Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Vinapatikana wapi mkuu coz inawezekana hiyo ndo mianya yenyewe ambayo pengine walinzi wetu wa amani hawafahamu... Na kwa mazingira ambayo waliuawa ni porini sasa najiuliza kwann polisi wanaweka check point porini kiasi kile..
Ili wapate rushwa mkuu
 
Jamani mwenye picha za hilo tukio atume maana wengine hatujazitia machoni hadi tunafkiri ni drama tulizozizoea
 
Hii issue inaweza kuwa ni drama. Cha kwanza picha hazionekani. Report ya tukio haieleweki. Motivation ya tukio mpaka sasa haijulkani.

Wasijekuwa wametafta sababu za kuuwa watu bure kwa kisingizio ya kifo cha polce
 
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
kwa hisia,mbona we unaweza kutita gizani.acha ujinga watu wamepoteza maisha we unaleta vi thread vya ajabu
 
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...

Kabla hatujakujibu ' Kiundani ' na ' Kiutaalam ' zaidi pitia pitia katika vyanzo vyako vyote vya Kiulinzi na Kiusalama kisha waulize ' Sniper ' au ' Mdunguaji ' kwa Kiswahili chetu ni Mtu wa aina gani, anapata mafunzo gani na kwa kawaida huwa anakuwa wapi Kitaasisi kisha ana uwezo wa kufanya nini ambacho wana ' Medani ' wenzie wengi hawawezi. Ukishapata majibu yake rudi tena kisha ' nitaririka ' zaidi na Wewe ili nikupe ' nondo ' na ' madini ' zaidi yaliyotukuka.
 
Dhana ya usalama ni ya kila mtanzania hivyo hujuwi hata maana ya shambulizi la kuvizia.toa ushirikiano kukomesha hali hii.wewe unafurahia kulindwa tu.
 
Siyo kweli hata kidogo hilo Lina matatizo ya kiusalama kwa mda mrefu ndiyo maana wemeweka barrier huko porini hilo la rushwa ni la kwako wewe, usipende kupotosha watu.
Mkuu Nina mashamba yangu jaribu ikwilili na Kibiti nayajua mazingira ya pale wale wapo pale kutaka rushwa tu majangili hawapo pale mkuu na majangiri hawapiti kwenye ile Beria kuna njia na polisi wanazijua wapo pale kuonekana km wanalinda usitake tutoe siri
 
Sijakuelewa vzr .hawakufaa ? Wanejiua ?au mamlaka zinadanganya iwe nn ?. Sijakuelewa vema. Askari wamekufa na no jambo baya na lahatari kwa nchi yetu.tatizo hujatembea kwenye nchi zenye shida hii.. Pole sana nenda S.Sudan ukajionee
 
Pale malaika mtoa roho anapohitaji roho yako, haitojalisha upo mazingira gani au unalindwa kiasi gani! Ni lazima aichukue roho yako tu..
 
Kabla hatujakujibu ' Kiundani ' na ' Kiutaalam ' zaidi pitia pitia katika vyanzo vyako vyote vya Kiulinzi na Kiusalama kisha waulize ' Sniper ' au ' Mdunguaji ' kwa Kiswahili chetu ni Mtu wa aina gani, anapata mafunzo gani na kwa kawaida huwa anakuwa wapi Kitaasisi kisha ana uwezo wa kufanya nini ambacho wana ' Medani ' wenzie wengi hawawezi. Ukishapata majibu yake rudi tena kisha ' nitaririka ' zaidi na Wewe ili nikupe ' nondo ' na ' madini ' zaidi yaliyotukuka.
mkuu napata wasiwasi wa usalama wangu kwa kiasi kikubwa napoona majambazi yanafikia uwezo wa kurecruit mtu kama huyo...
 
Una wasiwasi kwani umesikia kuwa nchi hii ina ' Vita ' Mkuu? Acha kuwa ' Mwoga ' nchi iko salama kabisa kutoka katika kile pembe ya mipaka yetu isipokuwa tu humu humu ndani kwa ndani ( sisi kwa sisi ) ndiyo ' tunanyooshana ' ili tuweze kuheshimiana na kukomazwa kusudi hata ikitokea Tanzania ' tumechokozwa ' na ' Maadui ' zetu basi tuwe tayari ' tumekwiva '.
 
Nina vyombo vingi vya usalama nawashukuru mnao changia positively. Kwa maslai ya opetesheni mpya kwenye haya maeneo sitasema nini kinaendelea.tunahitaji taarifa sahihi kutoka kwa raia wema hili kuleta amani kwa taifa letu. Kumbukeni matamko ya kisiasa hayana nafasi hii ni Vita.
 
Nafikiri watu wameelewa.. Lengo la kuanzisha uzi siyo kukebei bali ni kujaribu kuchangia na kutoa mawazo ili vyombo vyetu viweze kupata input fulani..
 
Mkuu Nina mashamba yangu jaribu ikwilili na Kibiti nayajua mazingira ya pale wale wapo pale kutaka rushwa tu majangili hawapo pale mkuu na majangiri hawapiti kwenye ile Beria kuna njia na polisi wanazijua wapo pale kuonekana km wanalinda usitake tutoe siri
Nikweli kuna siku nimepita ilo eneo baada ya yale mauaji ya mara ya kwanza aise tulipata shida sana kutoka kwa hao polisi walikua wanataka ela kwa lazima ukigoma wanakupiga mara wakurushe kichura ilikua shida
 
Mkuu Nina mashamba yangu jaribu ikwilili na Kibiti nayajua mazingira ya pale wale wapo pale kutaka rushwa tu majangili hawapo pale mkuu na majangiri hawapiti kwenye ile Beria kuna njia na polisi wanazijua wapo pale kuonekana km wanalinda usitake tutoe siri
Toa siri unaficha ya nini wakati watu wanauawa kila siku?Ukiendelea kuficha Siri iko siku hao jamaa watakufikia,toa Siri ili kazi ifanyike ipasavyo badala ya watu kwenda kukaa huko kutegea rushwa.
 
Back
Top Bottom