Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

teh jana niliona magar yanatoka bandar to Mtwara...teh kumbe wanaMtwara walikua wanayasubiria ..hahah wangechoma na mabomba yenyew pia..wamekosea kuharibu gari tu aisee
 
Nipo Mtwara na asubuhi nimepita hapo kwenye kituo kikuu cha police na nimeliona hilo lorry likiwa limepak hapo ila sikuwa na idea kuwa limevunjwa vioo ni baada ya kufungua jf nikiwa ofisini. Lunch time nitapita ili ninakili namba za gari niwawekee ila nadhani itakuwa ngumu kupiga picha maana kuna askari hapo muda wote.
 
teh jana niliona magar yanatoka bandar to mtwara...teh kumbe wanamtwara walikua wanayasubiria ..hahah wangechoma na mabomba yenyew pia..wamekosea kuharibu gari tu aisee

Kuchoma si busara bali itasababisha hasara kubwa na madhara kwa mradi huu, ujumbe umewafikia wahusika.
Ila nina hofu sana na vituo vya kuhifadhia hayo mabomba hasa kituo cha Msijute ambacho kipo kama Kilomita 5 tu kutoka Mikindani, ukizingatia kuwa wakati wa maandamano na fujo Mikindani hawakuwa nyuma!
 
Duh ! Ina maana haitatoka ? Au lori limeparamia mti kutokana ugeni wa dereva ?
 
wakuu hii salute ya katikati ya paji la uso ni MPYA, hii inatumika wapi duniani? ni kosovo ama? aisee nimeupenda huu ubunifu wa Green Guards aka wajasilia.

Sisi kizazi cha Nyerere tuliocheza halaiki na chipukizi ni salute ya kawaida ,vijana wa Mkapa ndo inakua tabu kuelewa hizo salute
 
kwakweli huu ni upumbavu na wala c ujinga tena sasa serikali Right itafanikiwa kuyatandaza mabomba hayo kwa mabavu je watayalinda maili zote kutoka mktwara mpaka dar? kama hawawezi wanauhakika gani wakuwatushawishi sisi wana mtwara tusijikusanya usiku na kwenda kuchimbua na kuyatoboa?

kwakweli wazo la -------- ni fipi sana ok wayaweke tuone kitakacho tokea ugali wetu unaomwagwa sasa utalipwa kwa mboga wanazoandaa wao
mungu ibariki TZ mungu ibariki mtwara. AMEN
 
Industrial location theories: Weight gaining industry is usually located at the market while weight losing industry is usually located at the source of row materials
Kwa kesi ya nishati ya gesi, ina matumizi mengi (viwandani/majumbani) ki mtizamo itakuwa vyema sehemu ya mitambo ikajengwa mtwara na sehemu nyingine ikajengwa dsm
Mewaza sana hadi TUMBO langu LIMEJAAA gesi ngoja nikanywe maji ya moto/uvuguvugu
 
Likijengwa watakua wanalitoboa kama yale ya mafuta nigeria

Kwa akili za kitaahira za THE BIG SHOW kweli anaweza kutoboa hilo bomba. Amini nakuambia, wakitoboa mara moja hawatapata hamu ya kutoboa tena. Hii gesi mnayogombania hamuijui hata kidogo...nyie toboeni huko kwenu tuongeze idadi ya albino wa ukubwani
 
Last edited by a moderator:
Sisi kizazi cha Nyerere tuliocheza halaiki na chipukizi ni salute ya kawaida ,vijana wa Mkapa ndo inakua tabu kuelewa hizo salute
duh mi nilifikiri ni moja ya mbinu za ujasiliamali ndiyo maana ikanivutia.
 
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .

mkuu hizo picha za hilo gari ziko wapi kwani upo hospitali gani mkuu ni milembe au ile ya ndanda,haya mkuu malizia dawa zako ukipona utajitambua tu lakini kwa vile bado unaumwa huwezi kuandika kitu cha maana.
 
wakuu hii salute ya katikati ya paji la uso ni MPYA, hii inatumika wapi duniani? ni kosovo ama? aisee nimeupenda huu ubunifu wa Green Guards aka wajasilia.

Hiyo siyo salute mkuu, hapo makamanda wa Tendwa wanakula kiapo cha uaminifu.
 
Jana niliona vifaru na magari ya jeshi na wanajeshi wakijivinjari mjini. Nadhani lengo lilikuwa kuwataarifu wanachi kuwa kuwa wapo. Hata hivyo nilichukulia kuwa ni utumiaji hovyo wa resources.
 
People in Mtwara have been "winded" with a lot of information about this project. It was for the government to "unwind" and then feed them with corect information. The question is in this CCM government are there any political stratergists and analysts who can take this task???
 
kwakweli huu ni upumbavu na wala c ujinga tena sasa serikali Right itafanikiwa kuyatandaza mabomba hayo kwa mabavu je watayalinda maili zote kutoka mktwara mpaka dar? kama hawawezi wanauhakika gani wakuwatushawishi sisi wana mtwara tusijikusanya usiku na kwenda kuchimbua na kuyatoboa?

kwakweli wazo la -------- ni fipi sana ok wayaweke tuone kitakacho tokea ugali wetu unaomwagwa sasa utalipwa kwa mboga wanazoandaa wao
mungu ibariki TZ mungu ibariki mtwara. AMEN

watu wenye akili ndogo ni wengi sana unahangaika na kitu ambacho hakipo unashindwa hata kutumia akili ya kawaida kujua ukweli kwa tarifa yako hakuna kitu kama hichi hayo mapembe yao yatakatwa tu kama wataanza ujinga wao,
 
Niliposikia askari wetu wameamua kupita nyumba kwa nyumba na kupiga wanaume wowote wanaowakuta,kubaka wanawake, kupora mali na kuchoma mabanda ya watu basi nikajua kuna makubwa yana kuja tena hilo la kupiga gari ni dogo sana. Mwanamume aliye kamili kabisa, ukitumia bunduki kubaka mke wake,mama yake,dada au binti yake ujue umejenga uhasama mkubwa naye. Wamewafanyia hivyo Mtwara na viongozi wetu wanafahamu hayo yametokea na hakuna aliyelikemea au kuagiza hatua zichukuliwe kwa hao waliofanya hivyo.
Serikali hii inafanya mchezo na hisia za watu,wakati wanachoma nyumba za viongozi waCCM hawakujifunza ila wakaona kuleta JWTZ ndio dawa yao. Kwa wazo hilo ndio walipofanya makosa makubwa zaidi,nendeni mkaongee na watu wa Mtwara na diplomasia itawale la sivyo mtakuja tumia mizinga na mwisho hata nyie mtaishia The Hague na huo mshiko wa Gas watafaidi wengine
 
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .
ani

acha propaganda sehemu gani,mbona bomba bado ziko bandarini
 
mkuu, askari wataongezwa hasa wale walioko drc na dafur wakirejea hivyo kudhibiti hii hali.
People rather than armies are known to have won great wars. Think of how many soldiers would be needed to protect the pipe from Mtwara to Pwani. I belive the numbers are not there.
 
Back
Top Bottom