Muafaka CCM, CHADEMA waiva

In short hujui historia ya mgogoro wa CUF na CCM tuongee mengine.
 
Kobs, it doesn't matter who started what, I'm saying CCM is dancing CDM tunes whether in Jahazi or whatever as u can see CCm makes it its sole mission to out do what CDM says or does

Important qn to ponder, u run the govt, can u just get back in line and start to deliver? If u r tasked with overwhelming task of ensuring us citizen tunapata maisha bora, we definetly wouldn't expect u to rush to cover everytime CDM whistels(sp)

Start to deliver! Thts all we ask of u, siasa za muchafuana waachieni wana mipasho

CDM suck big time yeah rite! Ok so wht is CCm now? A sweet pill to you ? Pls get a life....its abt time honestly...after ule msururu wa ahadi za JK mmetimiza mangapi? Do u guys measure ur perfomance based on your members numbers?

Acheni kuhangaishwa na theluthi tu ya wabunge kama watu wasio na hekima, mlitakiwa muanze kuchapa kazi sio kila siku u waiting to thrash every word coming from CDM , mnakera mpaka mwanangu wa mwisho anajua
 

...Kwa ushauri tu...Wakati Mwingine Kukaa Kimya Ni Busara, hizi ni dalili za kufikia mwisho wa uwezo wa kufikiri, jitahidi sana kuongeza bidii ya kufikiri, itakusaidia sana....
 
Usiwe unakurupuka kama unapenda kuwa mchangiaji kuwa mfuatiliaji pia. Maelezo ya Mtoa mada, Nauye na Dr Slaa ukiyafuatilia unajua dhairi mgogoro mzima
 

Nape,
propaganda kama hizi kwa mtu mwenye nafasi kubwa kama yako ndani ya chama kinachoongoza dola ni hatari kwa afya ya nchi yetu. Utaleta machafuko. Just ushauri tu.
 

mkuu! nataka nijue, hivi mary chatanda alikuwa keshaateuliwa na chama chake kama muwakilishi arusha au walimteua baada ya uchaguzi wa mayor? ufahamu mdogo niliyonao ni kwamba alikuwa hajathibitishwa kuwa muwakilishi wa mkoa wa arusha though tayari alikuwa mbunge wa viti maalum, nakumbuka CDM pia walimteua mama komu kama sikosei kuwa muwakilishi wa arusha japo anatokea DSM,
 
Thanx....we have the government too!!......mkitaka kuingia kitaa it's all good,tutachapana vilevile.
Yes you have it. Hizo bunduki haziwezi kuwapiga nyie!!!!!!

Serikali inayojua tu kuthibiti wapinzani lakini wauza mafuta wameiweka mfukoni. Serikali ambayo Katibu Mkuu kiongozi anatolewa kafara na Rais mshikaji, serikali ambayo Waziri Mkuu anapishana na Rais wake, serikali ambayo Waziri wa sheria na katiba na Mwanasheria wanatamka kile walichoagizwa na bosi wao lakini yeye akiwa amesoma alama za nyakati anakuja kuwageuka, serikali ambayo inamuogopa Lowassa, dunia inajua na watanzania wanajua!!!!!!!!!

Yes, hou have the government of the people by the people for the people! Congratulation Bro
 
Nawashukuru Dr. W. Slaa kwa muda wako na kuweza kuchangia kwenye mada hii. Na ninamshukuru Nape Nnauye kwa muda wake na kuweza kutoa mchango wake kwenye mada hii.

Ninachokisoma hapa ni pamoja na kupata picha ya viongozi tulionao. Nape anaonyesha hayuko tayari kusema ukweli na kuuzungumzia, naelewa kwamba kwa nafasi yake kuna mambo hawezi kuyaongelea hadharani mpaka apewe ok, ingekuwa busara akubali kuwa bado hajafikishwa na wakubwa zake na akipatiwa atalitolea maelezo. Si kweli kwamba CCM hawana barua ya Tendwa ila swala iko mezani kwa kanani hilo linawekana.

Unapokuwa kiongozi lazima ukubali kutumia kwanza elimu busara na hekima kuwatumikia watu wako na kuongea nao. Ukiwa kiongozi wa juu unayoheshima mbele ya jamii, na ni wewe mwenyewe unaiporomosha kwa matendo, maneno na uongozi wako.
Watanzania wa leo wanajua kusoma na kutafiti na kutafuta ukweli.

Swala la Arusha linamushkeli, hilo halina ubishi. Ni kazi ya CCM kukubali kuwa ule uchaguzi ulikuwa unamatatizo. Ndio kuna swala la Chatanda ambolo hata katiba hailizungumzii sana inawezekana huu ukawa muda wa kuliingiza kwenye katiba ili kujua mipaka ya kazi ya wabunge wa viti maalumu. Na swala la taratibu kanuni na sheria za uchaguzi wa Meya ulikiukwa. Sasa hapa kinahitaji maelezo. Nape aeleze kama taratibu zilifyatwa zilifuatwa ni vipi na atueleze taratibu ni zipi? Na kama taratibu hizi ni uniform au kila manispaa au jiji kuna zake.

Dr Slaa ameonyesha ni wapi kuna matatizo na amejaribu kutoa ufafanuzi wa nini wao wanakihitaji.

Naomba viongozi wawe na ngozi ngumu na waache kutumia lugha za mitaani kwani sisi wananchi tunawategemea kutukomboa, mkiwa kwenye vyombo vya habari pamoja na JF tunahitaji mtupe elimu ambayo tunaihitaji. Ukiwa kiongozi halafu ukija hapa na lugha za kashfa kweli unajishushia heshima. Kumbukeni wananchi wanamaisha magumu sana na wanaona ugumu huu chanzo ni viongozi waliopo madarakani. Ukiwa unatumia kodi zetu na kushindwa kujibu hoja zetu huku ukijifanya una-panic haraka na kurusha lugha mbombovu unatufanya tuhoji uwezo wako wa kufikiri, kwani tunakulea na kodi ili usiwe na akili ya njaa na kukufanya mwehu.

CCM ni wakati wa kutoa elimu na kujibu maswali magumu kwa busara ili tuelewe. CDM wanafanya kazi yao vizuri kuelimisha jamii. Serikali nyingi zimeingia kwenye machafuko baada ya viongozi kujiona miungo watu na kuanza kudharau wananchi. Tutumie busara kabla wananchi hawajalazimisha busara itumike.
 
haya wakubwa, mie nasubiri mambo yaive. lakini niseme kweli nape kama kijan, ananidudhi na ni mtu anayefirikiria maslahi zaidi kuliko kuwa msimamia haki na mwana harakati wa kuiletea tz maisha mazuri.

Ikumbukwe kuwa, NAPE alileta fujo sana na akatishia kijiondoa chamani. kwa kuwa niwakujali maslahi, alipewa ukuu wa wilaya huko mkoani mtwara, NAPE alitulia kwani sasa njaa iliisha. Kwa sasa ni katibu wa majungu CCM, anachoangalia ni tumbo lake tu, huku taifa likiendelea kupotea.

nape kama kijana, nakupa pole KWA KUWA UMESHINDWA kuitetea jamii ya kitanzaia
 
If CCM is dancing CDM tunes, why blame it for the hardships that Tanzanians are facing right now? All you guys have been advocating is lowering taxes and putting NMB and Airtel in DSE.
You promised free education for all but in your budget, you never showed us how exactly you gonna generate the money to fund that promise.

You never came with a solution on how we gonna end the energy crisis,apart from recycling and fine tuning CCM policies.
You don't have a foreign policy,other than hugging conservatives and Christian Democrats,the advocates of imperialism.
As a party,you dont pay taxes and your leaders openly disobey court orders.
You prefer backdoor negotiations to the rule of law.....why? Why are you guys so local?...Trying to reach out to CCM and make deals instead of going to court.
You are a party that was founded by IMF/WB puppets who don't believe in public ownership of anything,and today just to get the votes, you are acting as if the free market system,SAP and other imperialistic policies are to blame while you were siding with the west when we were trying not to fall victim to those policies.....what happened? Loist interest all of a sudden?

There's a movement, and that movement is within CCM.It's pure socialism that is gonna put our country back on the map.We are gonna work from the inside, and I believe we gonna change CCM and bring about real social and economic changes, but we will never, never be led by CDM.

That was not a promise, IT'S A GUARANTEE!!!
 
hay wakubwa, mie nasubiri mambo yaive. lakini niseme kweli nape kama kijan, ananidudhi na ni mtu anayefirikiria maslahi zaidi kuliko kuwa msimamia haki na mwana harakati wa kuiletea tz maisha mazuri.

Ikumbukwe kuwa, NAPE alileta fujo sana na akatishia kijiondoa chamani. kwa kuwa niwakujali maslahi, alipewa ukuu wa wilaya huko mkoani mtwara, NAPE alitulia kwani sasa njaa iliisha. Kwa sasa ni katibu wa majungu CCM, anachoangalia ni tumbo lake tu, huku taifa likiendelea kupotea.

Nape kama kijana, nakupa pole KWA KUWA UMESHINDWA kuitetea jamii ya kitanzaia
 
Nape,
propaganda kama hizi kwa mtu mwenye nafasi kubwa kama yako ndani ya chama kinachoongoza dola ni hatari kwa afya ya nchi yetu. Utaleta machafuko. Just ushauri tu.
That is the problem,right there!!!
 

...CCM walimpangia Mary Chatanda kufanya kama diwani katika halmashauri ya Arusha na kumtaarifu Mkurugenzi wa Wilaya kama sheria inavyotaka kabla ya uchaguzi wa Meya, na baada ya CCM kufanya hivyo na kudhibitishiwa kuwa ni halali kisheria, ndipo CHADEMA nayo ikawateua Grace Kiwelu na Lucy Owenya wasio wakazi wa Hai kwenda kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Hai kuongeza idadi ya madiwani iliyowawezesha kupata Mwenyekiti wa Halmashauri wa Hai kutoka CHADEMA.

Kimsingi hili la Wabunge wa Viti Maalum kwa namna lilivyo halijakaa sawa, kwani linatoa loop-hole ya umma kuongozwa na watu ambao haujawachagua, CCM kwa uwingi wa Wabunge wao, ingetaka wangeweza kabisa kuwatawanya hawa Wabunge Mwanza, Hai na maeneo mengine yote waliyo na madiwani wachache na kuongoza halmashauri zoote hapa nchini.
 

Ooooouuch.....!!!.....:A S 109:....Dr Kobello!!! I admire your blunt confidence,anyway!
"Tumethubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele...bla blah blah..."...that's what say nowadays and that you do,looking straight on our eyes!!! ' got to admire you dudes!
 
Tehee! teh tee!!
 
Mhe. Dr. Slaa.
Mimi ninachokuomba na ninajua bado upo humu. Mwisho wa mwezi huu hutubia taifa kwa ajili ya kufafanua mambo mbalimbali, maana tuliyempa kazi hiyo Jk , kainingia mitini. Chonde chonde mkuu. uniwie radhi kwa kushtukiza, but it is veeeeery important.

 
Will Nape NNauye come back kujibu maswali yangu au ndo mtini?

Kadri siku zinavyoenda NNauye anaanza kuonesha true color yake
UShauri kwa NNApe
Issue ya Arusha ukiingia kichwa kichwa watakilamba utakosea sehemu ya
kutokea. kaa chini soma mgogoro wa arusha ndo urudi hapa kujibu maswali yetu

Mpaka sasa HUJAKOMAA
 

Kwanza Kabla ya kukaa mezani, Ivi unajua taratibu zilizo tumika kumpitisha Mayor wa Arusha? Kile kikao cha Kumchagua Mayor CDM walikuwepo? Mgogoro ulianzia hapo kutolewa kwa barua za vikao ambazo zilipishana mmoja waliambiwa waende Oasis Mbauda kumbe huku kwingine waliandaa kikao cha kumchagua Mayor bila CDM kuwepo ndipo waka tonywa huko Halimashuri kuna jambo linalo endelea ndipo tukaona kwa TV zetu CDM wanaingia kwa hicho kikao kumbe tayari Mayor walisha mchagua sasa huo ulikuwa uchaguzi halali?? CCM waliogopa nini wakati walijuwa wana madiwani wengi kuliko CDM au walihisi kuwa baadhi ya CCM watawageuka na kuutoa Mayor toka CDM? Yet Nape unashadadia kuwa ulikuwa uchaguzi halali kweli Mary Chitanda ni Mbuge wa kuchaguliwa toka CCM kwa Mkoa wa Tanga sasa kwenye uchaguzi wa Huko Arusha alifuata nini? haukuona hapo kuwa sheria inapindishwa tuache ushabikiwa kisiasa NapeJR sema basi na hilo? but still yote hayo mimi na uliza CDM wana madiwani wangapi na CDM wana madiwani wangapi? sasa kulikuwa na hofu gani kwa CCM au Mkurugenzi kusema turudie kumchagua Mayor kama CCM wana uhakika wa kuwa wangelichukuwa hicho cheo cha Mayor Arusha mjini simple ili kuondoa mkanganyo kwa wananchi tuache siasa si ndio mumesema?

Jogi na wenzako,

NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.

CCM hamumo kivipi kama mlikuwa wakarimu sana mbele ya umma kwanini hamkuja hadharani na kusema jamani sisi CCM huko hatupo tumewaambia wenzetu CDM turudie uchaguzi wamekataaa kwanza CCM tuna madiwani wengi yanini tuogope uchaguzi wa Mayor kurudiwa ?? bali Nape na Viongozi wengine wa serikali mumekali kuongelea kwa TV kanini msiende pale Arusha mkaweka Mkutano wa Hadhari mka mwaga maneno ya kuwaeleza wana wa arusha wajue bumba na mchele??? Wenzenu wana kesi mahakamani kwa ajiri ya kupinga uchaguzi wa Mayor na wakafunguliwa kesi kwa kuandamana bila ruksa sindi inavyo jurikana? hapo Huoni Police nao walijipalia mkaaa wao kupiga risasi bila kutumia mbinu nyingine za kipolice au kiusalama kuwatuliza watu kama police waliwasindikiza toka Hapo Philips hadi Tanki la maji na ndipo tulipo ona kwa TV Police waka anza kufanya mbembwe zao kwa kutaka kuwachukuwa viuongozi kwa nguvu sasa kwanini kama police wangelipenda kuepusha shari na maafa wasinge piga stop ata starting point ya maandamano??? hiyo hali inajenga kuwa police walitumiwa na viongozi wa juu je waliona democrasia hapo au still wewe ni kiongozi wa CCM unajali nini hapo wapiga kura kama wewe uliona ni mtu wa amani kwanini usinge shauri Police wasiwatupie mabomu hao wapiga kura??

Jogi na wenzako,

TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...

Huyo Mayo mlimchagua CCM na TLP peke yenu madiwani wa CDM walikuwepo???? ukinijibu hilo the ntawza kukubali Mayor alikuwa wa kihalali ukijumlisha na Mary Chitanda. Nilitegemea katika uchaguzi huu kama kulikuwa na mapungufu kwani mkimbile kumpitisha Mayor huo sio utawala wa kimabavu mnakumbuka yaliyotokea Ivory Coast ndio sasa Mkuchika na Tendwa na Pinda mna yaandaa sasa alafu baadae mseme wananchi walifanya fujo wakati viongozi mko mnaijua sheria ila mnakuwa mstari wa mbele kuipindisha sheria kwa kushirikiana na vyombo vya dolla.

My Take :

CCM nendeni Arusha mka weka bayana kuwa Mayor ni halali kwa Mkutano wa hadhara tuwaone mnaitetea hoja kwa sheria na katiba na taratibu muone kama hamjaonwa kuwa ni hovyo, Mchawi mpe mwanao nyie kama mwaiona CDM ni wabaya mkawaaadhibu mbele ya wapiga kura wa Arusha tusikie nanyi utetezi wenu sio kila mara kukicha mwaenda kuwasukuma hao madiwani walio fukuzwa na kuwatetea pinda amekuwa Bush lawyer wa madiwani wa CDM kweli wazili mkuu unatumia cheo chako kimabavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…