Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Ata kama siyo mmoja.. Nashangaa pia precision ya hao wadunguaji.. Yani kuhit target kwa 99% they must be highly trained.. Coz ata aliyepona amejeruhiwa siyo kwamba ametoka mzima kabisa..
Acha kujitoa uelewa ni kwamba alilengwa dereva gari ikakosa muelekeo ikaanguka unadhan nn kitafuata hata kama ulikuwa na siraha ningumu kuikumbuka wakati unamshangao na maumivu ya ajali.
Tusiwe watu wakuongea sana bila kutafakar
 
Mkuu ndo tunatafakari hapa. Sidhani kama tumefanya kosa.
 
Vinapatikana wapi mkuu coz inawezekana hiyo ndo mianya yenyewe ambayo pengine walinzi wetu wa amani hawafahamu... Na kwa mazingira ambayo waliuawa ni porini sasa najiuliza kwann polisi wanaweka check point porini kiasi kile..
Kaka hapo Saouth Africa Rand 1500 tu
 
Kwenye Maelezo ya awali ni kwamba waliowavamia polisi walirusha risasi hovyo hovyo mkuu mara tuu baada ya kumshambulia dereva na gari kupoteza mwelekeo, Sasa wewe jiulize wakati askari wako kwenye taharuhi ya nini kimetokea gari imeshaingia mtaroni, hivyo pakatokea hali ya mtafaruku mara mbili, mashambulizi ya risasi na gari kupoteza mwelekeo, sasa hapo huoni ilitowa nafasi kwa mshambuliaji? Kumbuka hili ni tukio la kushtukiza sana na ni dhahiri kabisa Askari wetu hawakupata hata sekunde chache za kujibu mashambulizi.
 
Acha kujitoa uelewa ni kwamba alilengwa dereva gari ikakosa muelekeo ikaanguka unadhan nn kitafuata hata kama ulikuwa na siraha ningumu kuikumbuka wakati unamshangao na maumivu ya ajali.
Tusiwe watu wakuongea sana bila kutafakar
Umemaliza mkuu!
Wale askari walifanyiwa ambush wakiwa ktk chombo cha moto, nafasi ya kujitetea ilikuwa finyu mno.
 
Ata kama siyo mmoja.. Nashangaa pia precision ya hao wadunguaji.. Yani kuhit target kwa 99% they must be highly trained.. Coz ata aliyepona amejeruhiwa siyo kwamba ametoka mzima kabisa..
........unajua maana ya 'ambush' !? (kijeshi) umewahi kupiga hata kwata ?(JKT)
Ambush zote zinatakiwa 99% successfull na si kitu cha kubahatisha, bali hupangwa. Unakumbuka ambush waliopigwa wakenya na Al Shabab mpaka wakavunja kambi ?
 
Hamjamuelewa vyema mleta mada. Yote kwa yote anamaanisha kuwa washambuliaji siyo your normal crooks. Ni watu ambao ni well trained. Kujuwa kuwa wale watu ni well trained, kunabadilisha kabisa sura ya mchezo inapokuja kwenye uchunguzi. Ndo maana wengine wanakuwa na maswali mengi, hata kupelekea wengine kufikiri kuwa ni magaidi...Kama ni majambazi, basi watakuwa ni ex soldiers etc
 
Hamjamuelewa vyema mleta mada. Yote kwa yote unamaanisha kuwa washambuliaji siyo your normal crooks. Ni watu ambao ni well trained. Kujuwa kuwa wale watu ni well trained, kunabadilisha kabisa sura ya mchezo inapokuja kwenye uchunguzi. Ndo maana wengine wanakuwa na maswali mengi...Kama ni majambazi, basi watakuwa ni ex soldiers etc
.....wewe ndio hujamuelewa, mleta mada ana doubt uwezo wa wafanya tukio. Ukimsoma/ukimuelewa zaidi anaona hata tukio lenyewe ni la uongo/kuficha ukweli - 'mtu anawezaje kulenga watu 7 gizani' ...hilo ndo swali lake. Bado hajahoji uwezo wa wafanya tukio !
 
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
Ilikuwa sio usiku!! Ilikuwa ni saa 12 jioni kwa mujibu wa polisi! Na baada ya gari kupoteza mwelekeo aliwafuata na kuwavua vest za kuzuia risasi na kuwamalizia kabisa.
 
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
Alipiga dereva gari ikapoteza uelekeo ikiangia mtaroni na wakawahi pale lilipoangukia gari wanafanya mashambulizi kwa askari, then wakachukua silaha wakasepa.
 
Mie sielewi huyo anaetoa maelezo alikuwa wapi mbona km aliona tukio zima? Au ni huo uongo wao waliozoea kutuambia. NYAMBAF
 
tumewazoea Kwa kusema uwongouwongo tu. Labda waliwatuma vijana wetu huko vichakani kufanya ambush wakauawa wengine Kwa makundi wakakimbia kutoa taarifa . Vinywa vyao vimekubuhu uwongouwongo tu
Ulaaniwe na kizazi chako chote
 
Ata kama siyo mmoja.. Nashangaa pia precision ya hao wadunguaji.. Yani kuhit target kwa 99% they must be highly trained.. Coz ata aliyepona amejeruhiwa siyo kwamba ametoka mzima kabisa..
Bandiwe hii posti hapo juu ndo inaonyesha hujamuelewa mleta hoja. Hata yeye ameshangaa, kwamba precision pia huwa ina determine if those ambushers are well trained or not. Wewe unajibu kwa kumshangaa mleta mada eti kwamba hajui ambushes na ndiyo maana anashangaa uwezo wa hao washambuliaji. Ungemuelewa usinhemshangaa kutokujuwa kwake, Bali na wewe ungejiuliza kama majambazi wa kawaida wanaweza kuwa trained kiasi hicho.
 
kanuni moja wapo ya mapambano "kumjua adui yako anaekuvizia kabla yeye hajakugundua,ni kwamba una 50% ya kumshinda..""...
tafakari......
 
Ilikuwa sio usiku!! Ilikuwa ni saa 12 jioni kwa mujibu wa polisi! Na baada ya gari kupoteza mwelekeo aliwafuata na kuwavua vest za kuzuia risasi na kuwamalizia kabisa.
Kana kwamba risasi hazitowauwa angewapiga kichwani?
WACHENI UONGO
 
Back
Top Bottom