Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Mkuu sisi Wamasai tumeishi hapa Ngorongoro kwa millenia nyingi zilizopita bila tatizo.AENDE NGORONGORO AKAWATOE WALE WAMASAI. WENGINE WALILIPWA HADI FIDIA ILA WAMERUDI NDANI YA HIFADHI.
Ndio machaguo ya mwendazake aliteua watu wa kuburuzaDamas Ndumbaro anakuwaje waziri?
Nimemsikia mda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba had akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yeyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro Hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu..
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri mkuu??
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa ....
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu..
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yeyote???
Leo RC, wa ARUSHA, amewapa mwezi mmoja waondoke warudi kwenye maeneo waliyopewa.AENDE NGORONGORO AKAWATOE WALE WAMASAI. WENGINE WALILIPWA HADI FIDIA ILA WAMERUDI NDANI YA HIFADHI.
Eti mtu kama huyo kafanyiwa hadi the so called "vetting"
Wewe jamaa utakuwa mtu wa gubu na gundu sana. Halafu kuna wapuuzi wenzako wanakuona bonge la genius. Ila ni bonge la mshamba sana na roho mbaya kishenziDamas Ndumbaro anakuwaje waziri?
Nimemsikia mda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba had akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yeyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro Hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu..
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri mkuu??
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa ....
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu..
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yeyote???
Hayati ndio Aulizwe huko alikoDamas Ndumbaro anakuwaje waziri?

Umesahau amechangia kiasi kikubwa kuifilisi TAZARA. Alidanganya kuwa ile kesi ya ndege kule Afrika ya Kusini tumeshinda. Mara mzungu akaibukia Canada. Yeye na Mimacho wakawa kimya.Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Halafu watu ambao tuna uwezo hatupati hizo nafasi. Nadhani ni muda wa youth kuaminiwa na kuja kwakuwa tuna mawazo mapya/mbadala.Tanzania tuna bahati mbaya sana ya kupata watu wenye uwezo hafifu sana kwenye sehemu nyeti na muhimu sana.
Cry the beloved country.
Hivi mwanaume kabisa mtu mzima!!unapataje ujasiri wa kumtuhumu mtu bila kuonyesha ushaidi,zaidi ya maneno matupu?!!Mpaka hapoa watakapo igundua sura yake halisi, hakika atakuwa amepiga kikweli kikweli! Hata mimi nitakuwa Mtanzania wa mwisho kuamini uadilifu wa huyu Mheshimiwa.
Ni mpambania fursa na ulaji, asiye jificha. Huko waliko muweka, atatajirika mara dufu aisee. Muonekano wake, siyo wa mtu wa kukataa mzigo wa aina yoyote ile. Time will tell.
Acha uongo!! Kwanini wewe kiumbe ni muongo na mzandiki?!!!Alifungiwa kujihusisha na soka maisha kwa utapeli
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Hata huyu mama anavinasaba vya kupagawa na PhD. Laiti angejua hao wajinga hawanaga elimu ya mtaani ambayo ndio ya muhimu sana. At least uwe na Master ufanye kazi hata miaka sita ndio utafute PhD sasa mtunameunga toka undergraduate mpaka PhD sasa kuna nini hapo zaidi ya kuwa lecturer pekee? Au sanasana awe consultantMagufuli yeye aliangalia Phd,aliamini yyte mwenyewe Phd basi yupo vizuri.
Wewe unaonekana ni mswahili ulie jaa hila na fitna!!unamuandika mtu kwa taarifa za uongo.Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Hao bodi ya utalii alisimamisha mkurugenzi wa kwa ushauri wa kipuuzi kutoka kwa CAG
Mwenyekiti wa Board yawezekana Mamlaka ya uteuzyna utenguzi ipo kwa Rais ndio maana yeye akaamua kudeal na mtu aliye kwenye Mamlaka yake and probably amepeleka report nzima kwa Mkulu then ataamua yeye kuhusu Mwenyekiti wa Board.Alipomsimamisha mtendaji mkuu wa bodi ya italii; nilitegeme kuwa Mwenyekiti na bodi yake wangefuata, lakini haikuwa hivyo!!! pengine tungoje baada ya tarihe 30/4 mambo mengi yatakapotokea! Ushauri wa CAG haukuwa wa kipuuzi hata kidogo, nitashangaa kama huyo mwenyekiti wa bodi hatatumbuliwa!