Mtu 'romantic' anakuwaje?

Mtu 'romantic' anakuwaje?

Funny-A-Nice-Way-To-Ruin-A-Romantic-Text.jpg
 
anakuwa kama wewe unayeleta ufacebook ndani ya jamiif
Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.

sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..

MSAADA TAFADHALI!!!!
 
Nadhani u mzima: kuwa romantiki ni:-

kuwa na mapenzi ya dhati kwa maneno na vitendo pia,

kujali kwa vitendo na matendo

kuwa karibu na mpenzi wako kila unapokuwa na muda au kupata nafasi mfano (unaweza kukaa naye jikoni wakati anapika na kunsika kiuno, kum kiss au kupga stor yoyote ya mahaba au kumchekesha kimaha)

kumkumbatia unapokutana nae na ku mkiss hata kama mliachana masaa 2 yaliyopita,

kumtengenezea mazingira mazuri ya kwenda 6*6 hata masaa 5 kabla mfano (unaweza kumtumia sms ukiwa kazini au sehemu yoyote mbali na yeye majira ya mchana kumweleza kuwa unemiss sana kiuno au chuchu zake, ama kuzungumzia moja ya staili mnayotumiaga N.K)

kumtoa outing sehemu ambayo hajawahi kwenda au anayoipendelea saana

kumpatia / nunulia zawadi hata kama ndogo saana

kuwasiliana naye mara kwa mara (mfano unaweza kuwa umesingikiza wageni ukiwa unarudi ukampigia simu aje kukupokea au akufungulie mlango)

na mengineyo meeeeeeeeeeenge sanaaaaaaaaaaa

naipenda jf
 
Last edited by a moderator:
Wewe siyo mtalaamu Husninyo??? Nahis hapa kila mwanamke ana cha kusema.

Ukiwa na hela ww ndiyo romantic!Tafuta hela ndugu yangu utafananishwa na kila mwanamme handsome hapa duniani!

Kuna jamaa yangu ni Mhutu mfupii sana na ana pua kuubwa pana tena ana kitambi lkn ana hela ndefu;demu wake mpya alimuambia kafanana sana kwa kila kitu na Christian Ronaldo wa Real Madrid!Akaambiwa eti yupo very sexy!

Mimi nikawa nacheka tu pembeni yao!
 
Imagine this uko kitandani unaumwa kunyanyuka ni kwa masharti ya daktari and your man decides to give u a massage. U know his massage skills ni zero but just the thought that you might be needing a massage shows the guy is romantic

Same scenario you are sweating kuliko sumo wrestlers a sponge bath offer will do for me.

So romance is the small things that don't change the terms of your relationship but send out a very loud message kwamba unajali.
 
Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.

sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..

MSAADA TAFADHALI!!!!

Inabidi uwe mtu wa kuangalia sana bongo movies na udiscuss kila mnapo ongea, ndiyo maana yake. Mambo ya dotcom hayo.
 
Ukiwa na hela ww ndiyo romantic!Tafuta hela ndugu yangu utafananishwa na kila mwanamme handsome hapa duniani!

Kuna jamaa yangu ni Mhutu mfupii sana na ana pua kuubwa pana tena ana kitambi lkn ana hela ndefu;demu wake mpya alimuambia kafanana sana kwa kila kitu na Christian Ronaldo wa Real Madrid!Akaambiwa eti yupo very sexy!

Mimi nikawa nacheka tu pembeni yao!

Ni zaid ya hivyo sababu kuna wanawake wenye hela pia.Wanaojimudu kwa kila kitu .nadhani ni zaid ya kuwa pesa.
 
Mwanaume kuwa na hela ndio urijali kamili..hizo mambo za romantic ni za wavaa pedo..take that.
 
Back
Top Bottom