Mtu kama Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Nachofahamu yule Mwenyekiti nadhani ni rtd. Thomas Mihayo.J, labda kuna mambo anayajua atamwambia Mkulu
Huyu Jaji mstaafu inawezekana ndio chanzo cha matatizo ya mtendaji mkuu!! Huyu Jaji mstaafu historia yake ya huko nyuma akifanya kazi chini ya Jaji mkuu Nyalali haipendezi na alipewa vyeo na Mwendazake kwa kujuana tu!!!
 
CCM ni genge la ajabu sana, mtu wa namna hiyo anapataje kuwa Waziri?
Kwa CCM sio Jambo la kushangaa kabisa, kama hela ya EPA walisema sio ya serikali Ina wenyewe, halafu hata wenyewe waliolipwa sio hao wenyewe waliopaswa kulipwa unatarajia nini😃😃 na bado jamaa wanadunda tu akina Mzindakaya walivuta mihela pale na kampuni yao ya Kagoda Investment.
 
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..

Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..

Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..

Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.

Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?

Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?

Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.

Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.

Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?

Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Jina linafanana na elimu ya watu wazima, ‘ngumbaro!’
 
Kuna vitanzania fulani hivi vilazaliwa na mapungufu kibao na vinaishi ishi tu kwasababu ya haki ya kuishi,, hivyo ndivyo vinavyofaa kuongoza nchi hii.
Sisi Watanzania wengine tubaki kuwa wakosoaji na walipa kodi na wapiga kura tu.
Aibu hii
 
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..

Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..

Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..

Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.

Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?

Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?

Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.

Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.

Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?

Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?

Hivi ndani ya CCM Kuna anayefaa ??
 
Wewe unaonekana ni mswahili ulie jaa hila na fitna!!unamuandika mtu kwa taarifa za uongo.
Unamtolea mtu tuhuma bila kuonyesha ushaidi wowote wa hizo tuhuma ulizoziweka hapa!! Unasikiliza maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa ndio unaleta hapa jukwaani.
Watz mara nyingi,tatizo kubwa la kulia na kuwa na gubu, inatokea mtu au kundi kunyang'anywa tonge alozoea mdomoni, na hivyo kupelekea vita kama unavyoona... kaazikweli kweli.
 
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..

Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..

Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..

Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.

Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?

Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?

Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.

Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.

Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?

Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Nilikuwa natamani sana kujua Unashabikia Timu ipi kati ya Giants Wawili Tanzania na leo angalau naweza Kuhisi Timu unayoshabikia kutokana tu na Maelezo yako katika Aya za mwanzo.

Hayo mengine ya Kiutendaji nakuachia Wewe na Mheshimiwa Rais Mama Samia, ila ninachojua tu ni kwamba mpaka Kateuliwa Yeye basi Vigezo vingi vilizingatiwa vya 'Kumchakata' na ndiyo maana akapewa Yeye hiyo Dhamana ya 'Docket' hiyo na ama hukupewa Wewe au hawakupewa hao uliodhani ( unaodhani ) wako competent Kumzidi Dkt. Damas Ndumbaro ( Mwana Simba SC Mwenzangu )

Muacheni tu afanye Kazi yake anaiweza.
 
Mimi ni Simba kuliko unavyo dhani..
Nimeishi mtaa mmoja na Hassan Afif..
Super sub ..kocha mchezaji..
Na nilikuwepo uwanjani siku hiyo wanaipigia SC Villa ya Uganda 3-0..wanachukua ubingwa wa Africa Mashariki...
 
Ndumbaro ni dalali!

Kweni Bosi wake anasemajeee....hapo ndipo tatizo lilipolala kwani kama sijakosea Green Miles walifukuzwa na Nyalandu pamoja na Kigwangalla wakati Bosi kule Tanapa ndie sasa kashika usukani, hivyo sio mbaya tukianza kuuunganisha dots
 
Back
Top Bottom