Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Wajerumani walichukuwa kichwa cha Mkwawa baada ya kuumizwa sana na shambula la ambush ambalo Mkwawa ailifanya dhidi yao na lkawafanya wakapoteza Kamanda wao. Mkwawa alipopata taarifa za kiinteligensia kuwa kuna kundi la Askari liikiongozwa na Kamanda wa Kijerumani lina advance kuja kwenye ngome yake, basi yeye akapanga shambulio la kushtukiza (ambush)
Katika njia wanayopita hao Askari pamoja na Wajerumani kuna sehemu ina mto, alijua wakifika hapo watahitaji kurefresh kidogo then wavuke. Ndipo mahali alipopanga kuwashambulia. Aliwapata wakiwa hawajajianga na wamerelax. Waliweza kuua idadi kubwa ya Askari amoja na Kamanda wa Kijerumani. Wajerumani liwaumiza sana kuotewa na Chifu wa kiafrika kwa jinsi ile. Walichukuwa muda kujipanga ikiwa pamoja na kutafuta taarifa za Mkwawa na waliporudi walimshinda. Wakachukuwa kichwa chake kuthibitisha kuwa usumbufu umeondoka
Mkwawa alikuwa mzuri sana kwenye " Field tactical intelligence" na makamanda wake walikuwa ni wazuri sana kutumia "intelligence" hiyo kwenye uwanja wa vita. Katika historia za kijeshi "Ambush ya Lugalo" was a classic ambush kwa sababu zifuatazo. makamanda wa Mkwawa walichagua "a perfect killing ground". Hilo eneo ukiliangalia utaona wahehe walikuwa na advantage of observation, kwa hiyo ile approach ya Wajerumani ilikuwa inaonekana, toka mbali sana na walikuwa wanafanya "assessment and evaluation" kila movement inapofanyika. Ule mto pamoja na kwamba refreshment ingekuwa ni sababu ya kurelax lakini pia ulichaguliwa kwa makusudi. Tactically mto ni natural obstacle na hasa kama umeishauvuka uko upande wa adui. Makamanda wa Kihehe walijua kuwa ambush ikianza watawamaliza wajerumani pale pale au wanapojitahidi kuvuka mto kurudi nyuma. Tatu ni surprise, wahehe walisubiri sana bila movement kusubiri kiashiria cha kuanza mashambulizi.
Na hapo kosa dogo lilitokea na ndiyo ulichokieleza hapo juu. Wajerumani walikuwa wamerelax kabla ya kusonga mbele na inasemekana mmojawapo alimwona kanga akamlenga na kumpiga risasi, wahehe wakajua "battle"imeanza na wakaanza mashambulizi ya nguvu. Kule Ujerumani Maandalizi ya kuja kukomboa zile bunduki 300 zilizotekwa yalikuwa makubwa sana. Askari maalumu walichaguliwa kwa jukumu hilo. Kamanda wao alichaguliwa maalumu kutoka maafisa waliofanya vizuri kwenye kozi ya Ukamanda na Unadhimu na kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Vita Afrika Wazungu walikuja na silaha za msaada kama "Mortars". Isingekuwa "ubinafsi" wa Chief Mkwawa kuna uwezekano mkubwa Wahehe wangeshinda pia (hili nitalieleza siku nyingine). Amri ilikuwa imetolewa kuwa Mkwawa asiuawe bali akamatwe apelekwe Ujerumani akiwa hai. Mkwawa aliona afadhali kufa kuliko kuchukuliwa mateka (Kumbuka Wakati wa Vita kuu ya Pili aliwaamuru Makamanda Wake kujiua kuliko kutekwa na Adui. Je alikopi toka kwa Mkwawa? Hatujui). Kichwa chake kilichukuliwa ili wazungu angalau wachunguze ubongo wake kama ulikuwa wa namna gani?
 
ahsante kwa maelezo ya kutosha.
 
Jeshi letu la polisi linatakiwa kubadilika kuanzia mafunzo hadi vifaa wanavyotumia. Kwenye maeneo ya hatari kama hayo au kwenye operations nzito kama za maeneo ya Pwani wanahitaji kuwa na armoured vehicles, hii itapunguza casualities lakini pia itawaongezea fighting chances. Inaonekana risasi zilizolengwa kwa dereva zilimmaliza palepale, ndio maana gari ikapoteza mwelekeo vibaya. Lakini kama ingekuwa iko protected, angeweza kuituliza na askari wangejibu mashambulizi. Ni wakati wa jeshi letu kuamka na kuwa na vikosi vya kisasa, threat level ipo juu sana kwa sasa.
Ni kweli kabisaa , jeshi letu la Polisi lazima libadilike liwe la kisasa zaidi hasa kwa nyakati hizi za sasa. Hawawezi kuendelea kutumia magari ya kawaida wakati wanapambana na hao Magaidi au majambazi.
 
Back
Top Bottom