Mtu binafsi anaweza kumiliki nyumba ya ibada?

Mtu binafsi anaweza kumiliki nyumba ya ibada?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti dini ya haki, kwamba kuna majini wazuri na majini wabaya, ukifa unapewa mabrikra 72
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi tukifa huko peponi tuendako tunaenda kufanya uzinzi na uasherati? Kumbe peponi kuna gestihausi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Mkristo anaweza kumiliki Kanisa/Huduma lakini Muislamu hawezi kumiliki Msikiti, Mhindu hawezi kumiliki Jamatini, M-Bahai hawezi kumiliki Hekalu wala Myahudi hawezi kumiliki Sinagogi?

Kuna nini kwenye Ukristo? Mitume wa Nyakati za Biblia wala Wanafunzi 12 wa Yesu Kristo hawakumiliki Hekalu wala Kanisa. Sisi leo tumetoa wapi hii kitu?

Nadhani serikali ibadili sheria ili Makanisa yasisajiliwe na Msajili mmoja huyo huyo wa kusajili NGOs.

Lakini pia kusiwepo na mtu binafsi au familia au ukoo kumiliki Kanisa/Huduma ya MUNGU.

Mke wa TB Joshua anaendelea kukalia kiti cha mumewe.

Margaret mke wa Bishop Benson Idahosa (Baba wa Upentekoste Nigeria) ameendelea kumiliki Church of God Mission International.

Elizabeth Moses Kulola hajamiliki EAGT.

Evergrace Emmanuel Lazaro kabla ya kutwaliwa nyuma ya kutwaliwa mumewe hakumiliki TAG.

Mazonge kwenye kazi ya MUNGU ni kushindwa kupeleka waumini Mbinguni.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Huwezi kumiliki Kanisa. Ukiona Kanisa wanapeana wana familia ujue ni family business. Kanisa linaongozwa na mume na mke ujue ni family business. Haikuwahi kutokea toka enzi za mitume hadi makristo wa uongo na wasiojua vyema historia ya kweli ya Kanisa walivyokutana na huo upepo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti dini ya haki, kwamba kuna majini wazuri na majini wabaya, ukifa unapewa mabrikra 72
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahadi ni Deni!!
 
Hakuna na hakutakuwa na kanisa la mtu binafsi. Kwenye usajili wa makanisa ni lazima kuwe na "board of management" hapa ndipo tunapata "board members". Hiki kuita kanisa la Masanja ni just identification ya Kanisa lakini Masanja au Lusekelo hajawahi kuwa wala kumiliki kanisa. Kuna timu ya watu ndani ya kanisa wanaosimamia Kanisa.

Mfano, suala la TB Joshua, baada ya mauti yake Kanisa lilikuwa chini ya board member na mkewe hakuwa miongoni mwa board member so kwa kuwa kulikuwa na waumini wengi na kanisa lilikuwa na ukwasi, mama akapambana ili awe kiongozi wa kanisa na sio mmiliki.

Makanisa yote ya kimfumo from TAG hadi Roman kuna hiyo board member. Hata hizi huduma za sasa ili zisajiliwe kisheria lazima ziwe na mebers of the board au management team mkuu ila hao wachungaji/mitume/manabii n.k wao wanakuwa viongozi wa madhabahuni tu na ndio maana WRM ya Suguye ilifungwa kwani alikosa "board of trustee"

Mabadiliko yanafanyikaga ya Katiba bila Msajili wa Vyama vya Hiari kujuwa.

Yapo Makanisa na Huduma kibao yanafanya kazi bila usajili na yanakusanya sadaka, ruzuku na fadhila kibao.

Sasa hivi taasisi za kidini ndiyo zinatumiwa na mafisadi serikalini kuficha ela za wizi.

Hiki kimefanyika kivutio cha wengi kukimbilia kuanzisha Makanisa wakiwemo Wasanii.

Mbozi ndiyo sehemu inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya Makanisa/Huduma.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nataka kujenga KANISA niwe nalikodisha watu wafanyie ibada na event zao zinazohusu Ukristo tu.

Kwa madhehebu yote ila kanisa ni 1 kila Mkoa nitafanya hivyo. Nadhani inawezekana.
 
Hivi tukifa huko peponi tuendako tunaenda kufanya uzinzi na uasherati? Kumbe peponi kuna gestihausi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tujifunze japo

Kufanya Mapenzi na wanawake hata 100 peponi sio uzinzi wala uasharati kwanza kabisa kabla tujazungumzia Hilo inabidi ujue kifanya mapenzi si uzinzi wala uasharati, kufanya Mapenzi ni jambo zuri, jema, burudani nk

Kufanya tendo kinyume na ilivyoagizwa ndio uzinzi na uasharati sasa peponi ikiwa imeruhusiwa kufanya Mapenzi na wanawaka hata 1000 unaitaje uzinzi na uasharati....Yes bado tunadhani Kama pepo ipo au hadithi lakini tujitahidi tujue CONCEPT YA PEPO ipoje.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama kutembea na mke wa mtu hapa duniani ni dhambi ila kutembea naye peponi ni ruksa (peponi hakuna Mahakama ya Kadhi), kumbe tunaweza kuhalalisha kula nguruwe peponi isiwe dhambi. Mimi nitaenda peponi na bakora kumlinda mke wangu pia nitabeba chachandu ya kulia nguruwe. Nimekaa paleeee...[emoji117][emoji117][emoji117]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Mkristo anaweza kumiliki Kanisa/Huduma lakini Muislamu hawezi kumiliki Msikiti, Mhindu hawezi kumiliki Jamatini, M-Bahai hawezi kumiliki Hekalu wala Myahudi hawezi kumiliki Sinagogi?

Kuna nini kwenye Ukristo? Mitume wa Nyakati za Biblia wala Wanafunzi 12 wa Yesu Kristo hawakumiliki Hekalu wala Kanisa. Sisi leo tumetoa wapi hii kitu?

Nadhani serikali ibadili sheria ili Makanisa yasisajiliwe na Msajili mmoja huyo huyo wa kusajili NGOs.

Lakini pia kusiwepo na mtu binafsi au familia au ukoo kumiliki Kanisa/Huduma ya MUNGU.

Mke wa TB Joshua anaendelea kukalia kiti cha mumewe.

Margaret mke wa Bishop Benson Idahosa (Baba wa Upentekoste Nigeria) ameendelea kumiliki Church of God Mission International.

Elizabeth Moses Kulola hajamiliki EAGT.

Evergrace Emmanuel Lazaro kabla ya kutwaliwa nyuma ya kutwaliwa mumewe hakumiliki TAG.

Mazonge kwenye kazi ya MUNGU ni kushindwa kupeleka waumini Mbinguni.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwenye Ukristo makanisa yanaendeshwa kwa namna mbili; moja ikiwa ni kwa mfumo wa ORGANISATION na nyingine ikiwa ni kwa mfumo wa MINISTRY

ORGANISATION inakuwa ni Taasisi, na inakuwa na wafanyakazi wake kama tuseme kilivyo Chuo Kikuu cha Dodoma. Kwenye mfumo huu, hayupo muumini au mchungaji anayeweza kumiliki nyumba ya Ibada

Mfumo wa pili ni MINISTRY. Mtu anaweza kujenga nyumba ya Ibada na hivyo kuanzisha Kanisa lake na kulisajili BRELA kama vie alivyo MZEE WA UPAKO

Wakati wa mitume, MINISTRIES hazikuwepo kwa sababu huduma ndiyo ilikuwa inaanza ilikuwa chaNga huku wahudumu wake wakiwa ni wachcahe mno, wakisaidiwa na ROHO MTAKATIFU

Kwa wakati huu, jambo la kutokuwa na MINISTRY haliwezekanai tena kwa sababu watu wameongezeka mno na hivyo mbinu zingine kama backup kwa ajili ya kutangaza NENO LA MUNGU, zinahitajika

UNLESS wewe siyo mkristo lakini kama ni mkristo, unaweza uka-imagine NEGATIVE IMPACTS ZA KIROHO zinazoweza kutokea, tuseme kwa MZEE WA UPAKO kusimamisha huduma yake kwa angalau mwezi mmoja tu

Ukiwaondoa RC ambao wao wapo kila mahali kama hewa, MINISTRY zinasaidia sana kwa kuyafikia maeneo ambayo madhehebu mengine yameshindwa kuyafika.

Thank God kwamba RC wana coverage kubwa mno, vinginevyo hali yetu ingekuwa mbaya mno
 
Nikiamua kuubadilishia matumizi. Nani atakuwa responsible kunishughulikia na kwa uthibitisho upi atakaotumia
Hili uitwe msikiti lazima uwe chini ya tasisi bimana ukisha kuwa chini ya tass sio mali yako tena labda uchague chumba miongoni mwa viumba via nyumba yake uite msikiti
 
Back
Top Bottom