Pesa ni muhimu sana sana sana ila pesa si kila kitu, tubadilike. Huo Mfano hauonyeshi uhalisia wa wapendanaoUkiwa na hela ww ndiyo romantic!Tafuta hela ndugu yangu utafananishwa na kila mwanamme handsome hapa duniani!
Kuna jamaa yangu ni Mhutu mfupii sana na ana pua kuubwa pana tena ana kitambi lkn ana hela ndefu;demu wake mpya alimuambia kafanana sana kwa kila kitu na Christian Ronaldo wa Real Madrid!Akaambiwa eti yupo very sexy!
Mimi nikawa nacheka tu pembeni yao!