Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wapo wawili, Membe na Mshua...aende yupi?
ukilala chini nchumariUkimumunya nchale,ukitema nchale
Vipi wewe Mbona Unahara
kabla ya KUJAM-BA,! Niweke facts za nini wakati ukweli wote unaujua.au
umesahau kwamba miaka yote Wezi,na Mafisadi wote,wa Mali za Umma mmekua
mkiwahamishia mikoa ya kusini kikazi pale wanapokosea badala ya
kuwapeleka MAGEREZA! Hii inaonyesha kua Mateso yanayokuepo Mikoa ya
kusini ni zaidi ya Magereza.kule kuna Bandari nzuri na yenye Kina Kirefu
ambayo Meli kubwa zinaweza kutia Nanga.si hivyo tu,bado Bandari hiyo
ingeweza kuhudumia Mikoa ya kusini,pamoja na nchi Jirani kama
Malawi,Zambia,Congo nk.lakini kwa ufinyu wa akili ya viongozi wa Ccm na
Serikali yake,mmekazania tu kila kitu Dar.Mshindwe na Mlegee!
Hivyohivyo ugali moto mboga moto sahani na bakuli vya bati. watu walishachoka kudanganywa dar kila kitu limekua tumbo la Tanzania linakula kilakitu
Ranks, we usidanganye wenzako wakati we umekaa katika laptop tu! nyie Cdm mmeona m4c yenu imefeli ndo mnatumia karata ya wanamtwara! msisafirie nyota ya wenzenu mnawaponza wakina mama watoto na vikongwe kwa vurugu zenu!
walizoea kuwaita 'Chinga' eti mnajazana dar na kutembeza kiatu k1 mkononi ..ahaa,dharau sana aisee kwa wanamtwara
Suala la usalama ni muhimu zaidi. Huko sahihi mkuu...........siku ikitokea bomu likapigwa Dar, basi nchi yote itakuwa gizani kwa kiwango kikubwaumeme unategemewa ni wa dar unaozalishwa na songosongo, kwanini songas isingejenga huku lindi?
Taarifa nilizopata punde, polisi wamelazimika kumrudisha nyuma
ili kuepuka matatizo zaidi kwa kuwa vurugu zilizidi...