Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

sehemu iliyo na waislamu wengi,ustaarabu ni zero,ufikiri mdogo,shule ya kuwafanya wafunguke hawana.gesi ni ya watanzania wote.mbona mwanza wanatoa dhahabu kiasi kinachopatikana na nyie wana mtwara mnapewa mgao?muache ujinga vinginevyo mtakuja kuwa wajinga.


we mpuuzi sana, huna hata hekima ndogo ya kukuongoza kuishi
 
Pinda aliposema mpigwe, hakuwa amekosea kwa 100%, akili km zako hazina tiba zaidi ya kichapo kikali. Haya maswali ni ya kipuuuzi kweli kweli. Sidhani kama maswali haya hayajawahi kujibiwa ni vile tu ili uelewe ni lazima udhamirie kuelewa.

GESI SIO UMEME PEKE YAKE. Utakuwa ni ujinga usio na kipimo kuzalisha umeme Mtwara halafu uusafirishe hadi Dar baadaye wewe huyo huyo usafirishe gesi nyingine kwa ajili ya matumizi yaliyobaki. Wengi wenu mnaofikiri kwa kutumia viungo vya kukalia mnadhani kuna tija Power Plant kwenye mji wako.

Umeme unaozalishwa Kidatu unazalishwa kwa maji na hatuna mahitaji ya maji toka Kidatu na ukumbuke maji yanazalisha umeme kwenye maporomoko kwa hiyo huwezi kuyasafirisha na kuuzalishia umeme sehemu nyingine ambapo hakuna maporomoko.

Labda nikuulize swali wewe na wengine wenye akili kama zako: Kwa mitambo ile ya umeme kuwepo pale Kidatu, ni nini wananchi wa Kidatu wanafaidika?

Tutumie akili zaidi ya ushabiki na upuuzi.

Tatizo unataka kila mtu afikiri kama wewe unavyo fikiri ama kama wewe na pinda mnavyo fikiri .Na mnana wengine wote hawafikiri sahihi

yanini kutukana akili yangu badala yakuelezea maswali yangu ? Nilazima mkubali kuna mtazamo tofauti wawatu kuona mambo

unavyo sema gesi inakuja dar si kwaajili ya umeme tu kwani huko Mtwara hawasta hili hiyo gesi kwamatumizi mengine ?
hata kama wapo wachache kwanini hayo matumizi mengine yasianzie huko na yakasogea kidogo kidogo mapaka kufika dar ?

kumbuka watu wa Mtwara si kwamba hawataki itoke kabisa ila wana taka waanze kunufaika wao

kama huja wahi fika kidatu usiongee chochote . fuatilia na uulize wenzako ule mradi pale umenufaishaje wananch wapale utajua ninacho maanisha.

Jaribu kujibu hoja kwabusara si watu wote tunapenda matusi na wala si watuwote tuna kurupuka
 
Kwani ni lazima umchukulie kwa mtazamo wa kidini?mi nilidhani cha msingi ni kuangalia maudhuwi (content)iliyomo kwenye ujumbe na hiyo ingetusaidia kupata jibu sahihi kwa wakati sahihi siku nyngine kama huna la kuchangia just shut up.
 
Back
Top Bottom