GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,451
- 127,626
Safi sana Mkuu. Je, uliiona Siku ile Kazi ya Jamhuri Kihwelo Julio Mrema alivyomuweka Mfukoni kabisa Mshambuliaji Hatari wa SC Villa Magid Musisi?Mimi ni Simba kuliko unavyo dhani..
Nimeishi mtaa mmoja na Hassan Afif..
Super sub ..kocha mchezaji..
Na nilikuwepo uwanjani siku hiyo wanaipigia SC Villa ya Uganda 3-0..wanachukua ubingwa wa Africa Mashariki...
Bora Wewe uliingia Kihalali Mechi ile ila Mimi niliingilia Ukutani huku usawa wa ilipo Petrol Station ya Mgulani tena kwa kutumia Kamba halafu Hela inaiweka Mdomoni na ukifika kule Juu yule mwenye Kamba ( Askari ) anaanza kuinyofoa Pesa Mdomoni kisha anakuruhusu uzame Uwanjani.
Nimefurahi tu kujua Wewe ni Simba SC.