zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,831
- 8,621
Dr. Slaa,
Bila shaka wajua fika swala la kupanga mbunge wa kiti maalumu achaguliwe wapi ni swala la UTARATIBU WA NDANI YA CHAMA NA SI SHERIA YA NCHI KWAMBA LAZIMA ENEO LAKE LA KAZI LIWE NI MKOA AU WILAYA... NDO MAANA WENZETU CUF WANA WABUNGE WANAFANYA KAZI ZA KANDA NA SI MKOA... H
II INAPOTEZA MAANA YA HOJA YAKO YA KINA KIWELU NA LUCY KUWA HALALI KWASABABU TU ETI WANAISHI KILIMANJARO NA UCHAGUZI UPO NDANI YA MKOA MMOJA NA HAPA CHATANDA KAPATA UBUNGE KUTOKEA TANGA LAKINI ANAISHI ARUSHA NA KUFANYIA KAZI ARUSHA THEN YEYE SI HALALI....
Kanuni nyingine iliyovunjwa ipi Dr?
mkuu sitaki kuamini kuwa hata wewe kiongozi sheria zinakupiga chenga, au labda mimi ndo sijaelewa sheria, nijuavyo mimi mbunge wa viti maalumu anaweza akateuliwa na chama chake kuwakilisha mkoa wowote, Chatanda aliteuliwa na CCM kuwakilisha mkoa wa tanga, iweje akapige kura arusha???? ok, hilo la wabunge tuliacha, ni kikao gani kilikaa kumchagua mayor wa arusha? kilihusisha madiwani wangapi kama sheria inavyoruhusu?