Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,064
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?

Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.

Move imekuja kuharibika kupitia ile Statment ya TEC ambapo walisema hawataki kuona upotosjaji kwenye lile tukio. Hapo Ile move ikawa imekufa.
 
Upelelezi ukionyesha kuna wanaCHADEMA wanahusika usije kulalamika
 
Inaonekana walienda kumuomba wajifanye wamemkamata na baada ya kutangaza wakaenda tena kumuomba msamaha
 
Aliyejamba ndio aliyekunya sasa anaweza kujisingizia mfano muriro
 
Maaskofu wa RC ukiwaletea porojo au ubabaishaji wa aina yoyote ile, watakuumbua mchana kweupe. Akili kubwa sana wale.

Ni Masters na PhD tu pale ndiyo wanamiliki. Sasa wewe wavamie tu na cheti chako cha form four chenye division IV.28 uone kitakacho kupata!
 
We uliamini ule usanii wa Muliro? Huyo Edward Coseny unemuona kituo gani cha polisi?

Muliro aliyesema Kitima alishambuliwa wakati anakunywa unataka akanate washambuliaji?
 
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?

Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.

Move imekuja kuharibika kupitia ile Statment ya TEC ambapo walisema hawataki kuona upotosjaji kwenye lile tukio. Hapo Ile move ikawa imekufa.
Huyo mtu naona alikuwa na acting role ila matokeo yake scene yake imefutwa juu kwa juu kwahio hawezi kuonekana popote.
 
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?

Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.

Move imekuja kuharibika kupitia ile Statment ya TEC ambapo walisema hawataki kuona upotosjaji kwenye lile tukio. Hapo Ile move ikawa imekufa.
Kosa kubwa walilolifanya TEC ni kupokea ile milioni 20 na kutoirudisha.

Suala la Kitima ndo limeisha hilo. Hakuna mtu aliyefanya lile tukio atakayekamatwa wala kuchukuliwa hatua maana tukio lile limefanywa na vyombo vya dola kwa maelekezo ya CCM na Viongozi wake.
 
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?

Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.

Move imekuja kuharibika kupitia ile Statment ya TEC ambapo walisema hawataki kuona upotosjaji kwenye lile tukio. Hapo Ile move ikawa imekufa.
da noma ,wamekwama kutunga uongo
 
Mitandao ya kijamii ikipaza sauti hakuna wa kuzizima period
 
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?

Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.

Move imekuja kuharibika kupitia ile Statment ya TEC ambapo walisema hawataki kuona upotosjaji kwenye lile tukio. Hapo Ile move ikawa imekufa.
Picha la kihindi
 
Kifo cha mende
 
vyombo vya dola kwa maelekezo ya CCM na Viongozi wake.
Pamoja na ubovu wa CCM tunaoufahamu sisi sote; ni wakati mzuri sasa wa kuweka tofauti iliyo wazi.
Haya maovu yanayofanyika wakati huu, CCM inatumiwa tu kama jina na kinga ya kundi ovu linalofanya uhalifu ambao hata wengi waliomo ndani ya CCM hawautaki.
Ni muhimu kulitambua kundi hili na kulitofautisha na CCM, kama tutafanikiwa kuiepusha nchi yetu na mtafaruku huu unao tukabili

Tukilitambua vyema hili kundi, itakuwa rahisi kulikabili na kuliangamiza; kuliko kuhusisha hata mateka waliomo ndani ya chama hicho.

Vyombo vya dola sasa vinatumiwa tu na kundi hili; na wao wakidhani ni maagizo ya chama; kumbe ni ya kikundi kiovu ndani na nje ya chama hicho.
 
Back
Top Bottom