Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Sasa naona pamoja na upimbi ulionao sasa kwa mbali umeanza kunielewa.
Umesema wachina na wahindi kumbe wako smart na wana uwezo wa kujifunza lugha muda wowote wanapofika kwenye nchi husika hii ndio point yangu niliongea jana halafu wewe na mapimbi wenzako mkanikatalia.
Kama wahindi na wanigeria wanaweza kujifunza lugha immediately anapofika katika nchi husika wewe unashindwaje kujifunza unapofika kwenye nchi husika?Maana yake umekubali kwamba wewe ni kilaza/mjinga na hufundishiki.
Mimi niko na uwezo huo wa kutua kwenye nchi yoyote na nikajifunza fasta lugha yao kwa kuzungumza nao mitaani.
Ndio maana nimekwambia kichwa chako ni kigumu sana kuelewa maisha ya karne ya 21, kimeganda karne ya 18.

Wahindi wametawaliwa na waingereza karibu karne moja, na wanajulikana kwa kufanya kazi duniani kote. Labda hujui historia yao au una chuki binafsi nao. Na hao wachina vile vile wanafahamu kiingereza na ni wasafiri wa miaka sana kabla afrika haijagawanywa Berlin.

Pia, unaweza kusoma lugha yoyote kama hufahamu kama nilivyojifunza Kijapani nilivyowasili Tokyo. Hao wachina wanaweza kujifunza lugha yoyote kwa sababu ni smart kama wanigeria. Wapo flexible kama wafilipino, hawana akili mgando ya karne ya 18 kama wewe.

Unadharau lugha za kigeni kama sio kigezo muhimu kujua kuliko competency ya fani yako. Lakini utafanya mawasiliano vipi na dunia kama wewe ni Msukuma na unataka kuuza nyama nchi za nje kama wanavyofanya Australia au Brazil?
Sasa utataka kusema lugha ya kuwasiliana na wateja sio muhimu hapo? Wataelewa Kisukuma wateja wako nje?

Acha chuki za kike bana.

Wewe kama umeridhika na maisha yako Tanzania, kaa tu, lakini usijifanye unaijua dunia na kuwahoji watu kwa nini wanaishi nje au kwa nini mzungu anakuja afrika, sijui mchina. Huijui dunia ya leo na ndio maana fikra zako ni za kizamani.

Nina uhakika wa asilimia 150, katika soko la ajira nje, pamoja na kutojua fani yako, lakini kwa kusoma mawazo yako tu hapa, najua mwajiri yoyote hawezi kukuajiri. Your mindset is a liability.
You are out of touch with the real world.
 
waambie hao waliokariri notsi za IST.
Na sijui kama wanakifahamu hicho kitabu.
Ila msisahau kwa Sasa Elimu ni haki ya msingi ya mtoto na si URITHI km mtazamo wa zamani ulivyo.nyakati zimebadilika dunia inaenda kasi sana. URITHI kwa mtoto kwa sasa ni majumba,mashamba,viwanja,magari na biashara mbalimbali. SOMA Rich Dady Poor Dady utaanza kufikiri tofauti.
 
NATAMANI KILA MTU HUMU ANGESOMA KITABU CHA Rich Dady Poor Dady. Wengi mngebadilisha mitazamo yenu kuhusu mnavyofikiri kuhusu watoto wenu.
Kiyosaki anajua kuandika vizuri sana. Kitabu kitapanua mawazo ya kutafuta fedha.

Mimi napenda autobiography. Inakupa mwangaza zaidi na mifano hai ya jinsi gani mfanyabiashara au mwanasiasa kaweza kujiinua.

Lee Kuan Yew's bio is my all time favourite.
 
International school mitihani yao mirahisi mno sema wanacharge pesa nyingi lakini elimu sio strong kivile
 
Sasa naona pamoja na upimbi ulionao sasa kwa mbali umeanza kunielewa.
Umesema wachina na wahindi kumbe wako smart na wana uwezo wa kujifunza lugha muda wowote wanapofika kwenye nchi husika hii ndio point yangu niliongea jana halafu wewe na mapimbi wenzako mkanikatalia.
Kama wahindi na wanigeria wanaweza kujifunza lugha immediately anapofika katika nchi husika wewe unashindwaje kujifunza unapofika kwenye nchi husika?Maana yake umekubali kwamba wewe ni kilaza/mjinga na hufundishiki.
Mimi niko na uwezo huo wa kutua kwenye nchi yoyote na nikajifunza fasta lugha yao kwa kuzungumza nao mitaani.
Wewe huwezi kujieleza, mbishi na hujanielewa bado. Sina mda wa kubishana. Ni mzito sana wa kuelewa.

Mtazamo wako hautakuwa sawa na wangu mpaka mwisho wa dunia. I'm a globalist, wewe ni xenophobic with very narrow mindedness.

Let's agree to disagree and move on.
 
who told you?wewe safari zangu unazijua?
Wewe huwezi kujieleza, mbishi na hujanielewa bado. Sina mda wa kubishana. Ni mzito sana wa kuelewa.

Mtazamo wako hautakuwa sawa na wangu mpaka mwisho wa dunia. I'm a globalist, wewe ni xenophobic with very narrow mindedness.

Let's agree to disagree and move on.
 
Unahangaika naye wa nini? Alianzia kwangu, nilipogundua kuwa na-deal na mjinga, nikaamua kum-ignore.
It's amazing how one can be so ignorant of the way the world operates.

I think I'll take your advice and read my book instead.
 
kazi ya mwalimu mzuri ni kugundua talents za wanafunzi wake na kuwaendelezea huko ndiyo maana tunafundishwa masomo ktik field nyingi. Inter. School wametoa vipaji vipi? Nilikuwa Wellington kwenye semina ya Madaktari wa Covid na st Kayumbas wengi tu kutoka Tz, kusoma ni juhudi ya mtoto mwenyewe na Allah, Zanga Mobutu kasoma shule nzuri yuko wapi?

Umesema COVID! Okay , say it again and think about it
 
Tusubiri kidogo JPM atatufungulia njia, kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kumsomesha mwanae katika shule bora.
 
Na proud yao kubwa ni mtoto kuzungumza kiingereza.Lkn taaluma km taaluma tusidanganyane.Nina uzoefu na hawa watoto.Siyo strong km tunavyoaminishwa.
Ni kweli watu wasiojua kutuliza kichwa na kuliangalia jambo kwa makini hawawezi kujua hilo.
Wao ni watu wa kufuata mkumbo tu bila kujua sababu.
 
kazi ya mwalimu mzuri ni kugundua talents za wanafunzi wake na kuwaendelezea huko ndiyo maana tunafundishwa masomo ktik field nyingi. Inter. School wametoa vipaji vipi? Nilikuwa Wellington kwenye semina ya Madaktari wa Covid na st Kayumbas wengi tu kutoka Tz, kusoma ni juhudi ya mtoto mwenyewe na Allah, Zanga Mobutu kasoma shule nzuri yuko wapi?

Wangapi wana hizo unazoita Juhudi na Allah na hawajafika huko, how do you explain that ?
 
Hahaa...mtoto akiwa bright huhitaji kumpeleka mashule yenye majina makubwa sijui ada mil. 10. Mwache hapo hapo ila habari yake wataipata tu kwenye matokeo ya kitaifa. Mimi ilinigharimu niliposoma O-level private ambapo kila kipindi mwalimu anaingia, shida ikaja A-level mwalimu humwoni na material unajitafutia. Kwenye mazingira kama hayo ndo utamwona mwanafunzi ambaye ni kichwa.....
Umechanganya international school na private school,Kuna private school ambazo zinatumia mitaala sawa na government school then Kuna hizi international School zinatumia mitaala tofauti like Cambridge syllabus
 
Back
Top Bottom