Kwani ufisadi ulienda wapi hata urudi au naww niwalewale mliokuwa mnamezeshwa ujinga kwamba jamaa yenu kaondoa ufisadiUfisadi unarudi kwa kasi kila sehemu hapa Tanzania , ujambazi pia yaani inasikitisha ni matukio kila kukicha:-
- Green miles wamerudi tena kujitwalia vitalu vya uwindaji
-Makampuni ya mafuta hayaweki vinasaba kukwepa kodi
- Majambazi nao wanarudi kwa kasi
- wafanyabiashara kodi hawatoi risiti
Mbona uneishia njiani? Kisha ccm wakaMchukua tena baada ya kumuita mgonjwa, anayejinyea, hamuwezi kumpa Ikulu mgonjwa! Mbona haya hujayasema? Au bado Lowasa yuko Chadema? Balance story yako
Atleast he is not as corrupt as.... MHHHHHHHH!!!!!!!Mhhhhh!
So obvious!
Why is this so obvious jamani?
Kwa vile haikuwa wewe ndo unamwandika mwenzio hivo?
Ndumbaro is not that person you are trying to mould...
He has integrity and knows his way....
At least he is not as Corrupt...!
Mkuu nakusalimia katika jina la JMTSasa unataka ayaamini hayo machadema ya Mbowe?
Kwahio tunakubaliana kuwa CCM ndio wanafiki, Wazandiki na wana hio Cancer?? Na sio Chadema? Shukrani kwa kuliona hilo! Ingekua kujali afya yako kwanza na kama huo ndio Utanzania msingemtusi Lowasa kiasi kile, msingemnyima Lissu matibabu, Mawazo asingeuwawa mbele ya Wana CCM, kusingekua na matamshi ya chuki na ya kipuuzi kutoka kwa akina Hery James and the like....au unazungumzia utu UPI?Fisadi ni fisadi tuu akipewa nafasi...... CCM baada ya kumnyima nafasi zote za kufanya ufisadi na kuona nyie Chadema baada ya kumlia vihela vyake hamna utu wala huruma kwa mgonjwa wametumia utu na kukubali ombi lake la kurudi nyumbani akiwa amesalimu amri ili atunzwe...
Hata wewe ukifikia hali hiyo serikali ya CCM watakutunza, wala hawatakumbuka mbaya bali afya yako kwanza na huo ndio utu wa kitanzania 😂😂
Kazi inaendelea
Yes the Boss! Mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote. Na ili kuwa mbunge unahitaji kujua kusoma na kuandika tu.Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Kwahio tunakubaliana kuwa CCM ndio wanafiki, Wazandiki na wana hio Cancer?? Na sio Chadema? Shukrani kwa kuliona hilo! Ingekua kujali afya yako kwanza na kama huo ndio Utanzania msingemtusi Lowasa kiasi kile, msingemnyima Lissu matibabu, Mawazo asingeuwawa mbele ya Wana CCM, kusingekua na matamshi ya chuki na ya kipuuzi kutoka kwa akina Hery James and the like....au unazungumzia utu UPI?
Uweke unafiki wao, nimekupa facts, sijawahi kukimbia hoja! Relax, nimeonyesha unafiki na ukatili wa CCM,, nionyeshe unafiki wa Chadema with factsWacha kukimbia hoja
Chadema wanaojinasibu kuwa wapinga rushwa hawana lolote ni utapeli na uzandiki tuu
Tena ni wanafiki kwelikweli
umeliweka vizuri kabisa. Damas Nsumbaro hana uwezo wowote wa kuifanya sekta ya UTALII ipige hatua. labda anaweza kufanya kazi vizuri kama Lecturer wa OUT lakini UTALII unahitaji mtu vibrant, proactive and creative. Vitu vyote hivyo Damas Ndumbaro hana. Yeye ni conservative, reactive and dullDamas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji? Dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka. Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Uweke unafiki wao, nimekupa facts, sijawahi kukimbia hoja! Relax, nimeonyesha unafiki na ukatili wa CCM,, nionyeshe unafiki wa Chadema with facts
Kazi iendelee.Mkuu nakusalimia katika jina la JMT
Kama ni urithi wenu mbona sisi ndiyo tupo huku? Kama ni wa kwenu njooni basi muje kuuchukua muupeleke kwenu,sisi hapa ndiyo KWETU!! Wewe kwenu wapi? Kunguru wa buluu wewe!Mtatoka tu mbwaaa koko nyie. Ngorongoro ni urithi wetu sio muendelee kuzaliana kama panya ndani ya hifadhi.
huo ni wivu tu si tunawajua watz,kwani migogoro ya mpira imeisha?nani amefanikiwa kumaliza migogoro ya mpira tz.kwani kuwa waziri kunahitaji sifa gani ambazo ni perculiar.hata mbunge msukuma anaweza kuwa waziri.kwani pale wizarani mtendaji ni waziri pekee yake.upewe wewe tukuone kama utaperform.wivu ni sawa na uchawi.Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji? Dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka. Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Mpiga dili tu wewe. Tangu ulipokuwa Tazara! Kuna mtu asiye kufahamu wewe?Hivi mwanaume kabisa mtu mzima!!unapataje ujasiri wa kumtuhumu mtu bila kuonyesha ushaidi,zaidi ya maneno matupu?!!
Ninavyojua hizo ni tabia za wanawake ndio wenye hulka hio.