Ulianza kwa kusema shule hazipo, sasa imekuwa kwamba walinyimwa tangu mwanzo...walinyimwa na nani? Well then, walinyimwa sasa zipo na bado hawaendi, wewe unaona tufanyaje? Uko radhi mpelekwe shule kwa nguvu?
Sikiliza nikwambie, hizi unazoleta hapa ndio ngonjera na ndio maana nakwambia madai yenyewe ni ya kipuuzi. Mimi ningefurahi ungekuwa unajibu hoja yenye msingi. Umekataa kujibu swali umeleta manung'uniko. Bado nina swali kuhusu hayo hayo manung'uniko yako, naamini swali langu litakufanya usibishe tena kuwa wewe ni mjinga:
SWALI 1: Mtambo wa umeme ukijengwa Mtwara itasaidia watoto kwenda shuleni ikiwa wazazi ni nyie nyie na tabia zenu ni zile zile?
Swali 2: Hiyo michuma ya kuzalishia umeme ikijengwa Mtwara na baadaye umeme usafirishwe kwenda Dar, wewe ulioko Mtwara unafaidika nini?
Swali 3: Ikiwa mitambo kuwapo kwenye ardhi ya mkoa wako ni faida, unaweza kuniorodheshea faida 2 tu wanazozipata watu wa Hale kwa uwepo wa Hale Hydro-Power Station pale Hale?
Acha kuwa kama mwanamke wa kiswahili, twende kwenye hoja
Mimi huwa nawataka sana watu mnaojifanya mnajua sana kuongea mithili yako wewe,
Kwanza jambo ambalo unatakiwa kulifaham na la msingi kabisa,hilo suala la Kujengwa kwa kiwanda cha kuzalisha umeme huku ndio haswa lilikawa kwenye sera na mpango mkuu wa serikali tokea mwanzo wa utafutaji wa rasilimali hii,serikali ilipoamua kuja kuubadilisha mpango huo na kuleta mpango wa bomba la gesi wamekuja juu juu bila taarifa na bila kuwashirikisha wananchi ambao hapo mwanzon hawakuwaambia plan hiyo,wewe ukitaka wananchi wasihoji??
Pili hiyo mikataba ya ujenz wa bomba la gesi imekuwa ya siri hadi bungeni na kwa wabunge ambao wangekuwa ni washauri wa serikali juu ya namna ya kuiendea mikataba hiyo kwa maslahi ya taifa,unataka wananchi wasihoji kuhusu suala hilo??
Sheria ya mambo ya gesi serikali yako haina na badala yake inatumia rasimu ya sera ya gesi huku tayari ikiwa ishaanza kuingia mikataba ya uchimbaji na uuzaji wa gesi hii,usimamiz wake utakuaje?uwajibikaji wake utakuaje?na bado unataka wananchi wasihoji na kutaka kujua uhalisia ulivyo??
Kulikuwa na plan ya MTWARA CORRIDOR na Plan ya kuingiza nishati ya umeme inayopatikana kwa ujenz wa kiwanda cha kufua gesi hiyo mtwara kwenye grid ya taifa kupitia songea,tunduru na kufika hadi kigoma huko,wewe unataka kusema kwamba kwa plan hiyo wana mtwara wasingenufaika nayo??
Suala si kusoma kwa wanakusini ama la,nchi hii ina wasomi wengi tuh,wameisaidia nin nchi hii zaid ya kuitia hasara ya mikataba mibovu na ufisadi tuh,vipi wewe unajiona msomi sana eeh??wa kuja hapa kuwakashifu wana mtwara na kuwaona wapumbavu na kwamba hawajasoma wewe una elimu gani ya manufaa kwa taifa hili??unatafuta umaarufu au unatafuta bwana humu jukwaani??
Sasa skia tukuambie bwana mdogo,hili suala ni zaid ya hivyo wewe unavyofikiria,watu wana hoja za msingi na hao mafisadi wanatambua sana,alipofika Obama umewaskia wakiweweseka kwamba plan ya kujenga hicho kiwanda cha kuzalisha megawati 600 mtwara ipo na kampuni ya simbion watapewa kazi hiyo,jiulize sasa wakitaka wafanye lini hayo??au hadi watu walipouana na kuandamana ndio wakaona kuna umuhim huo??
Na ishu hiyo haipo kwenye bajeti yao ya mwaka huu,ni kazi ambayo atafanya mwekezaji,jiulize hizo pesa huyo mwekezaji anatoa mfukoni mwake kwa masharti gani?na kwa muda gani??
Kuna vitu kama unajifanya unavielewa na unajua sana kuvichambua ni kama unajidhalilisha tuh -------- wewe,you must be so so craizy...!!!