Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Lione hili nalo bichwa kama Lisu.

Kujieleza kwa kiingereza siyo kigezo cha kuelimika .

Kiingereza ni lugha tu kama kisukuma
Ujinga umewafanya muwe wapuuzi kabisa unasema kujieleza kwa kiingereza sio kigezo daah
halafu nyie ndio mnatawala hii Nch
 
Mimi sizikubali sana hizo international school kwasababu mkifika Chuo kikuu,hakuna Significance difference ya wale waliosoma St.Kayumba na waliosoma International.
Usichanganye Feza, Marian, Kemble's, keizerege, St. Marys mazinde juu, Kenton, baobab, siyo International schools.
 
Kiingereza ni lugha tu kama kimakonde tu cha huko kwenu
Lugha ni ujuzi, kama kusoma kuwa daktari au engineer. Kiingereza kina heshima zaidi kutokana na watu wengi kukitumia kama njia kuu ya mawasiliano duniani.

Huwezi kufananisha na Kiswahili au Kisukuma kwa sababu hakina nguvu ya kiuchumi nyuma yake. Kila mtu sasa anajifunza Kichina kwa sababu ya nguvu ya kiuchumi nyuma yake. Miaka ya 70 na 80 ilikuwa Kijapani. Kuna Wanigeria China wapo katika TV kama wasanii, mishahara yao ni zaidi ya $6000 kwa mwezu.

Watanzania wengi wamesoma shule za kata na wamechelewa kujifunza Kiingereza kifasihi. Kusoma lugha lazima ianze ukiwa shule ya vidudu, sio sekondari. Tuliobahatika kusoma private, Kiingereza hakitusumbui na hatujifichi nyuma ya pazia ya sijui ni lugha ya meli au ya mabeberu au sijui Wachina hawajui Kiingereza lakini ni matajiri. Wengi wetu hatujui ujuzi huu kwa kuwa tumeanza kusoma tukiwa ukubwani. Ni muhimu kuipa heshima lugha iliyopewa status ya "official language". Warusi, Wachina na Wajapani, Kiingereza sio "official language" bali ni somo tu kama hisabati.

Kama KIingereza sio ujuzi, wazungu wengi hapa Asia wasingepewa $2500 kwa mwezi kuwafundisha Kiingereza Wajapani, Wakorea Wachina na raia wa ASEAN.

Demand and supply.
 
Kama Trump mwenyewe hawezi kujieleza lakini ndo Rais wa taifa kubwa duniani,tafuta pesa mzee mengine yote yatakuja yenyewe..ushawahi kumsikia mzee Bakhresa akiongea? au marehemu Mengi? hawawezi kuongea sentensi tatu ukazielewa direct bila ya kudhania walichomaanisha.
Hahaaaaaa.... Umesema kweli. Lakini je hawa wanaelimu inayozungumzwa hapa au wana hela? Au ukiwa na hela automatically unakuwa na elimu inayozungumzwa hapa?
 
Yaani wewe kwa mbali umeelezea vizuri ila unaingia na kutoka kwenye point.
mwenyewe umeshasema kwamba wachina na wajapan hawatumii kiingereza na wana mafanikio at the same time unasema kiingereza ukijua kinakufanya ufanikiwe eti kwa vile ni official language.
Mimi naona hamjui mnachokiongea bali mmekaririshana tu mitaani.
Ungekuwa umetembea kidogo kwenye baadhi ya nchi ungepata uhalisia.
Kuna nchi kama ujerumani hawataki kabisa kusikia huo upuuzi wa kiingereza na ukienda kule ukaleta mbwembwe zako za kiingereza hakuna anayekusikiliza.
Hata ukimsalimia mtu kwa kiingereza hakuna anayekujibu watakupita tu kama mdudu.
Sasa swali lingine nakuuliza,kama wewe ni mtu unapenda lugha kwa nini ukariri lugha ya kiingereza peke yake?kwa nini huongelei kifaransa?kireno?kijerumani?kihispania?kiarabu?
Kwa sababu huwezi kujua katika maisha yako utaenda kuishi au kutembelea nchi gani na si kila nchi wanajua hicho kiingereza chako mfano ukienda msumbiji au angola wanaongea kireno tu.
Sasa wewe ukienda hapo na kiingereza chako cha IST kitakusaidia nini.
Tuacheni kukariri jamani dunia ya sasa inahitaji mambo kwa vitendo.
Lugha ni ujuzi, kama kusoma kuwa daktari au engineer. Kiingereza kina heshima zaidi kutokana na watu wengi kukitumia kama njia kuu ya mawasiliano duniani.

Huwezi kufananisha na Kiswahili au Kisukuma kwa sababu hakina nguvu ya kiuchumi nyuma yake. Kila mtu sasa anajifunza Kichina kwa sababu ya nguvu ya kiuchumi nyuma yake. Miaka ya 70 na 80 ilikuwa Kijapani. Kuna Wanigeria China wapo katika TV kama wasanii, mishahara yao ni zaidi ya $6000 kwa mwezu.

Watanzania wengi wamesoma shule za kata na wamechelewa kujifunza Kiingereza kifasihi. Kusoma lugha lazima ianze ukiwa shule ya vidudu, sio sekondari. Tuliobahatika kusoma private, Kiingereza hakitusumbui na hatujifichi nyuma ya pazia ya sijui ni lugha ya meli au ya mabeberu au sijui Wachina hawajui Kiingereza lakini ni matajiri. Wengi wetu hatujui ujuzi huu kwa kuwa tumeanza kusoma tukiwa ukubwani. Ni muhimu kuipa heshima lugha iliyopewa status ya "official language". Warusi, Wachina na Wajapani, Kiingereza sio "official language" bali ni somo tu kama hisabati.

Kama KIingereza sio ujuzi, wazungu wengi hapa Asia wasingepewa $2500 kwa mwezi kuwafundisha Kiingereza Wajapani, Wakorea Wachina na raia wa ASEAN.

Demand and supply.
 
Kayumba mkubwa wewe. Sitakujibu tena. Nimegundua wewe ni wa aina gani.

Kumbe matamanio yako ni maghorofa na mabasi! Mi nilifikiri tunaongelea elimu nzuri. Basi katafute mabasi na maghorofa. Kwa upande wangu nimeufunga mjadala na wewe.
UNESCO walitoa utafiti kuhusu udumavu wa akili kwa nchi za Africa na Tz ikiwepo nafkiri ndo hicho unachokiona kwa huyo jamaa.
 
Yaani wewe kwa mbali umeelezea vizuri ila unaingia na kutoka kwenye point.
mwenyewe umeshasema kwamba wachina na wajapan hawatumii kiingereza na wana mafanikio at the same time unasema kiingereza ukijua kinakufanya ufanikiwe eti kwa vile ni official language.
Mimi naona hamjui mnachokiongea bali mmekaririshana tu mitaani.
Ungekuwa umetembea kidogo kwenye baadhi ya nchi ungepata uhalisia.
Kuna nchi kama ujerumani hawataki kabisa kusikia huo upuuzi wa kiingereza na ukienda kule ukaleta mbwembwe zako za kiingereza hakuna anayekusikiliza.
Hata ukimsalimia mtu kwa kiingereza hakuna anayekujibu watakupita tu kama mdudu.
Sasa swali lingine nakuuliza,kama wewe ni mtu unapenda lugha kwa nini ukariri lugha ya kiingereza peke yake?kwa nini huongelei kifaransa?kireno?kijerumani?kihispania?kiarabu?
Kwa sababu huwezi kujua katika maisha yako utaenda kuishi au kutembelea nchi gani na si kila nchi wanajua hicho kiingereza chako mfano ukienda msumbiji au angola wanaongea kireno tu.
Sasa wewe ukienda hapo na kiingereza chako cha IST kitakusaidia nini.
Tuacheni kukariri jamani dunia ya sasa inahitaji mambo kwa vitendo.
Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.

Kutaka sijui nijue kireno kwa kuwa niweze kuwasiliana na Waangola na Wareno ni point ya kijinga. Mazingira yangu ndio yaliyonipa access ya kujua Kiswahili na Kiingereza, Ninaishi Japan, nimejifunza Kijapani. Ningeishi Ureno ningejifunza Kireno. Nimeenda Lisbon na sijapata shida ya kuwasiliana na watu. Biashara kubwa ya kitalii inawalazimisha watu wengi kujua lugha za kigeni pamoja na Kiingereza kwa manufaa ya uchumi wao. Nimeishi Marekani, lugha ya Kihispanic ni ya pili baada ya Kiingereza. Nimejifunza chuoni kwa kuwa somo langu linahitaji lugha ya kigeni.

Nimeishi nchi tano za kitajiri na kutembea zaidi ya nchi 45 kwa kazi na likizo. Sijapata usumbufu wowote wa mawasiliano kwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Ukifika Singapore, kuna arrival cards kwa lugha 10 kwa wageni kujaza, sijaona ya Kiswahili bado. Sasa jaribu kutumia Kisukuma au Kiswahili kama watakuelewa immigration! Hapo ndio utajua umuhimu wa kujua lugha ya kimataifa.

Swali. Kama wewe ukija Japan na lugha yako ya Kiswahili tu, na mimi nimekuja Japan na lugha ya Kiingereza na Kiswahili , nani kati yetu atapata ajira tukienda kuomba kazi pamoja? (assume tuna elimu sawa)
 
I feel you man , people are just ignorant sana . Na hawataki kukubali wala kujifunza . Ni tatizo kubwa kwetu wabongo wengi
 
It's very true.
Some people lack analytical skills or argue just for the sake of argument.

But it's our duty to educate, especially the ignorant ones.

sapiens qui prospicit:
Wise is he who looks ahead.
 
Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.

Kutaka sijui nijue kireno kwa kuwa niweze kuwasiliana na Waangola na Wareno ni point ya kijinga. Mazingira yangu ndio yaliyonipa access ya kujua Kiswahili na Kiingereza, Ninaishi Japan, nimejifunza Kijapani. Ningeishi Ureno ningejifunza Kireno. Nimeenda Lisbon na sijapata shida ya kuwasiliana na watu. Biashara kubwa ya kitalii inawalazimisha watu wengi kujua lugha za kigeni pamoja na Kiingereza kwa manufaa ya uchumi wao. Nimeishi Marekani, lugha ya Kihispanic ni ya pili baada ya Kiingereza. Nimejifunza chuoni kwa kuwa somo langu linahitaji lugha ya kigeni.

Nimeishi nchi tano za kitajiri na kutembea zaidi ya nchi 45 kwa kazi na likizo. Sijapata usumbufu wowote wa mawasiliano kwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Ukifika Singapore, kuna arrival cards kwa lugha 10 kwa wageni kujaza, sijaona ya Kiswahili bado. Sasa jaribu kutumia Kisukuma au Kiswahili kama watakuelewa immigration! Hapo ndio utajua umuhimu wa kujua lugha ya kimataifa.

Swali. Kama wewe ukija Japan na lugha yako ya Kiswahili tu, na mimi nimekuja Japan na lugha ya Kiingereza na Kiswahili , nani kati yetu atapata ajira tukienda kuomba kazi pamoja? (assume tuna elimu sawa)
Wewe hata kama unasema umetembea nchi nyingi ila unaonekana bado una kichwa kizito,exposure haijakusaidia.
What if ukienda kwenye nchi ya kifaransa?utashindwa kuishi na kuondoka kule kwa sababu hakuna kiingereza?
Tuache kukariri.
Yaani mawazo mnayoongea sasa hivi mimi nilikuwa nayo miaka hiyo nasoma shule ya msingi,nilitumia nguvu nyingi sana kukifuatilia kiingereza lakini baadae baada ya kuwa mkubwa nikaona mitaani hakuna wa kuongea naye nikagundua kumbe ni upumbavu tu nikaachana nacho.
 
Alafu wewe mbu wa dengue u have proven urself stupid kwenye huu uzi. Sasa hao maproPESA wetu wa NECTA wote wamekimbila siasa hamna kitu kichwani asikuambie mtu huwez soma International ukafanya siasa kwa nchi kama TZ ni kujishusha elimu na pia kupoteza muda na pia salary offered kwa skills zako siasa utaona upuuzi , elimu yetu inatufanya tuwe na njaa hata kama tuna PHD , imetujenga kuwa maskini wa kutupa na ndio maana hatuprogress
 
Wewe hata kama unasema umetembea nchi nyingi ila unaonekana bado una kichwa kizito,exposure haijakusaidia.
What if ukienda kwenye nchi ya kifaransa?utashindwa kuishi na kuondoka kule kwa sababu hakuna kiingereza?
Tuache kukariri.
Yaani mawazo mnayoongea sasa hivi mimi nilikuwa nayo miaka hiyo nasoma shule ya msingi,nilitumia nguvu nyingi sana kukifuatilia kiingereza lakini baadae baada ya kuwa mkubwa nikaona mitaani hakuna wa kuongea naye nikagundua kumbe ni upumbavu tu nikaachana nacho.
Wewe ni kichwa ngumu kuelewa sana.
Nakuelewesha mara ya mwisho.

Kujua lugha yoyote ni kipaji. Si Kiingereza tu, lugha yoyote. Kujua lugha nyingi inakupa points zaidi katika CV yako.

Sasa nikienda sijui Ufaransa au Msumbiji, inahusika nini na sababu ya kutojua Kiingereza fasihi kwa Watanzania wengi japo ni "lugha rasmi" ya pili ya nchi?????

Pia umekwepa kujibu swali langu, nani atapata ajira kama tukienda kuomba kazi huku wewe unajua Kiswahili tu na mimi najua Kiingereza na Kiswahili?
 
Back
Top Bottom