NIGGA
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 1,239
- 640
Ni kweli mradi utakuwa na manufaa ila umekaa kisiasa na unaharufu ya ufisadi 100%. Wanaoshinikiza wanajitahidi kufanya juu chini mradi uanze ili faida ianze kuonekana wakati huo wao wameshachukua chao.
Mbaya sana hii...
Itawacost sana hii,only time!!