Mtu 'romantic' anakuwaje?

Mtu 'romantic' anakuwaje?

Kuna Romantic aina tatu kwa Wanawake.
1, kumnunulia zawadi (kadi, maua, nguo, viatu, Ice Cream, baloons, etc)
2, Romantic words (call her, sweety, mamitoo, my lady, honey, my love etc)
3. Kum'pa kampani (kuwanae pamoja kila mahali, kumsaidia kazi, kupika kufua, etc)

i disagree with namba three! hizo ni normal caring tu mkuu! i think they dont have relationships with being romantic!

then.....!!!

Romantic-Quotes-Pictures-6.jpg
 
Kwa MMU i have this strong feeling Heaven on Earth is so romantic kutokana na jinsi anavyocomment tofauti na mie wa majibu ya mkato-mkato

hivi jamani mwanamke anaweza kuwa Romantic kwa mwanamke mwenzie?

hii inamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
i think kuwa romantic ni kuwa na mvuto wa kimapenzi like the way you talk to her,muonekano wako,jinsi unavomcare n.k n.k.

kweli kabisa!

lakini unajua kuwa kuwa romantic kwa sisi waafrika ni rare cases! japo siku hizi tunaonyesha tunaweza kuwa romantic!

(naweza sema kuwa uromance unaoneshwa na watu wa mujini na wale wenye vielimu vyao kiasi fulani!)

guys mi niko always charmful tu my girlfriend and all friends in general!
 
Kiongozi, wewe pita tu.. Mimi haya mambo ya kiwa romantic yananikumbusha sometime back..sikujuwa kama bongo babes are not romantic, or what.
I one day went shopping in Game Supermarket, and I happened to set my eyes on some femme fatale. Lol, alikuwa beautiful siyo mchezo.. So I decided to pull some prunks on her by intentionally bumping into her. Her things dropped down, and we both fell on our knees to pick the stuff..our hands got in touch, I looked into her eyes as she looked into mine. There was dead silence. Literally, we were supposed to kiss, but what she told me got me off the mood, and that ruined my whole evening.. The conversation was like;
Me: hi
Her: k*ma ny*ko, why don't you look where you are going??
Me: samahani (kabla sijamaliza kuomba smahani akatupia lingine)
Her: we ms*nge nini?
Duduuuuuh.... She just walked away leaving me wondering if those words really came out of such a beauty...
 
Serio unafuata yale ya kitamthilia km jina lako nin? "Literally you were supposed to kiss"? Nadhani usingmsahau huyo dada km stori yako ni ya kweli. Thubutuuu
 
Hahhaaaa, siwezi kumsahau... Literary yes, but she shouldn't have yelled such ugly words at a place like that.. Alinionyesha kwamba she was either poorly nurtured, or she has a hot temper.!! Purely unromantic.
 
Kiongozi, wewe pita tu.. Mimi haya mambo ya kiwa romantic yananikumbusha sometime back..sikujuwa kama bongo babes are not romantic, or what.
I one day went shopping in Game Supermarket, and I happened to set my eyes on some femme fatale. Lol, alikuwa beautiful siyo mchezo.. So I decided to pull some prunks on her by intentionally bumping into her. Her things dropped down, and we both fell on our knees to pick the stuff..our hands got in touch, I looked into her eyes as she looked into mine. There was dead silence. Literally, we were supposed to kiss, but what she told me got me off the mood, and that ruined my whole evening.. The conversation was like;
Me: hi
Her: k*ma ny*ko, why don't you look where you are going??
Me: samahani (kabla sijamaliza kuomba smahani akatupia lingine)
Her: we ms*nge nini?
Duduuuuuh.... She just walked away leaving me wondering if those words really came out of such a beauty...

hahahahahaaaa!!!! goodmorning serio! dah, imenibidi tu nicheke!

hebu guess huyo dada atakuwa anatoka mtaa gani hapa dar!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaaa!!!! goodmorning serio! dah, imenibidi tu nicheke!

hebu guess huyo dada atakuwa anatoka mtaa gani hapa dar!

Goodmorning, yani kumbe All that glitters isn't gold..
 
Last edited by a moderator:
Goodmorning, yani kumbe All that glitters isn't gold..

umeonaee! wengi sana wamo humu humu daslamu! kavaa vizuuuuri, utadhani basi kumbe hata maneno yake ni mazuri, kumbe walaaa!!

mi kidogo nimuwashe mmoja kwenye daladala sababu ya kuongea maujinga mbele yangu, tena karibu na sikio la kulia!

they are boring for real!
 
Back
Top Bottom