Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

Sidhani kama mnajua hali ilipofikia sasa ...... tumesema sana hapa lakini imekuwa mazoea sasa ....... Polisi wameshindwa .....mifumo ya usalama imeparanganyika ..... Ifike sehemu tuache kulalamika tuchukue hatua ngumu .....

Huko Ulanga Magharibhi, eneo moja kuna msitu mkubwa panaitwa BUNDUKI magari mengi HAsa maroli ya yaliyokuwa ya yanaenda kununua mpunga Yakiwa na wafanya BIASHARA yalitekwa na majambazi saa nne ZA usiku wakanyanganywa hela zao magari yalibomolewa vioo ilikuwa saa 4 usiku! TTAREHE 21 MWEZI WA NANE.

pia usiku wa kuamukia Jana majambazi ninasikia yalitumia gari Carina yakaziba Barabara itokayo uwanja wa ndege hapa DAR waliteka na kuwanyanganya mabegi na vitu vingine wengi wa watu waliokuja na ndege za usiku!!!!?

LAKINI SIJASIKIA POPOTE PALE KATIKA TAARIFA YA HABARI JANA, HAWA ASKARI WETU!!!!!!!!!HUUU UONGOZI WETU!!!!
 
1408866645155.jpg
AlADSON CHEYO.1970-2014
Kutokana na mchango wake mkubwa katika kanisa hili na nje kwa ujumla mt Mwingira ameamua kuchukua jukumu la kusimamia had atakapo hifadhiwa katika nyumba yake ya milele

Hivyo ndugu Cheyo ataagwa siku ya jumatano saa saba na kusafirishwa kwao Mbeya
Tujikumbushe

inasemekana alikuwa na sh milion 18 akitaka peleka benki toka kwenye biashara yake pale sowers africa ltd.kauawa mbele ya mkewe.mzee alikuwa mtu wa watu ,mtu wa kujitolea sana bila kujali kama ni ndugu au la, wengi watamkumbuka .pwc

,Kazi servce, ILO, Efatha ministry.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
apumzike kwa amani , hawa jamaa wa bodaboda inabidi serikali ifanye kitu watatumaliza hawa
 
Mwingira bwana. Mchungaji wake alikuwa anaitwa Mangare, alipata ajali hapo sayansi. Kanisa halikumuhudumia matibabu, na inasemekana hata waumini.waliochangishwa hela haikuletwa. Mwingira aliibuka last minute eti mazishi yasogezwe mbele ili ahudhurie. Ndugu za marehemu wakakataa, ikabidi awakilishwe na mkewe.

My feeling is, haya makanisa yetu haijalishi unajitolea kiasi gani. Ila unatoa kiasi gani. Huyu mfanyabiashara wa kudeposit 18 mil ni muumini muhimu sana kuliko mchungaji. Mungu anisamehe kwa kuwaza uovu.
 
Na wachungaji wa mshahara wapo wengi siku ya kiama watahesabiwa kutokana na matendo yao.
 
Huu mtindo wa kushika bahasha za hela waziwazi wakihisi hawahulikani ndio unao waponza wabongo wengi,hata pale posta huwa nawaonaga wengi sana na vibahasha vyao nabaki kunichekea tu...

Mtu hivyo alikuwa anakiita kifo haina hja ya kumuonea huruma...

Kova alishachanganyikiwaga na hizo Boxer hataki hata kuzisikia

Pumzika kwa Amani classmate wetu UDSM B.A 1996. Hakika tuna kukumbuka sana graduate mwenzetu
 
Dada angu ni nani kamchoma huyu mtu wa watu mpaka anaporwa 18M mbele ya mkewe?
MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA ADSON CHEYO PEMA PEPONI
KWELI WEMA HAWAISHI

Arusha watu wengi wwnamlilia sana kwa muda aliokaa hapa alikuwa mtu mwenye moyo wa kujali watu pasipokubagua madaraja ya watu, Hakika kama kuna watu waliotakiwa wqendelee kuishi Ni Adson Cheyo, kwangu Mimì Ni zaidi ya rafiki na ndg, pengo Lake kwangu halitazibika kamwe. hawa waliomchoma wanatakiwa kuchunguzwa kwa kina, japo Polisi wetu kwa sasa hawaaminiki, ila wanatakiwa wajaribu kurejesha Imani kwa wananchi. vinginevyo watajikuta wanakuwa moja ya mizigo kwa taifa hili
 
Dada angu ni nani kamchoma huyu mtu wa watu mpaka anaporwa 18M mbele ya mkewe?
MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA ADSON CHEYO PEMA PEPONI
KWELI WEMA HAWAISHI

mwema Ni Mungu Tu,Yesu walipomwita mwalimu mwema aliwaambia mwema Ni Mungu Tu
 
Arusha watu wengi wwnamlilia sana kwa muda aliokaa hapa alikuwa mtu mwenye moyo wa kujali watu pasipokubagua madaraja ya watu, Hakika kama kuna watu waliotakiwa wqendelee kuishi Ni Adson Cheyo, kwangu Mimì Ni zaidi ya rafiki na ndg, pengo Lake kwangu halitazibika kamwe. hawa waliomchoma wanatakiwa kuchunguzwa kwa kina, japo Polisi wetu kwa sasa hawaaminiki, ila wanatakiwa wajaribu kurejesha Imani kwa wananchi. vinginevyo watajikuta wanakuwa moja ya mizigo kwa taifa hili

usijali mkuu hao waliomfanyia kitendo hicho cha kumuuwa adson watalanika kumbuka malipo duniani tu hizo hela walizoiba hawatozifanyia chochote cha maana kwanza na pia kama police nao wamehusika na wao watalaaniwa tu
 
Back
Top Bottom