Mtu mmoja akiwa bilionea, watu elfu moja huwa masikini

Hii ni kama wafanyavyo kwenye kamari, Watu kumi mnachanga alafu anateuliwa mmoja anaambiwa amebahatika anapewa hela za wote, hivyo wengine wanabaki wanapiga miayo.
 
Tajiri anacheza na market demand mkuu.Kwa hiyo hata hela za kina Mo au bakhresa unaweza ukazivuta mkuu,endapo utaanzisha profitable venture au business
Hiyo concept yako ina walakini kiuchumi mkuu.Hao matajiri nao wana expenses,wanalipa mishahara,wanafanya shopping,so hela lazima irudi kwenye mzunguko,so mtu yeyote ana probability ya kutajirika at any time.
hivi nikibuni biashara itakayowalenga watu wa chini, nikawatega kiasi kwamba hawachomoki mikononi mwangu, nikatega kila familia niwalambe kila siku tsh500, sasa hapo pesa ninayoipataa katika mji au jiji hilo nahakikisha kwambaa, siitumia naiweka tu bank, nikifanya hivyo kwa miaka 4, si nitakuwa nimeinyonyaa pesa yao,kwa asilimia kubwaa?? na nikitaka kuispend kwa matumizi naenda mkoa wa mbali ili kuifanya pesa isirudi kule nilikoitoleaa.

nazani baadae wataanza kushtuka mbona pesa imekuwa ngumu sanaa kuipata, kumbe mimi nishawanyonya pesa yao na nimeipelekaa bank na siitumii kwao natumia sehemu nyingine kabisaa nazani kwa maelezo haya utajiri ni hali ya kunyonyaa pesa ya watu wengine, kwa either kuwauziaa bidhaaa au hudumaa zako,
 
Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa nyingi) huitwa MASIKINI.

Unyonyaji ni kitendo cha kukamua pesa au mali za watu wengine. Kwa maana hiyo tunaweza kusema tajiri ni mtu anaye kamua pesa au mali za mtu mwingine kwa lengo la kujinufaisha, ukamuaji unaweza kuwa ni halali kisheria au unao vunja sheria, ktk maada hii nitazungumzia ukamuaji usiovunja sheria.

Mfano: Kijiji A kikiwa na upungufu wa chakula mfano mahindi, mimi nikaenda kijiji B ambacho kinamahindi mengi, nikanunua kwa shilingi 5 kila gunia, nikarudi kijiji A nikawauzia kwa shilingi 10 kila gunia, nitakua nimekamua shilingi 5 kwa kila gunia.

Mfano: Nikizalisha juisi moja kwa gharama ya shilingi 1, nikamuuzia mwenye kiu kwa shilingi 5, ninakua nimekamua shilingi 4. Kumbuka katika mifano yote miwili hakuna mahali ambapo sheria imevunjwa.

Ili nitengeneze Shilingi 100 inabidi niwauzie watu wasiopungua 20 ktk mfano namba moja, kiuhalisia kila mtu anakuwa amenipa shilingi 5 ni sawa na kusema amepoteza shilingi tano.
Ili mtu yeyote apate pesa ni lazima mtu mwingine apoteze pesa. Tajiri akipata juwa kuna masikini kapoteza, mtu yeyote akipata juwaa kuna mtu kapoteza.

View attachment 1963785

Ni kama vile mzani jinsi unavyofanya kazi

Ukitengeneza bilionea mmoja unakuwa umetengeneza masikini elfu mojaView attachment 1963794

Kanuni haidanganyi, inafanya kazi popote pale duniani, inaleta matokeo yale yale

Nawasilisha

Huo ni ukweli tangu zama. Ongeza na ndani wa tozo. Serikali imebuni njia rahisi ya kutajirika kwa kuhamisha pesa toka kwa watu kupitia tozo. Baada ya muda kuna mamilionea (wala tozo) na masikini (walipa tozo)
 
Kwaiyo unamaanisha faida ni HARAMU? Unahis huyo tajiri asipo pata hio faida(anayomkamua mteja ) kesho atapata hamasa ya kutoa hio huduma?
moja ya kazi ya pesaa, ni kununua bidhaa na hudumaa, shida ni kujua pesa iko wapi ili innue hudumaa yako na bidhaa zako, pesa yenyewe kama yenyewe haina action yoyote kupitia mtu ndo inanunua bidhaa na huduma zakoo.

unapopata faidaa unakuwa umemnyonya mtu mwingine sema unakuwa umemunyonyaa pesa yake, na pia na yeye anakuwa amekunyonyaa bidhaa au huduma yako, so mnakuwa mmenyonyana wote.

sema pesa unayomnyonya inakuwa na dhamani sanaa kuliko bidhaa zako, why? nyanya ulioigharamikia tsh 100, unamuuzia kwa tsh 400, so unapewa cash tsh 400, ambayo inadhamni sanaakuliko nyanya yako ya tsh 100, pia pesa haiozi ,nyanya inaoza, pesa uliyopata inaweza kununua anything ila nyanya uliyompa ni specific kwa matumizi ya menyu tu, so kwa jibu la jumla naweza sema kwambaa ni mchezoo wa kunyonyanaa dhamani

ni mchezo kwa kunyonyanaa material values, nikupe less value unipe high value, the more unaongeza valuee the more unatengenezaa utajiriii.
 
kwanini nawewe ukakope world bank wakati una ardhi ina rutuba kila mahala na madini tele....ukilima ukaenda kuuza huko bangladesh kwa superprofit huko world bank utaenda kufanya nini...

Huko world bank kuna hela za wanaume zinatafuta wazembe wasiofanya kazi kama nyie mpewe bure mkatumie...
Na ndio zimeingia siku sio nyingi 1.3t
 
Kwaiyo unamaanisha faida ni HARAMU? Unahis huyo tajiri asipo pata hio faida(anayomkamua mteja ) kesho atapata hamasa ya kutoa hio huduma?
moja ya kazi ya pesaa, ni kununua bidhaa na hudumaa, shida ni kujua pesa iko wapi ili innue hudumaa yako na bidhaa zako, pesa yenyewe kama yenyewe haina action yoyote kupitia mtu ndo inanunua bidhaa na huduma zakoo.

unapopata faidaa unakuwa umemnyonya mtu mwingine sema unakuwa umemunyonyaa pesa yake, na pia na yeye anakuwa amekunyonyaa bidhaa au huduma yako, so mnakuwa mmenyonyana wote.

sema pesa unayomnyonya inakuwa na dhamani sanaa kuliko bidhaa zako, why? nyanya ulioigharamikia tsh 100, unamuuzia kwa tsh 400, so unapewa cash tsh 400, ambayo inadhamni sanaakuliko nyanya yako ya tsh 100, pia pesa haiozi ,nyanya inaoza, pesa uliyopata inaweza kununua anything ila nyanya uliyompa ni specific kwa matumizi ya menyu tu, so kwa jibu la jumla naweza sema kwambaa ni mchezoo wa kunyonyanaa dhamani

ni mchezo kwa kunyonyanaa material values, nikupe less value unipe high value, the more unaongeza valuee the more unatengenezaa utajiriii.
Na ndio zimeingia siku sio nyingi 1.3t
Tuko kwenye maandalizi ya kuzipiga hizo pesaa, now tunaandaa BOQ feki, ukisikia nimekamatwa kwa wizi wa simenti,rangi, gypsum powder,white cement na n.k usishangaee, mili 900 madarasa tu wilaya moja? tena kwa force account? nisikuchape kweli??? mhh hapana asee
 
Unipe connection ya kazi, 10% yako ipo 🤣
 
hivi nikibuni biashara itakayowalenga watu wa chini, nikawatega kiasi kwamba hawachomoki mikononi mwangu, nikatega kila familia niwalambe kila siku tsh500, sasa hapo pesa ninayoipataa katika mji au jiji hilo nahakikisha kwambaa, siitumia naiweka tu bank, nikifanya hivyo kwa miaka 4, si nitakuwa nimeinyonyaa pesa yao,kwa asilimia kubwaa?? na nikitaka kuispend kwa matumizi naenda mkoa wa mbali ili kuifanya pesa isirudi kule nilikoitoleaa.

nazani baadae wataanza kushtuka mbona pesa imekuwa ngumu sanaa kuipata, kumbe mimi nishawanyonya pesa yao na nimeipelekaa bank na siitumii kwao natumia sehemu nyingine kabisaa nazani kwa maelezo haya utajiri ni hali ya kunyonyaa pesa ya watu wengine, kwa either kuwauziaa bidhaaa au hudumaa zako,

Ukiweka bank ndo itawafikia watu vizuri kwani lazima watu wakope.
Hela tunayosave bank,haikai mule inawelezwa kwenye jamii tena.
 
[[[[Ili nitengeneze Shilingi 100 inabidi niwauzie watu wasiopungua 20 ktk mfano namba moja, kiuhalisia kila mtu anakuwa amenipa shilingi 5 ni sawa na kusema amepoteza shilingi tano.]]]]

Toa pesa upate unachohitaji (huduma).

Na hapo hauwezi kuita amepoteza bali wamebadilishana pesa kwa bidhaa.
Tuseme wewe una kiu ya maji na mimi nauza maji then wewe unakuja kwangu kununua maji kwa sh5, hapo utasemaje umepoteza wakati wewe ndio mwenye uhitaji. au ulitaka upewe bure mkuu? then mimi ningepata vipi faida ili kesho nije kukuuzia tena maji mengine?

Na wanaonunua bishaa sio masikini tu bali hata matajiri hununua bidhaa, nao utasema wanakuwa masikini kwa kutajirisha matajiri wengine?

Hii thread yako ni full of contradictions na misunderstandings ..
 
Jamaa ana point. Ila neno 'kukamua' limeifunika hiyo point. Kuwasilisha kwa tija nayo ni sanaa. Kimsingi mwenye uwezo wa kukamua ni serekali tu. Hao wakamuaji wengine victim anakuwa na uchaguzi, akamuliwe au asikamuliwe.
 
Mkuu wanasema utajiri ni Tabia kwamba ukichukua utajiri wote duniani ukaugawa sawa baada ya muda flani maji yanajitenga na mafuta

Waliokuwa matajiri wanarudi kuwa matajiri na wale wa dagaa za mia mia wanarudi huko.

Ko kuna watu watakamuliwa tu hata wafanyaje maana wameumbwa hivyo
😂😂😂
 
Back
Top Bottom