Mtu binafsi anaweza kumiliki nyumba ya ibada?

Mtu binafsi anaweza kumiliki nyumba ya ibada?

Huwezi jenga KANISA, unaweza kujenga nyumba au ukumbi ukawa unakodisha kwa watu wakautumia kufanya ibada au hata sherehe nk.

Binafsi nataka kujenga KANISA niwe nalikodisha watu wafanyie ibada na event zao zinazohusu Ukristo tu.

Kwa madhehebu yote ila kanisa ni 1 kila Mkoa nitafanya hivyo. Nadhani inawezekana.
 
Tutajie misiki miwili tu au mmoja.
Msikiti wa Mzee Mberesero uliopo Kijiji cha Masumbeni, kata ya Kifula, Wilaya ya Mwanga na Mkoa wa Kilimanjaro.

Unataka maelezo zaidi?
 
Kwanini Mkristo anaweza kumiliki Kanisa/Huduma lakini Muislamu hawezi kumiliki Msikiti, Mhindu hawezi kumiliki Jamatini, M-Bahai hawezi kumiliki Hekalu wala Myahudi hawezi kumiliki Sinagogi?

Kuna nini kwenye Ukristo? Mitume wa Nyakati za Biblia wala Wanafunzi 12 wa Yesu Kristo hawakumiliki Hekalu wala Kanisa. Sisi leo tumetoa wapi hii kitu?

Nadhani serikali ibadili sheria ili Makanisa yasisajiliwe na Msajili mmoja huyo huyo wa kusajili NGOs.

Lakini pia kusiwepo na mtu binafsi au familia au ukoo kumiliki Kanisa/Huduma ya MUNGU.

Mke wa TB Joshua anaendelea kukalia kiti cha mumewe.

Margaret mke wa Bishop Benson Idahosa (Baba wa Upentekoste Nigeria) ameendelea kumiliki Church of God Mission International.

Elizabeth Moses Kulola hajamiliki EAGT.

Evergrace Emmanuel Lazaro kabla ya kutwaliwa nyuma ya kutwaliwa mumewe hakumiliki TAG.

Mazonge kwenye kazi ya MUNGU ni kushindwa kupeleka waumini Mbinguni.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Dini iwe kichwani kwako
 
Biashara ya kanisa ni biashara nzuri sana husumbuliwi kodi wala nini, kwa ujinga walionao wa Tz huu ni muda sahihi wa kufungua kanisa na kupiga hela, we pika hata chai uite chai ya uzima kikombe uza buku mbili
 
sema waumini ni masikin hawana cha kukamua hata ukimiliki msikiti hutapata kitu
Hivi hii notion ya kwamba waislamu ni maskini na wakristo ni matajiri mnaitoa wapi nyinyi?

Kuna kitu kikubwa ambacho watu wengi hamjagundua, Uislamu na Ukristo (hasa haya makanisa yanayozuka kila siku) tofauti yao kubwa ni nafasi ya dini katika maisha ya mtu. Uislamu unamjenga na kumtayarisha mtu na maisha baada ya maisha ya duniani (the hereafter life). Hili utaliona katika mafundisho, ibada na utaratibu wa maisha (emphasis haipo kwenye getting the best out of this life bali ni doing the best in this life for the hereafter). Upande mwengine haya makanisa yanayozuka kila siku yamewekeza sana kwenye getting the best out of this life, hii utaiona hata kwenye mahubiri ya viongozi, mara nyingi utaskia vipofu wataona, wajane watapata wenza, utafunguliwa kipato chako etc.

Kila dini ina matajiri na maskini, lakini tofauti iliyopo ni vp unaji-present katika jamii kwa hali uliyonayo. Hivi niulize, wangapi tumekuwa tukitumia bidhaa za Bakhressa maisha yetu yote na wengi tumekuja kumjua sura yake miaka ya juzi tu hapa, wengine mpaka sasa hawamjui kwa sura. Sasa nitajie tajiri mmoja mkristo katika kiwango chake Bakhressa ambae hajulikani kwa sura na jamii!
 
mimi naishi huku mtaani na nimeandika uhalisia , wewe unaelezea nadharia na kumtaja Bakhresa tu. Waumini ni choka mbaya yaani mbwa kala mbwa wacheza vigodoro
 
sasa mtu ajenge kanisa kwa mfuko wake,aweke vifaa vyote,halafu liitwe mali ya waumini fulan!!!😂😂😂😂.
huu ni uzembe wa kufikiri,kama unataka kanisa la kijamii nenda kwenye kanisa lililopo chini ya dhehebu lolote utakuta hakuna hisa za mtu huko,ila uwe tayari kutoa michango ya ujenzi.

swala la waislam ni tofauti kidogo,wao wanaamini Mungu ana nyumba yake yaani msikiti.sisi tunamiini Mungu ana kila kitu,hata unachoamini ni mali yako bado wewe na hicho ni mali yake.
so mchungaji anayeamua kujenga kanisa na kujipa umiliki bado anajidanganga maana neno na waumini(kanisa halisi)haviwezi kuwa mali yake.
 
mimi naishi huku mtaani na nimeandika uhalisia , wewe unaelezea nadharia na kumtaja Bakhresa tu. Waumini ni choka mbaya yaani mbwa kala mbwa wacheza vigodoro
Wazungu wanasema 'Birds of the same feathers flock together' inaonekana wewe na hao unawaongelea nyote mpo group moja. Hakai mwenye kipato katikati ya wacheza vigodoro! na kama wewe huchezi vigodoro basi utakuwa na tabia nyengine tu ya watu wa jamii yako hiyo.

Tofauti yako wewe ni kichwani mwako tu, unajiona simba katika kundi la mbwa koko wenzako.
 
Punguza jazba pole sana bila shaka nimekugusa, mimi nimeandika ukweli. Ukianza kuongelea habari zangu utazidi kuonekana mwongo maana hufaham chochote kuhusu mimi.
 
Back
Top Bottom