Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

Waliovamia si bure watakuwa wana influence ya viroba hivi unawezaje kuvamia wawekezaji wanaokuletea neema haaiingii akilini kabisa kuna ajira nyingi zitazalishwa katika uchimbaki na uwekaji wa mabomba na usambazaji wa gesi maombi yanahitajika wachungaji manabii na mitume,masheikh na masheriff mnahitajika sana sana kuwaombea watu wa mtwara tokeni huko makanisani na misikitini maombi ya kweli yanahitajika mtwara
Ajira ya kuchimba mitaro? peleka ujinga huko nyambaf
 
Kupiga vijana na kuwachomea nyumba zao ndiyo suluhisho pekee ambalo MAGAMBA wameona linafaa! Haya niliyategemea sana tu na bado tutegemee mengi zaidi.
 
Wachukue wazee wa heshima na busara toka mtwara waongee na si kuwatisha. Ninaamini diplomacy itafanya kazi na si mabavu na udikteta.
 
unafikiri kwa kutumia nini hayo matatizo unayosema hajatatuliwa ni yapi,

kwa nini ukiwa bavicha akiri inakuwa haifanyi kazi vizuri,

Tatizo lako una karii kila anye changia humu janvini ni bavicha . Na kama huu ndo mtazamo wako hata hayo matatizo huwezi kuyaon na wala hata kama ukiambiwa nakuyaona huta elewa kwasababu umekariri
kwanza kwataarifa yako mimi si mwana bavicha kama unavyo dai

kwamtu mwenye busara naakili yakufikiria huwezi kusema kua Mtwara hakuna tatizo pamoja na mambo yoote yaliotokea.
lazima utakua na tatizo kubwa zaidi lakufikidi .

Tupo watu wengi sana tupo nnje ya vyama vya siasa na tunaweza kufikiri mbali sana kuliko unavyo fikiri , sis tunaangalia kwamtazamo wa miaka ijayo kwamba nini kitafuata kama serikali ikilazimisha kuweka hilo bomba.

je unajua ni kwanini Nchi ya Nigeria wana shida kule waliko chimba mafuta , kwataarifa yako ilianza hivi hivi kwaserikali kunganganiza .
unaona washaanza na gari la kubeba mabomba kwaakili ya kufikiri yakawaida wakichimbia hilo bomba litakua salama ?
 
Hivi kwa nini serikali yetu hisitafute njia nzuri ya kuwaelimisha wananchi wa mtwara juu ya geri ili kuokoa miundombinu ambayo inataka kujengwa huko ili hisiharibiwe na mwananchi hao?
 
Hivi kwa nini serikali yetu hisitafute njia nzuri ya kuwaelimisha wananchi wa mtwara juu ya gesi ili kuokoa miundombinu ambayo inataka kujengwa huko ili hisiharibiwe na mwananchi hao?
 
Rais wa NCHI aongelee suala hili la BOMBA; anamuachia WAZIRI MKUU hana NGUVU kama Rais ambaye inajulikana fika HILO BOMBA linakwenda kwenye JIJI la BAGAMOYO

Lazima aanze kuongelea MAGUMU na MACHUNGU; na LIPUMBA anaongelea Waislamu kuwa Raia Tabaka la 4; Rais wetu lazima amyamazishe kwa kuongelea MTWARA MABOMBA na AJIRA
 
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .

tutegemee hujuma nyingi kwenye huu mradi
 
Ni kweli mradi utakuwa na manufaa ila umekaa kisiasa na unaharufu ya ufisadi 100%. Wanaoshinikiza wanajitahidi kufanya juu chini mradi uanze ili faida ianze kuonekana wakati huo wao wameshachukua chao.

Mbaya sana hii...

Kwa mtambuo huu, nakuunga mkono ndugu.
 
gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko mtwara na liko katika kituo kikuu cha polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .
kama kweli bomba la gesi litajengwa kwa nguvu, huku madai ya wana kusini yakiendelea kupuuzwa serilikali ikae ikijua umwamba wanao utumia utafikia mwisho pale raia waliochoka na kukata tamaa watakapo waona hao wanajeshi wanaotumiwa kinyume na taratibu za kijeshi kuwa nisawa na mgambo wa vijijini tu.
Jeshi si suluhisho bali ni kichocheo cha ununda na usugu kwa wananchi wanao nyanyaswa
 
Economics of Energy transmission.
Which is more economical?
Generating electric power at source(Mtwara) transmitting power to Dar, versus transmitting gas to Dar and generating electricity in Dar?
 
kama huna elimu utaachaje kuchimba mtaro? mageologist wapo kwenye utafiti. viva gesi ya Tanzania na kwa Watanzania siasa nyambaf hapana hapa. virobaaaaaaaaa
Ajira ya kuchimba mitaro? peleka ujinga huko nyambaf
 
gas is not only for electiriciy, ooh God poor thinkers in Tanzania
Economics of Energy
transmission.
Which is more economical?
Generating electric power at source(Mtwara) transmitting power to Dar,
versus transmitting gas to Dar and generating electricity in
Dar?
 
Pasco amesalimika? Yeye ndiye alikuwa msindikizaji wa mzigo huo haramu kwa mujibu wa wana Mtwara.

Tusifanye utani kwenye mambo sensitive kama hili. Pasco tunaemfahamu anahusikaje na mabomba ya gesi, tena Mtwara?
 
Jana niliona vifaru na magari ya jeshi na wanajeshi wakijivinjari mjini. Nadhani lengo lilikuwa kuwataarifu wanachi kuwa kuwa wapo. Hata hivyo nilichukulia kuwa ni utumiaji hovyo wa resources.
wameigeuza mtwara darfur wanailinda na jeshi huku darfur ya ukweli inajieleza.anyway yana mwisho haya
 
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .

Mmmmmhhh!!! International best practice requires in-depth and extensive consultations with local communities to win their buy-in before embarking onto any rational development projects. WB knows and advocates for this approach too. Needs, wishes and expectations of the dwellers at the project sites, area or region must be incorporated into the final project plan. Without this, no good governance in project management, chaos and danger of lack of ownership by the "gas pipe guards"!!!!!
 
Back
Top Bottom