In short hujui historia ya mgogoro wa CUF na CCM tuongee mengine.CCM na CUF waliona kuna mgogoro unaohitaji kusuluhishwa wakati huo, hapa pande zinazovutana hazi husishi CCM(labda serikali yake) kwa hiyo hakuna haja yao wao kwenda kusuluhishwa, in short CCM haina matatizo na CDM huko Arusha kwa hiyo hata wakienda mezani wao wataweka nini mezani. Maana ili kusuluhishwa na lazima kila upande uwe na madai sasa napata shida kuyaona madai au tuhuma za CCM. Kwa kuwa hata kama walishiriki uchaguzi basi wakuulizwa ni yule aliyewaita. Sioni sababu gani CCM inahusika.
Kobs, it doesn't matter who started what, I'm saying CCM is dancing CDM tunes whether in Jahazi or whatever as u can see CCm makes it its sole mission to out do what CDM says or doesYou guys are just fooling yourselves,it's Dr.Slaa who sounds like Jahazi modern taarab with rhetorical posts as you saw earlier.
Not to ruin your day but who told the other is living in "Ahera?".......c'mon acheni ushabiki,mwageni points kama hamna just go and fix transformers.
Kwanini mnaficha sababu za kutokwenda mahakamani?Who approached the other? It's CDM going to Pinda's house,not CCM going to Mbowe's house.....try not to fool us,you guys suck!!!..I mean,big time.
Naongea na aliye kuajiri wewe kaa pembeni, kuna wakati na maneno ya kuongea na Mbwa au Mwenye mbwa naomba ujue hilo, mwache mwenye mbwa ajibu wewe kaa pembe kwanza muda wako haupo mbele yangu, umeshawai kuona nimekuuliza au nimechangia hoja yako yoyote?, sijawai na sitakuja kuwai maana wewe si wa stahili yangu.
Usiwe unakurupuka kama unapenda kuwa mchangiaji kuwa mfuatiliaji pia. Maelezo ya Mtoa mada, Nauye na Dr Slaa ukiyafuatilia unajua dhairi mgogoro mzimaMimi sijaelewa hapa, maelezo ya Nape ni kuwa mgogoro kama upo basi unahusisha, CDM, Mahakama, Madiwani waliokuwa wa CDM na mkurugenzi sasa hapa CCM inaingia vipi? Ulipotakiwa kujibu ulipaswa na wewe uache dharau na uoneshe CCM inahusika vipi. Hayo majadiliano kwa nini yawahusishe CCM wakati wao hawahusiki kwenye huo mgogoro?
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.
Hatujaelewana..
Issue hapa ni kuwa, ni chama ndicho kinachagua/teua Mbunge wa Viti Maalumu kuwakilisha kwa mantiki ya kuhudhuria vikao vya madiwani kwenye halmashauri ipi, na kinaweza kabisa kisheria kutozingatia kama Mbunge huyo ni mkazi wa halmashauri hiyo au la..
Kwa mantiki hiyo Chadema kingeweza kabisa kisheria kumteua Grace Kiwelu anayetokea mkoa wa Kilimanjaro ata kama sio makazi wa mwenyeji wa Mbeya kuwakilisha/kwa maana ya kuhudhuria vikao vya madiwani kwenye Jiji la Mbeya na kikawa sahihi kabisa bila zengwe.
The same to Mary Chatanda, kwa chama chake kumteua awakilishe kwenye Halmashauri ya Arusha, haruhusiwi sasa kuhudhuria vikao vya Halmashauri ya Jiji la Tanga wala nyingine yeyote hapa nchini, kama Grace Kiwelu asivyoruhusiwa sasa kuhudhuria vikao vya Manispaa ya Moshi, kwa hiyo mgogoro wa Umeya wa Arusha hauwezi ukawa ni kwa sababu ya Mary Chatanda...
Yes you have it. Hizo bunduki haziwezi kuwapiga nyie!!!!!!Thanx....we have the government too!!......mkitaka kuingia kitaa it's all good,tutachapana vilevile.
If CCM is dancing CDM tunes, why blame it for the hardships that Tanzanians are facing right now? All you guys have been advocating is lowering taxes and putting NMB and Airtel in DSE.Kobs, it doesn't matter who started what, I'm saying CCM is dancing CDM tunes whether in Jahazi or whatever as u can see CCm makes it its sole mission to out do what CDM says or does
Important qn to ponder, u run the govt, can u just get back in line and start to deliver? If u r tasked with overwhelming task of ensuring us citizen tunapata maisha bora, we definetly wouldn't expect u to rush to cover everytime CDM whistels(sp)
Start to deliver! Thts all we ask of u, siasa za muchafuana waachieni wana mipasho
CDM suck big time yeah rite! Ok so wht is CCm now? A sweet pill to you ? Pls get a life....its abt time honestly...after ule msururu wa ahadi za JK mmetimiza mangapi? Do u guys measure ur perfomance based on your members numbers?
Acheni kuhangaishwa na theluthi tu ya wabunge kama watu wasio na hekima, mlitakiwa muanze kuchapa kazi sio kila siku u waiting to thrash every word coming from CDM , mnakera mpaka mwanangu wa mwisho anajua
That is the problem,right there!!!Nape,
propaganda kama hizi kwa mtu mwenye nafasi kubwa kama yako ndani ya chama kinachoongoza dola ni hatari kwa afya ya nchi yetu. Utaleta machafuko. Just ushauri tu.
mkuu! nataka nijue, hivi mary chatanda alikuwa keshaateuliwa na chama chake kama muwakilishi arusha au walimteua baada ya uchaguzi wa mayor? ufahamu mdogo niliyonao ni kwamba alikuwa hajathibitishwa kuwa muwakilishi wa mkoa wa arusha though tayari alikuwa mbunge wa viti maalum, nakumbuka CDM pia walimteua mama komu kama sikosei kuwa muwakilishi wa arusha japo anatokea DSM,
Nadhani hapa ushabiki ndio unaotawala,kuhusu mgogoro wa Arusha,CCM bado haijapata official notification,hawajachagua wawakilishi...CDM wamepata na wamechagua wawakilishi.
Mimi kama mwanachama hai wa CCM sikubaliani na azma ya CDM/tENDWA kuhusu haya mazungumzo.Hayana mantiki yoyote kwa CCM as a party.
Mnasema mna timu kali,ndio maana tunawaogopa,...puh-lease!! there are 10 times as many PhDs in CCM than all oppossition parties combined!!
Tehee! teh tee!!Ooooouuch.....!!!.....:A S 109:....Dr Kobello!!! I admire your blunt confidence,anyway!
"Tumethubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele...bla blah blah..."...that's what say nowadays and that you do,looking straight on our eyes!!! ' got to admire you dudes!
Butola,
i) Sina tatizo kutoa elimu kwa watanzania wenye dhamira na nia ya kweli kutaka kujua kilichojiri, lakini si Nape ambaye yuko jikoni. Kama binafsi hafahamu anayo system ya kumwezesha kujua kilichojiri. Kwa Faida ya watanzania, kwa Mujibu wa Sheria inayohusika, kuna tofauti kubwa kati ya Mary Chatanda (kutoka Tanga) na Grace Kiwelu na Lucy Owenya (kutoka Kilimanjaro. Hai ipo ndani ya Kilimanjaro ambako Wabunge husika ndiko walikopatikana. Ndani ya Mkoa Chama kina mamlaka ya kuwapangia Wabunge wake kwa mujibu wa sheria.
ii) Kwa faida ya Watanzania swala la Chatanda ni swala dogo sana katika mgogoro wa uchaguzi wa Meya wa Arusha. Tatizo la Msingi ni kukiukwa kwa Kanuni za Uchaguzi (uchakachuaji). Wananchi wa Arusha walituunga mkono kukataa uchakuaji huo wa Kanuni, ambao kimsingi unafanya uchaguzi kuwa "null and void" 'ab initio.
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA? .
Jogi na wenzako,
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
Jogi na wenzako,
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...