Mtwara Airport (MYW)

Tangi Tomofu kibiki

Senior Member
Mar 31, 2015
118
74
Wanajamvi naombeni msaada wenu, mm ni trip adviser, nina wageni wangu wa private jet watatoka Addiss Ababa wanataka kuland Mtwara moja kwa moja, wanahitaji namba ya simu ya mtwara airport. Tukitafta directory online hatupati.
Msaada anAyeweza tusaidia kupata namba ya TTCL ya ofisi mojawapo pale airport.
 
Ndo maana hao jamaa wanataka wapate mawasiliano ya moja kwa moja kutoka control tower wenyewe
hiyo ndo bongo.... tupo enzi ya karne ya sayansi na teknolojia lakini utadhani tupo kwenye ujima!!!!! yaani huwezi pata maelezo ya kina kwenye mtandao kwa vitu nyeti kama hivi....
 
374aebc5b14fba78934100f3bd3c0a0f.jpg
 
Wanajamvi naombeni msaada wenu, mm ni trip adviser, nina wageni wangu wa private jet watatoka Addiss Ababa wanataka kuland Mtwara moja kwa moja, wanahitaji namba ya simu ya mtwara airport. Tukitafta directory online hatupati.
Msaada anAyeweza tusaidia kupata namba ya TTCL ya ofisi mojawapo pale airport.
Waambie waende ubalozi wa Tz Addis Ababa watapewa tu
 
Nashukuru sana wana jamvi, nishasaidiwa tayari. Nimepata contact details zao na nishawatumia clients wangu.
Shukran za dhati zimwendee #barafu.
 
Back
Top Bottom