Mtu 'romantic' anakuwaje?

Mtu 'romantic' anakuwaje?

Ukiwa na hela ww ndiyo romantic!Tafuta hela ndugu yangu utafananishwa na kila mwanamme handsome hapa duniani!

Kuna jamaa yangu ni Mhutu mfupii sana na ana pua kuubwa pana tena ana kitambi lkn ana hela ndefu;demu wake mpya alimuambia kafanana sana kwa kila kitu na Christian Ronaldo wa Real Madrid!Akaambiwa eti yupo very sexy!

Mimi nikawa nacheka tu pembeni yao!

Hahahaha...
Jf navyokupenda mimi,acha kbsa
 
JF never bores:

In short kwa uelewa wangu mdogo sana: wanaume wa kiafrika (no formal research done here) wana huge ego hivyo kuonyehsa wanawajali wake/wapenzi wao hadharani ni kama kujishusha: I would define romantic (in both sexes to mean)

1) Open communication- ambapo mnaweza kuongea kwa uhuru despite tofauti za kiimani, kimtazamo bila kujali mwingine anaonaje na mwenzio akakubali kuwa the two of you may freely have different views bila kuathiri uhusiano wenu. Wanaume wengi (na baadhi ya wanawake) huwa wababe sana, hata kwenye maongezi mtu akiwa na mtazamo tofauti basi atalazimisha mwenzie aamini aaminicho yeye.

2)Kusaidiana: mmoja anaumwa, a pole, a helping hand, a call mchana kuuliza anaendeleaje etc : hapa hata tone inajalisha sio simu unapiga ni halo,hujambo, maendeleo?? baasi

3) Kina dada wanasema "kupetipeti": tukubali ndio wadada walivyoumbwa na ni kama maua, wanahitaji small small DIFERENT things kama candle light dinner, out , small gifts (hata handkerchief etc); ukijichunguza unaweza ona mko kwenye mahusiano hata ten years ila outing ni hadi mualikwe harusini: why not take her to a suprise simple dinner ?

4) Usiogope hadharani kuonyesha unamjali :tembea nae, a small cheek kiss , say i love u in different ways , a call just to say I love u, mwambie amependeza, asipopendeza find the best way kumwambia u look better in the other dress:

5) Be Involved in her / his stuff: Kama ni mwanaume mkumbushe mpenzio of her MP days being near, buy her sanitary towels, mkumbushe doctor apointment (kama alishare nawe), mkumbushe some appointments, ask what conspired in the meetings etc etc

All in all: kuna watu wamezaliwa na hizi traits , they care naturally, but for others we can alwayz learn and relearn--Tupunguze ubabe na kuwa a little more tender!!
 
Dah JF nazidi kuongeza knowledge it's like street university.
 
Back
Top Bottom