyie hii inahusu mapinduzi ya kuing'oa shishiemu, wakati wenzenu labda ni family matter, tena yenye sentimemtal values za hali ya juu, na labda warithi ni wajukuu. Haka kama sio na uhusiano vile, lazima awe anayeweza kushikiwa rimoti bila chenga. Wao watashika rimoti, yeye ni actons tu hii haaa puuf puuf, dishwaa dishwaaa.

Raha ya mdumangu uuanzie mwanzo, ukikubeba juu kwa juu unapotea wewe.

Nimekusoma kwa undan sana,

Shukran sana
 
lengo chadema kuwa na mfumo kama huo ni kujiengea utaratibu wa kula hela na kutawala milele watu wa kutoka upande mmoja kitu ambacho ni sumu kubwa kwa ustawi wa demokrasia.

CCM ina viongozi waisalamu wa miaka kumi sas hilo tunasmaje
 
lengo chadema kuwa na mfumo kama huo ni kujiengea utaratibu wa kula hela na kutawala milele watu wa kutoka upande mmoja kitu ambacho ni sumu kubwa kwa ustawi wa demokrasia.

Umemaliza kila kitu. Sina cha kuongeza...
 
Hakuna haja ya kupatwa na jazba,huu ni mtazamo tuh,kama unaona una kukwaza unaweza ukapuuza,ila tuambiane ukweli
 
Hoja ya AYATOLLAH ALKHAMENEI,YULE SUPRME LEADER WA IRAN NA JINSI WANAVYOENDESHA DEMOKRASIA YAO NAIFANANISHA MAJA KWA MOJA NA CHADEMA,NASEMA HIVYO KWA SABABU,

1.AYATOLLAH ALKHEMENEI.,yeye yupo juu,rais,mwnyekiti wa chama,bunge na mahakama vyote vinaripoti kwake,

Chama na bunge hawawez kupitisha jina la mgombea urais wa nchi ile bila baraka wala idhin ya YATOLLAH ALKHEMENEI KWA KUOGOPA KUWEKWA KWA MAMLUKI AU VIBARAKA WA MAREKANI KWENYE UTAWALA WA SERIKALI YA IRAN HASA KWENYE KIPINDI KAMA HIKI AMBACHO WANAPAAMBANA NA SIASA KALI ZA ISRAEL NA MAREKANI,HUSUSANI SUALA ZIMA LA NYUKLIA NA UONGOZ KWA UJUMLA,,Utakuja kuona kwamba MAHMOUD AHMEDNIJAD RASI ALIEMALIZA UTAWLA WAKE ALIKUWA MTIIFU KWA SYSTEM YA AYATOLLAH,WATU WAKADHANI KWAMBA KUJA KWA HASSAN ROUHANI RASI WA SASA WA IRAN BASI HATOKUWA MTIIFU KWA MFUMO ULE,HALI HAIKUWA HIVYO KWANI ROUHANI ALIPOINIA ALIONEKAN KUWA MODERATE TOFAUTI NA NIJADI LAKIN WOTE NI WALE WALE,WOTE WANAPOKEA AMRI KUTOKA KWA SUPREME LEADER KWA KILA HATUA..

Utaratibu ule ni mzuri kwa wairan na unawafaa kuogopa kuingizwa kwa mamluki wa kimarekani ndan yataifa lile,

#TEAM ZITTO...

THE BIG SHOW

Ni kama unaona kitu vile lakini unajivika miwani ya mbao kuzuia taswira.

Hayo maneno yako(bolded in red) unakubali kuwa mifumo hiyo inafanana(kwa maono yako) na pia unakubali mfumo huo unazuia vibaraka na tena unakiri mwenyewe kuwa ni mfumo mzuri.

Swali: Kama umekubaliana na hayo yote kwa nini iwe ni sawa(mzuri) kwa Ayatollah wa Iran lakini tena si sawa kwa Mtei wa CHADEMA?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom