mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,855
- 10,033
Kumbe wewe ni mjinga wa mwisho nani alikwambia kuongea kiingereza ni kipaji?
Ina maana huko uingereza hakuna wehu wanaozungumza kiingereza?hakuna vichaa wanaozungumza kiingereza?Hakuna mataahira wanaozungumza kiingereza?hakuna vilaza kama wewe wanaozungumza kiingereza?
Katika pumba zote ulizoongea hii imevuka viwango SGR

Wewe ni kichwa ngumu kuelewa sana.
Nakuelewesha mara ya mwisho.
Kujua lugha yoyote ni kipaji. Si Kiingereza tu, lugha yoyote. Kujua lugha nyingi inakupa points zaidi katika CV yako.
Sasa nikienda sijui Ufaransa au Msumbiji, inahusika nini na sababu ya kutojua Kiingereza fasihi kwa Watanzania wengi japo ni "lugha rasmi" ya pili ya nchi?????
Pia umekwepa kujibu swali langu, nani atapata ajira kama tukienda kuomba kazi huku wewe unajua Kiswahili tu na mimi najua Kiingereza na Kiswahili?