ismathew
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 253
- 38
Kisiasa muafaka ni jambo sahihi na muhimu sana katika jambo ambalo linahitajika kupatiwa ufumbuzi na mfumo mzima wa marekebisho wa uchaguzi wa umeya wa Arusha ambao haukufuata sheria. Lakini hapo hapo kumeshatokea sauti ya kiongozi mmoja upande wa ccm ambaye
kauli yake imeshaanza kutia dosari swala zima la kukaa meza moja na kumaliza mgogoro uliokuwepo ili wananchi waweze kupata maendeleo.
Amna ugumu katika swala zima ni kwamba kile kilichofanywa kinyume cha sheria au kimabavu kurekebishwa na huo ndio maana ya muafaka
baina ya vyama vya siasa. Na kila kitu uwa kinakuwa katika maandishi, na sio kauli ya mdomo tu ambayo unasema ndio unayoiamini,
Mwanasiasa lazima uwe mwerevu wa akili na sio uropokaji wa kimashindano angalia watanzania wanahitaji nini, ina maana wewe mwenyewe
uoni kwa macho ila mpaka uambiwe kama nchi inaelekea wapi, hiyo kauli yako isiyokuwa na mshiko ni ya kujinufaisha binafsi na kutukomoa
watanzania tulio wengi, Hata huko habitable zone out of our solar system watu awaishi hivyo,
Na kuhusu madiwani wa Arusha wale tuwaite wendawazimu, kwa sababu awajui wanachokifanya, walishavuliwa uanachama na
hawana matatizo na Chadema, na hayo ya kwenda mahakamani ni kutokuwa na usikivu na uelewo mdogo kwa kutolitambuwa kosa lao.
Ilitakiwa waombe radhi katika kamati kuu ya CDM na wabakie kuwa wanachama tu na sio kwenda mahakamani, aina hizi za siasa ni za
kuvimbisha matumbo yao na kuwaacha wananchi katika hali ngumu amna maendeleo hapo. Na Ccm ndio kwanza wanafikiria siasa ya ujamaa na kujitegemea ambayo vidonda vyake vimebakia mpaka hii leo, hiyo ni njia moja wapo ya kuendeleza udikiteta, hiyo ina maanisha ni uchovu
wa akili na kufikia kiwango cha mkwamo wa mawazo, maana yake kutawala kwa kutumia nguvu kwa fikra na mawazo potofu ya mtu mmoja
na kuwakandamiza na kuwanyima haki watanzania walio wengi. ina maana auna idea mpya za kuleta maendeleo katika kipindi hichi cha utawala
wenu,