Bodaboda acheni kubembeleza wanawake mnapoteza hela na mafuta ni hasara tupu

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Hongereni bodaboda kwa kazi nzuri ila leo niseme ukweli hapa ili mbadikike na mpige kazi kisawasawa.

Najua mna bembeleza kwa lengo la kuvutia biashara ila wengine wana bembeleza kwa lengo la kupata utelezi.

Bodaboda hao wanawake mnaowachekea chekea wanacheza na akili zenu na kuchezea mafuta na hela zenu ili mpate hasara kubwa mfilisike na mfe masikini, fanyeni kazi na muwe serious kama madereva wengine wanaotoa huduma katika vyombo vya usafiri, kubembeleza mwanamke na kuongea kwa lugha laini laini wakati wa kudai malipo ni dalili za kutokutambua unachokifanya.

Mpe huduma ya usafiri ukimfikisha dai chako mapema rudi kabebe mwingine kama ni connection chukua namba mambo ya kuachakuchukua nauli kisa kakupa namba ni dalili za kukosa akili kama mwanaume mpambanaji.

Hao wanawake watawafilisi nyie enendeleni kuwachekeachekea, anakufilisi halafu anakucheka.
 
Aiseé mkuu umenikumbusha ktu na nilisema nikikutana na mada km hii nitachangia

Hapa nilipopanga Kuna sister du mmoja kaamia Hana hata wiki ss tokaa aje hapa Kuna boda km mara tatu hv nshamwona anakujaa na vipaseli vyakee vimenona anamkabidhi bibie anamchekesha kdg then anasepa ,

Jana npo zangu boda km kawaida yake kaleta kipasel kampa bibie ,wakataniana kdg boda akasepa bibie akaka hapo kibarazan akafungua kipaseli chake akaanza kulaa uku akinikaribisha maana nilikuwa naanika nguo ,nikasemaa Asante ,bac bhana mara akaja dada wajiran mwingine akakaribishwa yy akuvunga akaenda akaanza kula naye bac km unavyowajua wanawake yulé dadaa aliyeletewa chakula na boda akamwambiaa jiran yake yaan Kuna wanaume wanajua kutesekea wanawakee na awajali watapata utamu au watakosaa ,yaan huyu boda unayemwonaga hapa ananihudumia kuliko hata baba wa mtoto wangu anavyomuhudumiaga mtt wakee na cjawah hata lala naye na nipo naye mwaka na nusu hata hapa nilipopanga kanionyesha yy ila Kodi kalipa mwinginee nikamdanganya Kodi nimepata Kwenye harakat zangu maana nilimwonea HURUMA akilipa na Kodi ingali ananihudumia vitu vingi nikaonaa Kodi nimsaidiee yaan cna kazi Wala mume ila naishi km Nina mumee

Bodaa wanajitolea sana kuliko hata wenye kazi za maofcni na boda unakuta ya mkatabaaa..
 
Huyo boda namfahamu vizuri Sana Ni mtu wa kujituma Sana na kwake alikuwa anajali Sana na Mambo ya kijinga kuchunwa Ovyo alikuwa Hana Kuna Siku Moja tu huyo dada jilani yako alimbeba kosa kubwa akapewa namba ya Simu naye akatoa yake kosa kubwa yule Boda akamwambia dada jina lake akamroga ndio ikawa hivo Kama unavoona kila Siku analeta Misosi kwa jilani yako.!
 
Aiseé mkuu umenikumbusha ktu na nilisema nikikutana na mada km hii nitachangia

Hapa nilipopanga Kuna sister du mmoja kaamia Hana hata wiki ss tokaa aje hapa Kuna boda km mara tatu hv nshamwona anakujaa na vipaseli vyakee vimenona anamkabidhi bibie anamchekesha kdg then anasepa ,

Jana npo zangu boda km kawaida yake kaleta kipasel kampa bibie ,wakataniana kdg boda akasepa bibie akaka hapo kibarazan akafungua kipaseli chake akaanza kulaa uku akinikaribisha maana nilikuwa naanika nguo ,nikasemaa Asante ,bac bhana mara akaja dada wajiran mwingine akakaribishwa yy akuvunga akaenda akaanza kula naye bac km unavyowajua wanawake yulé dadaa aliyeletewa chakula na boda akamwambiaa jiran yake yaan Kuna wanaume wanajua kutesekea wanawakee na awajali watapata utamu au watakosaa ,yaan huyu boda unayemwonaga hapa ananihudumia kuliko hata baba wa mtoto wangu anavyomuhudumiaga mtt wakee na cjawah hata lala naye na nipo naye mwaka na nusu hata hapa nilipopanga kanionyesha yy ila Kodi kalipa mwinginee nikamdanganya Kodi nimepata Kwenye harakat zangu maana nilimwonea HURUMA akilipa na Kodi ingali ananihudumia vitu vingi nikaonaa Kodi nimsaidiee yaan cna kazi Wala mume ila naishi km Nina mumee

Bodaa wanajitolea sana kuliko hata wenye kazi za maofcni na boda unakuta ya mkatabaaa..
Chai! Mwaka na nusu! Chai!
 
Hongereni bodaboda kwa kazi nzuri ila leo niseme ukweli hapa ili mbadikike na mpige kazi kisawasawa.

Najua mna bembeleza kwa lengo la kuvutia biashara ila wengine wana bembeleza kwa lengo la kupata utelezi.

Bodaboda hao wanawake mnaowachekea chekea wanacheza na akili zenu na kuchezea mafuta na hela zenu ili mpate hasara kubwa mfilisike na mfe masikini, fanyeni kazi na muwe serious kama madereva wengine wanaotoa huduma katika vyombo vya usafiri, kubembeleza mwanamke na kuongea kwa lugha laini laini wakati wa kudai malipo ni dalili za kutokutambua unachokifanya.

Mpe huduma ya usafiri ukimfikisha dai chako mapema rudi kabebe mwingine kama ni connection chukua namba mambo ya kuachakuchukua nauli kisa kakupa namba ni dalili za kukosa akili kama mwanaume mpambanaji.

Hao wanawake watawafilisi nyie enendeleni kuwachekeachekea, anakufilisi halafu anakucheka.
Fact Fact Fact
 
Back
Top Bottom