Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

Najiuliza maswali makuu mawili na sipati JIBU

1. kwanini serikali ina arakisha huumradi kabla yakutatua matatizo yaliyopo ?
2. kwanini huu mtambo wa umeme usijengwe mtwara umeme ukasafirishwa kuja Dar? mbona uliweza kutoka kidatu ukaja dar hapo mtwara tumeshidnwa nini ?

Pinda aliposema mpigwe, hakuwa amekosea kwa 100%, akili km zako hazina tiba zaidi ya kichapo kikali. Haya maswali ni ya kipuuuzi kweli kweli. Sidhani kama maswali haya hayajawahi kujibiwa ni vile tu ili uelewe ni lazima udhamirie kuelewa.

GESI SIO UMEME PEKE YAKE. Utakuwa ni ujinga usio na kipimo kuzalisha umeme Mtwara halafu uusafirishe hadi Dar baadaye wewe huyo huyo usafirishe gesi nyingine kwa ajili ya matumizi yaliyobaki. Wengi wenu mnaofikiri kwa kutumia viungo vya kukalia mnadhani kuna tija Power Plant kwenye mji wako.

Umeme unaozalishwa Kidatu unazalishwa kwa maji na hatuna mahitaji ya maji toka Kidatu na ukumbuke maji yanazalisha umeme kwenye maporomoko kwa hiyo huwezi kuyasafirisha na kuuzalishia umeme sehemu nyingine ambapo hakuna maporomoko.

Labda nikuulize swali wewe na wengine wenye akili kama zako: Kwa mitambo ile ya umeme kuwepo pale Kidatu, ni nini wananchi wa Kidatu wanafaidika?

Tutumie akili zaidi ya ushabiki na upuuzi.
 
we ni mpuuzi na mbuzi full yani...
jamaa kauliza maswali tena yenye msingi, matokeo yake umeleta maelezo yasiyokuwa na tija wala mashiko
Hisia zako mbovu ulizonazo juu ya mtwara ubakie nazo hukooo..

Nimekutizama siku nyingi sana wewe jamaa huwa sikuelewi elewi yaani,
unaona ni haki sehemu yenye rasilimali kubwa kama mtwara paendelee kuwa duni kwasababu tu watu wake hawajasoma..kama shule hazikuwepo ulitaka wasome wapi?

Unazingua sana na unajiona bora sana..
 
Acha kutungana watu bila sababu kwa nini na wewe usiwe mpuuzi si unamiguu miwili tu kama wengine basi na wewe mpuuzi.

Kila mtu anauhuru wa kuongea chochote hapa jf isipokuwa asivunje sheria sasa wewe nani mpaka uwapangie watu ya kuonge.
Toa kisilani chako kama matusi kila mtu anayajua ila tunaheshimiana tu.
 
hawa hawakuwepo?
998861_490081497742516_1206258209_n.jpg

hili jeshi la upande wa kushoto tendwa hajui kama lipo, yeye anaona ulinzi shirikishi wa chadema peke yake
 
Pinda aliposema mpigwe, hakuwa amekosea kwa 100%, akili km zako hazina tiba zaidi ya kichapo kikali. Haya maswali ni ya kipuuuzi kweli kweli. Sidhani kama maswali haya hayajawahi kujibiwa ni vile tu ili uelewe ni lazima udhamirie kuelewa.

GESI SIO UMEME PEKE YAKE. Utakuwa ni ujinga usio na kipimo kuzalisha umeme Mtwara halafu uusafirishe hadi Dar baadaye wewe huyo huyo usafirishe gesi nyingine kwa ajili ya matumizi yaliyobaki. Wengi wenu mnaofikiri kwa kutumia viungo vya kukalia mnadhani kuna tija Power Plant kwenye mji wako.

Umeme unaozalishwa Kidatu unazalishwa kwa maji na hatuna mahitaji ya maji toka Kidatu na ukumbuke maji yanazalisha umeme kwenye maporomoko kwa hiyo huwezi kuyasafirisha na kuuzalishia umeme sehemu nyingine ambapo hakuna maporomoko.

Labda nikuulize swali wewe na wengine wenye akili kama zako: Kwa mitambo ile ya umeme kuwepo pale Kidatu, ni nini wananchi wa Kidatu wanafaidika?

Tutumie akili zaidi ya ushabiki na upuuzi.

Acha kutungana watu bila sababu kwa nini na wewe usiwe mpuuzi si unamiguu miwili tu kama wengine basi na wewe mpuuzi.

Kila mtu anauhuru wa kuongea chochote hapa jf isipokuwa asivunje sheria sasa wewe nani mpaka uwapangie watu ya kuonge.
Toa kisilani chako kama matusi kila mtu anayajua ila tunaheshimiana tu.

aliyeanza kutukana ni nani? kenge unaingilia yasiyokuhusu..
 
MMhhh sijawahi ona dola imeshinda daima dhidi ya wananchi...CCM tumieni busara japo kidogo tu

ccm wanajidanganya kuwa eti wana jeshi na kila kitu ila wameshindwa kujua umma ni zaidi ya kila kitu
 
Pinda aliposema mpigwe, hakuwa amekosea kwa 100%, akili km zako hazina tiba zaidi ya kichapo kikali. Haya maswali ni ya kipuuuzi kweli kweli. Sidhani kama maswali haya hayajawahi kujibiwa ni vile tu ili uelewe ni lazima udhamirie kuelewa.

GESI SIO UMEME PEKE YAKE. Utakuwa ni ujinga usio na kipimo kuzalisha umeme Mtwara halafu uusafirishe hadi Dar baadaye wewe huyo huyo usafirishe gesi nyingine kwa ajili ya matumizi yaliyobaki. Wengi wenu mnaofikiri kwa kutumia viungo vya kukalia mnadhani kuna tija Power Plant kwenye mji wako.

Umeme unaozalishwa Kidatu unazalishwa kwa maji na hatuna mahitaji ya maji toka Kidatu na ukumbuke maji yanazalisha umeme kwenye maporomoko kwa hiyo huwezi kuyasafirisha na kuuzalishia umeme sehemu nyingine ambapo hakuna maporomoko.

Labda nikuulize swali wewe na wengine wenye akili kama zako: Kwa mitambo ile ya umeme kuwepo pale Kidatu, ni nini wananchi wa Kidatu wanafaidika?

Tutumie akili zaidi ya ushabiki na upuuzi.
Jina lako kweli linaonyesha umetoka pabaya! swali hilo lilihitaji majibu ya dhati wewe umepigapiga na ukilaza wako!!
Maendeleo gani hayasikilizi walengwa!!? Funza wa UFISADI akipanda kichwani unafosi kama mlivyoforce Richmond!! Damn it!! I hate you!!!!!!!!!!!
 
we ni mpuuzi na mbuzi full yani...
jamaa kauliza maswali tena yenye msingi, matokeo yake umeleta maelezo yasiyokuwa na tija wala mashiko
Hisia zako mbovu ulizonazo juu ya mtwara ubakie nazo hukooo..

Nimekutizama siku nyingi sana wewe jamaa huwa sikuelewi elewi yaani,
unaona ni haki sehemu yenye rasilimali kubwa kama mtwara paendelee kuwa duni kwasababu tu watu wake hawajasoma..kama shule hazikuwepo ulitaka wasome wapi?

Unazingua sana na unajiona bora sana..

Hata wewe unaweza kuwa bora endapo utakuwa mwenye kujibu hoja badala ya kuwajadili watu wasio saizi yako. Hoja iliendelea hivi:

Labda nikuulize swali wewe na wengine wenye akili kama zako: Kwa mitambo ile ya umeme kuwepo pale Kidatu, ni nini wananchi wa Kidatu wanafaidika?

Unaposema shule hazikuwepo, naomba nikukumbushe kuwa, ni mkoa wenu ndio unaongoza kwa kuwa na shule zisizo na wanafunzi ukifuatiwa na Tanga. Twende kwenye swali: We unaona ni akili umeme uzalishwe na kusafirishwa na gesi nayo isafirishwe? Au mnafikiri umeme unazalishwa kwa ufahari badala ya matumizi?

Listen ndugu Jazba bin Mapovu, kusafirisha msongo wa 250mw sio sawa na kusafirisha ming'oko kwenye lori la Rubby au kwenye buti la Akida
 
Mwenyezi Mungu, Naamini upo na ulikuwepo tena utakuwepo. Mh. Muhongo kasema, gesi itatoka. Naamini aliamriwa aseme hayo ili apate mkate wake wa kila siku. Nakuomba Mungu, umpe mshipa wa soni. Aogope kuyatamka hayo, amwambie mwenye nyumba aseme hayo ili tumuulize, je ndivyo alivyosema 2010?? Mbona ccm hamuogopi ahadi zenu? Waoneni tu wana Mtwara. Waambieni kweli nao watawaelewa tu. Maneno ya kiburi na dharau kwa wana mtwara hayatatufikisha. Gesi kweli itatoka lakini haraka ya nini? Aliiacha Baba wa Taifa, wewe mbona kama umeshaona mwisho wako?? Jamani, gesi itoke lakini baada tu ya kusema na hao wananchi.
 
Jina lako kweli linaonyesha umetoka pabaya! swali hilo lilihitaji majibu ya dhati wewe umepigapiga na ukilaza wako!!
Maendeleo gani hayasikilizi walengwa!!? Funza wa UFISADI akipanda kichwani unafosi kama mlivyoforce Richmond!! Damn it!! I hate you!!!!!!!!!!!

You should at least like yourself anyway....sioni sababu ya mtu mzima kujivunia ujinga.

Mlipoambiwa gesi inapelekwa Bagamoyo, akili zenu zikagoma kufikiri, mkabeba hisia. Amini nakuambia, mkisimamishwa mmoja mmoja, hakuna atakayekuwa na jibu juu ya nini anaandamana na kufanya ghasia na tafsiri ya tendo hilo ni upumbavu. Hiyo kauli ya gesi kwenda Bagamoyo ndio anguko lenu

Walengwa wa GESI ni Watanzania, sio Mtwara peke yake
 
sijaona ukweli wa hii tarifa hata kidogo pengine anaushahidi zaidi lakini kama ndiyo huu hakuna ukweli wowote.

ni kweli mkuu...nimeshuhudia gari hilo kituo kikuu cha polisi hapa ntwara...limepak huku likiwa halina vioo vya mbele...likiwa na mabomba kwenye tela lake....amini
 
Kwani hiyo silabu ya concrete haibomoki?

Mkuu nilitoa lile wazo la concrete kwa utani baada ya kuona serikali inaendelea na mambo yake bila ya kusikiliza wananchi wa Mtwara wanahitaji nini, nini matarajio yao kutokana na mradi wenyewe.
 
mkuu, askari wataongezwa hasa wale walioko DRC na Dafur wakirejea hivyo kudhibiti hii hali.

Na inavyoonekana ni kuwa PM Mizengo Kayanza Pinda atahamishia ofisi zake Mtwara!!......Hii ni noma kwelikweli.....
 
Imeshakuwa soo,inaonekana wananchi bado wanakinyongo na nionavyo mimi ngoma bado mbichi kabisa ndo kwanza picha limeanza.serikali ya magamba ikibali kukaa na wananchi na mikataba iwrkwe wazi tujue kimeandikwa nini
 
Hata wewe unaweza kuwa bora endapo utakuwa mwenye kujibu hoja badala ya kuwajadili watu wasio saizi yako. Hoja iliendelea hivi:

Labda nikuulize swali wewe na wengine wenye akili kama zako: Kwa mitambo ile ya umeme kuwepo pale Kidatu, ni nini wananchi wa Kidatu wanafaidika?

Unaposema shule hazikuwepo, naomba nikukumbushe kuwa, ni mkoa wenu ndio unaongoza kwa kuwa na shule zisizo na wanafunzi ukifuatiwa na Tanga. Twende kwenye swali: We unaona ni akili umeme uzalishwe na kusafirishwa na gesi nayo isafirishwe? Au mnafikiri umeme unazalishwa kwa ufahari badala ya matumizi?

Listen ndugu Jazba bin Mapovu, kusafirisha msongo wa 250mw sio sawa na kusafirisha ming'oko kwenye lori la Rubby au kwenye buti la Akida

nilikuuliza wewe kwenu ni wapi?
ni kawaida sana ya maskini kama wewe kujiona mna kila kitu..
Uchache wa wanafunzi mashuleni ni matokeo ya kunyimwa shule tokea hapo mwanzo.
 
Back
Top Bottom