Mtu kama Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Mpiga dili tu wewe. Tangu ulipokuwa Tazara! Kuna mtu asiye kufahamu wewe?
Wewe maskini!! Acha uchawi fanya kazi upate ndururu zako,utaishia kunywa gahawa na kulaumu wenzako mpaka lini?!!
Kama Mh.Ndumbaro ni fisadi ebu ainisha ufisadi wake hapa, ili watu wajue na sio porojo zako za kibako.
 
Mkui
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..

Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..

Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..

Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.

Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji? Dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?

Tayari keshaanza kutia shaka. Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?

Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.

Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.

Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?

Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Mkuu mimi mwenyewe nishamshtukia siku nyingi,ata naibu wake hawana mikakati yoyote,wanaonekana wasanii tu😂😂😂
 
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..

Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..

Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..

Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.

Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji? Dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?

Tayari keshaanza kutia shaka. Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?

Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.

Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.

Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?

Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Ninachoipendea wizara hii nyeti haijawahi muacha mtu dhalimu salama.... Wakati utasema..
 
Hao bodi ya utalii alisimamisha mkurugenzi wa kwa ushauri wa kipuuzi kutoka kwa CAG. Hicho kitalu hata PM hawezi kuweka ulimi wake. Wenye nchi wamerudi wanarejesha wanyama wao kibindoni. Tulieni sindano ziwaingie. Mtamkumbuka JPM muda si mrefu.
Utamkumbuka wew tumbo lako!Nyambafu
 
Wizara ya Mali asili ni Wizara nyeti Sana kwa mstakabali wa uchumi wa nchi, na ni Wizara yenye mianya mingi Sana ya kupiga hela.

Huenda amepokelewa jujuu na wadau wa maliasili kapoteana.
Mwenye wizara yake hujaskia karejea dodoma na kupokekewa kutoka upinzani alipokuwa?
 
Back
Top Bottom