G Game Theory Platinum Member Sep 5, 2006 8,545 835 Jan 31, 2010 #1 Fanyeni connections zenu Alfons Mensdorff-Pouilly Nuff said...
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,232 113,610 Jan 31, 2010 #2 Wee nawe bana...unapoteaga halafu ukirudi unarudigi na vijimambo...
jmushi1 Platinum Member Nov 2, 2007 24,990 22,523 Jan 31, 2010 #4 Huyu anaweza akawa anahusiana na ile kesi ya rada,huyu mu Austria ni middle man wa silaha ambaye ni corrupt.
Huyu anaweza akawa anahusiana na ile kesi ya rada,huyu mu Austria ni middle man wa silaha ambaye ni corrupt.
Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 22,603 29,748 Jan 31, 2010 #7 GT nipo hewani pls lete ishu ya nyuma ya pazia ya huyu mndago
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Jan 31, 2010 #8 Huyo ndiyo GT, msomaji maarufu wa gazeti la Rai.
RayB JF-Expert Member Nov 27, 2009 2,751 196 Jan 31, 2010 #9 Sijaelewa ina maana jamaa anaisaidia Tz kwa kupitia Ubalozi wa Tz Uk au?