Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!


Go slowly my dear princess ariana!

Unaposema Bendera ni bendera tu?.Iwe ya michezo au burudani?. Are you serious?.Dou you know what are you talking about?.If yes why ask for that?.If not why dont you ask?.

Kama Bendera ni bendera ni kwanini haipo katika ofisi za WCB?.

UNAPOSEMA NDIO MJIFUNZE KUWA DIAMOND NDIO ICON YA TAIFA una maanisha nini?.Icon maana yake nini?.Dadavua kidogo.

There are alot of things we need to know Exactly about it.Siyo kuona Bendera kama kitambaa chenye rangi rangi,Lugha kama mawasiliano,Dini kama Imani,Olimpiki kama michezo nk.

I stand to be corrected,princess ariana.
 
sasa km mpira umetushinda,,riadha tumefeli,,netball tumetaga,,kuogelea hamna jipya,,kwann tusiwakilishwe na muziki???plan A imefeli acha tujaribu plan B..
 
We jinga sana si anakwenda kiwakilisha nchi ama we umeona kuna msanii mwingine wa Tanzania zaid yake apo

Kiwakilisha=Kuwakilisha.
Zaid=Zaidi.
Apo=Hapo.

Siyo vizuri kumuita mtu mwingine mjinga.Ujirekebishe.
 
We jinga sana si anakwenda kiwakilisha nchi ama we umeona kuna msanii mwingine wa Tanzania zaid yake apo
mkuu kutoa hoja sio lazima utukane! pale mwisho nimeandika ni mtizamo wangu,tunaweza tofautiana kuwaza. hivyo hili povu lako na tusi inaonyesha huna Elimu. huu mjadala haukufai.mpaka hapo ni wewe tu uliyeelewa vibaya mada yangu na kutukana.swala sio kubeba bendela.swala tukio lililopo pale na mbembaji wa bendela havina uhusiano.waziri anapaswa kufanya jitihada tupate uwakilishi wa soka.
 
Kwan Mpira Nin ? Na Muziki Nin ??
Zote Mbona Burudan We Unaeona Haviendani ila Waandaji wameona vinaendana !!
hate z Such A weak emotion !
 
Kwan Mpira Nin ? Na Muziki Nin ??
Zote Mbona Burudan We Unaeona Haviendani ila Waandaji wameona vinaendana !!
hate z Such A weak emotion !
hujui unachotetea.unamsimamo yako ya kuona anayetofautiana nawewe kimawazo hana anachokijua.you too naive on this back off please.
 
Inabidi tukubali kuwa Tanzania Bongo Fleva ndo fani ya vijana
kuliko mpira kuliko riadha kuliko chochote
The Boss huwa hUniangushi... Unajua Hii Nchi Hatujakubali kwamba Mpira Hatuwezi tufanye Mambo Mengine...
 
sijaona tatizo hapo. au ulitaka apewe Bibi yako
 
kumpa bendera diamond ni funzo kwa Taifa stars,
Ila pia mwenye hekima ameelewa nini amemaanisha..
ile Bendera imebeba ujumbe mkubwa kwa Tff
Nape amezungumza kiutu uzima Sana na Taifa stars kupitia ile Bendera.

Mwenye hekima sio lazima akwambie Acha,au usifanye nk! anaweza kuzungumza nawe kwa vitendo,na wewe kamauna hekima ukaelewa.
 
Ninaposema Bendera ni Bandera tu!
namaanisha bendera ya Tanzania in bendera tu,Kama ilivyo, Muwakilishi yoyote wa Tasnia yoyote kutokaTanzania atapewa bendera Kama Bendera ya Tanzania, nikimaanisha kuwa bendera haigawanyiki katika nyanja yoyote,kwamba burudani wana bendera yao, Miss Tanzania wana yao, Waogeleaji wana yao, Hapana! namaanisha bendera ni bendera tu tofauti ni Mwakilishi
Kwahiyo kupewa Diamond Bendera ambayo wangepewa Taiga Stars hakuna ubaya!
kwasababu kila MTU Ana anachowakilisha...
Mwenye mchango katika Taifa kimataifa, kukabidhiwa Bendera sio vibaya,haijalishi nini anafanya.
 
kasome comment yangu mpya nadhani nmeshajibu
 
Soka hatuliwezi aisee, mambo ya simba na yanga yamesha tuvuruga aisee, hatuwezi endelea kamwe bila kuondoa usimba na uyanga, acha tujaribu na michezo mingine
 
umeongea vizuri mkuu.ila waziri anapaswa kuweka malengo endelevu ya kuwapa bendera wanaoenda kushindana sio kutumbuiza,kwani kilichopo kule ni mtanange wa Soka.kuwasuta TAIFA STAIRS BIla mipango endelevu ni waste of time.Mbona JK alileta coach na tulishiriki fainali za AFRICA Kwa wachezaji wa ndani.sasa hapa kazi mbona kimyaa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…