Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
Waziri Simbachawene amezuiwa njiani na wananchi hapa Mtwara kwa kuwekewa mawe njiani na FFU wanakuja hapa
Alipita Mtwara mjini kimya kimya kaenda sehemu inaitwa Msimbati akijua kuko shwari, watu wamekata mwembe na kuziba njia pamoja na kupanga mawe, wameapa hatarudi salama bora arudie njiani.
Kazi ipo huku Mtwara