Mtu 'romantic' anakuwaje?

Mtu 'romantic' anakuwaje?

Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.

sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..

MSAADA TAFADHALI!!!!

Uko sahihi kabisa. U can perfotm well in bed but kuwa romantic ni ki2 tofauti kabisa. its more of tabia ya m2. Its the way u treat mwanamke mkiwa nje na ndani ya nyimba. Unavyozungumza nae, unavyomjali, unavyomtreat mbele za wa2, ukiwa nae unataka kila m2 ajue ni wako, unavyshika, kumsaidia kazi like kumpikia cku mojamoja si mbaya..etc. Kwa mfano i can say Obama is romantic coz of the way anavyomtreat mkewe mbele za watu.. THOUGH hatujui what he does in bed! I hope nimeeleweka kiasi
 
hahahahahaaaa!!!! goodmorning serio! dah, imenibidi tu nicheke!

hebu guess huyo dada atakuwa anatoka mtaa gani hapa dar!

Maeneo ya temeke kiujumla manake kule mwanamke kutoa tusi ndio yupo romantic
 
Last edited by a moderator:
Uko sahihi kabisa. U can perfotm well in bed but kuwa romantic ni ki2 tofauti kabisa. its more of tabia ya m2. Its the way u treat mwanamke mkiwa nje na ndani ya nyimba. Unavyozungumza nae, unavyomjali, unavyomtreat mbele za wa2, ukiwa nae unataka kila m2 ajue ni wako, unavyshika, kumsaidia kazi like kumpikia cku mojamoja si mbaya..etc. Kwa mfano i can say Obama is romantic coz of the way anavyomtreat mkewe mbele za watu.. THOUGH hatujui what he does in bed! I hope nimeeleweka kiasi


mh! is that so....
 
hahhaaaa Sista wala hujakosea am romantic.....huyo Excel hilo gazeti lake atanunua mwenyewe

Merry X mass my dia.........

naona siku hizi unabanwa eeh!!

nusu saa tu uko online, aliyekuweka chumbani ni mtani jembe bila shaka!

teh! chezea tatu moja wewe!!
 
naona siku hizi unabanwa eeh!!

nusu saa tu uko online, aliyekuweka chumbani ni mtani jembe bila shaka!

teh! chezea tatu moja wewe!!

hahahaa Mtani Jembe ni balaa....hanipi space mtoto wa mwanaume Mwenzio
 
kua romantic ni kuondoa hasira pindi uongeapo kusifia kimahaba na kuongea kimahaba kua na muonekano unaovutia kama diamond ,jux,blue t.i.d na nk
 
Kaka mkubwa kuwa romantic ni ile hali ya kuwa na mahaba. Hali hii mara nyingi huwa ni halisi namaanisha huwezi kujifekisha kuwa romantic. Kwa utafiti wangu suiokuwa rasmi katika wanaume kumi unaweza kupata wawili au mmoja ambao ni romantic. Idadi kubwa iliyobaki wanaweza kuwa ni wanaume wenye shughuli za kutosha huko 'Old trafford', lakini hufanya hivyo kujiridhisha wao au naweza kusema kukamilisha uanaume wao.
Kuwa romantic ni sanaa ya asili ambayo mwanaume hujaaliwa. Kwa sisi wanawake ukibahatika kupata mwanaume wa aina hii huwa inakuwa tabu kidogo kueleweka kwenye jamii.
Me naona niishie hapa.
Mheshimiwa Pinno sijui umenipata sawasawa?
 
Mi nahisi kuwa Romantic ni kupenda kimahaba tu!
....LOVE...
1 Normal love: rafiki na rafiki, mtu na mzazi wake etc.
2 Romantic love: ni mapenzi ya ke & ke wanaoweza kugegedana!!!
...
....Romantic...
Ni hali ya kumjali mwenzio, kumuonesha upendo wa hali ya juu! Kumdekeza, kujishusha, kumpetipeti n.k!
Kugegeda vizuri na kuongea usiku kucha haitoshi kabisaa kuwa na hiyo sifa (romantic)
....
Mara nyingi watu wenye sifa hiyo, huzaliwa nayo!
...
NB: hayo ni kwa mujibu wa uelewa wangu!

kaka umejitahidi! Lkn kwenye maisha halisi hayo mambo hayapo. Watoto wa siku hz hupenda kuiga vitu hv kwa wazungu na kukopi kwenye tamthilia. Ww jitahidi kumfumua vya kutosha, hz nyingine mbwembwe tu!
 
wewe.......mara tatu imekuwa Paracetamol hiyo.............

si ataniua mie

hamna!! hapo anakujengea sexy body bibie!

yani mafuta mwilini yanaisha kabisa!

si unajua tena mnakula vyakula vingi vya mafuta,

so asipokupa dosage hiyo, utakuwa na kitumbo kama cha h.kopa!
 
kaka umejitahidi! Lkn kwenye maisha halisi hayo mambo hayapo. Watoto wa siku hz hupenda kuiga vitu hv kwa wazungu na kukopi kwenye tamthilia. Ww jitahidi kumfumua vya kutosha, hz nyingine mbwembwe tu!

hivi maisha halisi unayoyazungumzia hapa ni yapi? unaweza kutupa mfano wa hayo maisha?

hivi unajua hata simba dume nae pamoja na ukali wake huwa anakuwa romantic pale anapokuwa kwenye mating?

unafahamu hilo? mkuu tamaduni zinasambaa, this is just the transformation of culture and re-culturing!

sasa hebu tuambie, maisha unayoyaita ya kwenye tamthilia, niambie application yake iko wapi? ina maana wanavyoigiza havireflect maisha yetu ya kila siku?

ujue, kuna vitu unavifanya, lakini hujui kuwa ni miujiza!
 
romantic..mimi sikumbuki, lakini kuna siku galfrnd angu aliniambia nilikuwa so romantic,...anyway nilimfanya ajisikie kama malaika coz nilikuwa naskiliza music ya blues halafu namwimbia at the same time nikiwa nimekamata maeneo fulani huku tukiwa ufukweni....so to be romantic means kuna correlation ya vitu vingi kidogo, kwa mfano when you sit with a gal and you touch her hair vile polepole, huku ukimsifia kwa kumaanisha mwonekano wako thatz also romantic lakini lazima pawe na mazungumzo mazuri yenye hisia.......mengine ongeza na zako
 
Back
Top Bottom