Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

......mleta mada hana ufahamu kuhusu 'ambush' .....kawaida ukiotewa 'ambush' huwezi kuchomoa !
Amesahau kuwa kwenye ambush hamna mjanja hata kama ni Komandoo, kwa anayekumbuka miaka si mingi askari wetu wa JWTZ walipigwa ambush Darfur na tukapoteza vijana saba katika ambush hiyo kama sikosei. Ambush sio mchezo bwana.
 
Acha kujitoa uelewa ni kwamba alilengwa dereva gari ikakosa muelekeo ikaanguka unadhan nn kitafuata hata kama ulikuwa na siraha ningumu kuikumbuka wakati unamshangao na maumivu ya ajali.
Tusiwe watu wakuongea sana bila kutafakar
Jeshi letu la polisi linatakiwa kubadilika kuanzia mafunzo hadi vifaa wanavyotumia. Kwenye maeneo ya hatari kama hayo au kwenye operations nzito kama za maeneo ya Pwani wanahitaji kuwa na armoured vehicles, hii itapunguza casualities lakini pia itawaongezea fighting chances. Inaonekana risasi zilizolengwa kwa dereva zilimmaliza palepale, ndio maana gari ikapoteza mwelekeo vibaya. Lakini kama ingekuwa iko protected, angeweza kuituliza na askari wangejibu mashambulizi. Ni wakati wa jeshi letu kuamka na kuwa na vikosi vya kisasa, threat level ipo juu sana kwa sasa.
 
Kuna nduguyangu kafaa miongoni mwa waliowawa cha ajabu yeye ni police FFU Morogoro na hata familia yake iko Morogoro sasa huko Pwani sijui ilikuaje. Anyway deadman tell no tale
Labda ilikuwa operation ya siri ya namna yoyote ile.
 
Kuna nduguyangu kafaa miongoni mwa waliowawa cha ajabu yeye ni police FFU Morogoro na hata familia yake iko Morogoro sasa huko Pwani sijui ilikuaje. Anyway deadman tell no tale
Operation
Kuna nduguyangu kafaa miongoni mwa waliowawa cha ajabu yeye ni police FFU Morogoro na hata familia yake iko Morogoro sasa huko Pwani sijui ilikuaje. Anyway deadman tell no tale
IGP kasema 7 walitoka Moro na mmoja lindi
 
Kwenye Maelezo ya awali ni kwamba waliowavamia polisi walirusha risasi hovyo hovyo mkuu mara tuu baada ya kumshambulia dereva na gari kupoteza mwelekeo, Sasa wewe jiulize wakati askari wako kwenye taharuhi ya nini kimetokea gari imeshaingia mtaroni, hivyo pakatokea hali ya mtafaruku mara mbili, mashambulizi ya risasi na gari kupoteza mwelekeo, sasa hapo huoni ilitowa nafasi kwa mshambuliaji? Kumbuka hili ni tukio la kushtukiza sana na ni dhahiri kabisa Askari wetu hawakupata hata sekunde chache za kujibu mashambulizi.
Lakini kumbukeni hapa mnajadili watu wenye mafunzo kadhaa! Taharuki(panic)inapaswa kutokea kwa mtu asie na mafunzo. Labda kunakitu hatujakijua askar wetu wako vizuri kupambana na muhalifu wa namna gani hasa? Anaekuja face to face tena kwa taarifa?
 
Osama alichomoa ambush zaidi ya tisa! Tena kwa marekani risasi tatu hata nne zinaeeza kupata shabaha ndani ya sekunde tatu trained wa jambo husika anapaswa kua amechukua action, kumbuka ambush ya sudan dhidi ya Mubarak nafikiri, msafara ulitekwa unatoka airport. Jamaa walichomoa na bodyguards waligeuza msafata katikati ya mpambano!
 
Mh moro
Operation
IGP kasema 7 walitoka Moro na mmoja lindi
[/QUOTE

Mh morogoro si ndo kule magaidi walikutwa msikitini....au jamaa aliwataja wenzie nn pwan ..mh ila hii post siyo ya kushadadia sana
 
Vinapatikana wapi mkuu coz inawezekana hiyo ndo mianya yenyewe ambayo pengine walinzi wetu wa amani hawafahamu... Na kwa mazingira ambayo waliuawa ni porini sasa najiuliza kwann polisi wanaweka check point porini kiasi kile..
Kingine ni nani aliekua anatoa taarifa kusema Sasa gari ya police inakuja? Maana gari ilikua speed barabarani alafu mlengaji ontime aliweza kutarget na kufikia lengo na kwa gari ileile bila kukosea gari je ni nani alikua upande wa pili?
 
Hilo eneo tayari ni hatari muda mrefu,askari haikuwa busara kuwa wote kwenye gari moja kihivyo.Uchunguzi wa kina unahitajika eneo hilo lote.
 
Endelea kushangaa tu, shangaaaaaaa.

2013 miili ya askari jwtz 9 wakiwa opp UN sudan ililetwa baada ya kufanyiwa ambush na waasi,je walishindwa kabisa KUTAKE COVER??

Lengo langu nataka ujue kuanzia sasa, siraha kama siraha moja ile unayoiona inaweza kupindua nchi kabisaa, swala tu ni kwamba imetumikaje.ndio maana ikitoweka mikono salama TAHARUKI.nashangaa tunakenua tu humu sababu waliokufa ni wanaotupora vihera vyetu.

Huyu muuaji ametumia akili ya kawaida kabisa kujua kwamba gari ikiwa kwenye mwendo cha kushambulia 1)dereva 2)tairi 3)abiria. Sasa nikuulize inahitaji utaalam gani kurenga hivyo vitu??

Mrio wa risasi+gari kuanza kuyumba+mpaka kuanguka askari wanatake vip cover!!!!wakati adui yao yupo pembeni anasubiri wa kwanza kutoka???aliyepona inasemekana alirushwa mbali baada ya gari kuanguaka.ikawa bahati kwake wala sio uaskari.

Wakati mwingine tuwe tunatuliza akili kwanza kabla tu ya kuanza kuandika.
Mkuu kwanza pole sana kwa tukio.. Sisi wote tumeumia kutokana na hili tukio.. Kingine fahamu tu kwamba ss wengine ni raia wa kawaida ndo kwanza leo nmejua kwamba kwenye ambush kuna mahesabu matatu in series.. 1 dereva 2 tairi 3 abiria.. Bila ya ww kuchangia pengine wengine tusingefahamu ndo maana pengine tunaonekana tunauliza mambo ya kipuuzi...tusameheane.. Lengo ni kutaka kufahamu..
 
Amesahau kuwa kwenye ambush hamna mjanja hata kama ni Komandoo, kwa anayekumbuka miaka si mingi askari wetu wa JWTZ walipigwa ambush Darfur na tukapoteza vijana saba katika ambush hiyo kama sikosei. Ambush sio mchezo bwana.
Je kila mtu anaweza kupanga na kutekeleza ambus au inahitaji special skills..
 
Hii issue inaweza kuwa ni drama. Cha kwanza picha hazionekani. Report ya tukio haieleweki. Motivation ya tukio mpaka sasa haijulkani.

Wasijekuwa wametafta sababu za kuuwa watu bure kwa kisingizio ya kifo cha polce
Muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi mkuu.
 
Mkuu kwanza pole sana kwa tukio.. Sisi wote tumeumia kutokana na hili tukio.. Kingine fahamu tu kwamba ss wengine ni raia wa kawaida ndo kwanza leo nmejua kwamba kwenye ambush kuna mahesabu matatu in series.. 1 dereva 2 tairi 3 abiria.. Bila ya ww kuchangia pengine wengine tusingefahamu ndo maana pengine tunaonekana tunauliza mambo ya kipuuzi...tusameheane.. Lengo ni kutaka kufahamu..

Hata mimi ni raia wa kawaida.

Ambushi sio lazima iwe na vipaumbele hivyo, ila ni kwa target chombo cha moto kama gari.

Swali litaonekana la kipuuzi tu, kama utauliza na kuandaa majibu yako.
 
Back
Top Bottom