Mtu 'romantic' anakuwaje?

Mtu 'romantic' anakuwaje?

Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.

sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..

MSAADA TAFADHALI!!!!
i think kuwa romantic ni kuwa na mvuto wa kimapenzi like the way you talk to her,muonekano wako,jinsi unavomcare n.k n.k.
 
mashallah,,,,na sie wengine twajifunzia hapahapa

Ndo mtoe shukrani za dhati kwa mtoa mada alieamua kufunguka ya moyoni licha ya kuambiwa kuwa analeta ufacebook jamii forums na kina lady furaha.
 
Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.

sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..

MSAADA TAFADHALI!!!!

hallo, hallo........

Bofya: Top 10: Signs You're Not Romantic - AskMen
 
kuna watu huwatumia wapenz wao kadi,,,,zenye ujumbe wa mapenz,ila nahis muhusika ukiandika maneno yale kwa mwandiko wako,it sound more,
mfano hata kumwambia 'I MIsS U',
haya unaweza kuyaandika kwenye kipande cha karatas tu

naunga mkono hoja!
 
Kwa MMU i have this strong feeling Heaven on Earth is so romantic kutokana na jinsi anavyocomment tofauti na mie wa majibu ya mkato-mkato
 
Last edited by a moderator:
lover boys ndio wanajua maana ya kuwa romantic..

sio unampigia simu mpenzi wako unaongea kama unakamta jambazi sugu!

mi najishukuru nimebarikiwa hako kakipaji ka kuwa romantic!

hivi ushawahi kufanya sexcharting ama sexphoning? those are parts of being romantic!

girls will love you more!!

oohhh yeah!
 
Mhhhhhh Excel tupia basi japo picha kuprove uromantic wako. lol
 
Last edited by a moderator:
Punguza 'ugumu'..ukiwa na mpenzio,talk sweetly and sometimes talk really dirty with her..look at her in the eyes,m'kiss polepole,hugs kwa wingi,hold her hand,waist n.k..inshort show how much u love n u crazy abt her
 
Very True!!!

Mi nahisi kuwa Romantic ni kupenda kimahaba tu!
....LOVE...
1 Normal love: rafiki na rafiki, mtu na mzazi wake etc.
2 Romantic love: ni mapenzi ya ke & ke wanaoweza kugegedana!!!
...
....Romantic...
Ni hali ya kumjali mwenzio, kumuonesha upendo wa hali ya juu! Kumdekeza, kujishusha, kumpetipeti n.k!
Kugegeda vizuri na kuongea usiku kucha haitoshi kabisaa kuwa na hiyo sifa (romantic)
....
Mara nyingi watu wenye sifa hiyo, huzaliwa nayo!
...
NB: hayo ni kwa mujibu wa uelewa wangu!
 
Last edited by a moderator:
Punguza 'ugumu'..ukiwa na mpenzio,talk sweetly and sometimes talk really dirty with her..look at her in the eyes,m'kiss polepole,hugs kwa wingi,hold her hand,waist n.k..inshort show how much u love n u crazy abt her

hahaha umenikumbusha jamaa mmoja jamani anapapara kunako mapenzi utafikiri anakimbizwa sikumvumiliaga hata kidogo
 
Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.

sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..

MSAADA TAFADHALI!!!!

For Promotional Use Only.
 
Kuna Romantic aina tatu kwa Wanawake.
1, kumnunulia zawadi (kadi, maua, nguo, viatu, Ice Cream, baloons, etc)
2, Romantic words (call her, sweety, mamitoo, my lady, honey, my love etc)
3. Kum'pa kampani (kuwanae pamoja kila mahali, kumsaidia kazi, kupika kufua, etc)
 
Mhhhhhh Excel tupia basi japo picha kuprove uromantic wako. lol

usijali sister! niko hapa kwa ajili yako!

feel comfortable when you are with me!

christmas-wallpapers-pictures-21.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom