OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,601
- 9,062
- Thread starter
- #21
Sijajua kama umesoma kwa kutafakari nilichokiandika mkuu, maana nimeeleza wa wino mweusi kabisa kuwa utajili ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi. Au hujaelewa mkuu? Hujui kuwa kabla ya uwepo wa pesa dhahabu ilitumika kama pesa,SI KWELI.
KABLA YA UWEPO WA FEDHA WALIKUWEPO MATAJIRI NA MASIKINI.
Unachanganya mambo mkuu, hapa hujatoa maana ya utajiri umetoa maana ya UONGOZI, kama unabisha google maana ya uongozi kisha ulinganishe na ulichokiandikaTafsiri ya utajiri sio pesa bali ni uwezo wa akili wa kutawala rasilimali zinazokuzunguka kulinganisha na viumbe wengine.
Hapa unaonyesha utofauti kati ya binadamu na ngo'mbe sioni uhusiano wa haya maelezo na hii threadMtoto wa Masai anatawala watoto wa ng'ombe na baba zao si kwa sababu ni milionea ila uwezo wake wa akili upo juu kulinganisha na ng'ombe.
Rejea maana ya utajiri niliyoiandika hii ni ya kwakoUtajiri ungekuwa ni pesa ungerithishwa daima,
Duhhakuna matajiri wangeibuka kutoka katika masikini.
Yaani hata sijaelewa ulikusidia kufikisha ujumbe ganiUtajiri ni uwezo wa akili, Pesa ni matokeo ya kuwa tajiri au masikini. Kabla ya kuwa na pesa matajiri na masikini walikuwepo.