Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Ilikuwa sio usiku!! Ilikuwa ni saa 12 jioni kwa mujibu wa polisi! Na baada ya gari kupoteza mwelekeo aliwafuata na kuwavua vest za kuzuia risasi na kuwamalizia kabisa.
Kuwavua vest??? Duuu unaongea kama ulikuwepo vile!
 
Ilikuwa sio usiku!! Ilikuwa ni saa 12 jioni kwa mujibu wa polisi! Na baada ya gari kupoteza mwelekeo aliwafuata na kuwavua vest za kuzuia risasi na kuwamalizia kabisa.
Lengo la kuwavua vest ni ili wazichukue au ni nn?
 
Una wasiwasi kwani umesikia kuwa nchi hii ina ' Vita ' Mkuu? Acha kuwa ' Mwoga ' nchi iko salama kabisa kutoka katika kile pembe ya mipaka yetu isipokuwa tu humu humu ndani kwa ndani ( sisi kwa sisi ) ndiyo ' tunanyooshana ' ili tuweze kuheshimiana na kukomazwa kusudi hata ikitokea Tanzania ' tumechokozwa ' na ' Maadui ' zetu basi tuwe tayari ' tumekwiva '.
. Tuwe tumekwiva
 
.....wewe ndio hujamuelewa, mleta mada ana doubt uwezo wa wafanya tukio. Ukimsoma/ukimuelewa zaidi anaona hata tukio lenyewe ni la uongo/kuficha ukweli - 'mtu anawezaje kulenga watu 7 gizani' ...hilo ndo swali lake. Bado hajahoji uwezo wa wafanya tukio !
Wewe tumeelewa sawia kabisa
 
Hata Wewe pia kama unazijua ungeweza tu kumwekea pia na wala kusingeharibika kitu ILA kwakuwa unawashwa na aina yangu kubwa ya ' Uelewa ' na ' Ufahamu ' wa mambo mbalimbali ambayo kimsingi huwa kila siku yanakuchukiza ukaamua kuja na aina yako hii ya response ya ' Kipumbavu ' kabisa Kwangu. Narudia tena kukuambia utaendelea kuichukia 24/7 hii ID ila zawadi ya Kipekee ya kuwa ' Talented and Charismatic ' niliyopewa na Mwenyezi Mungu ' kamwe ' hutoweza kuwa nayo na yawezekana pia hata katika ' Koo ' zako zote mbili hakuna ambaye anathubutu tu kufikia robo yangu.
hahahaaa daah!! basi samahani kwa komenti yangu ya kipumbavu mkuu naelewa na naheshim sana charisma kubwa ulonayo, tunaomba sasa umsaidie huyu mleta mada kwa faida ya wengi
 
  • Thanks
Reactions: ADK
tumewazoea Kwa kusema uwongouwongo tu. Labda waliwatuma vijana wetu huko vichakani kufanya ambush wakauawa wengine Kwa makundi wakakimbia kutoa taarifa . Vinywa vyao vimekubuhu uwongouwongo tu
Mkuu hiyo username yako imenitonesha kidonda, nimedhulumiwa hela zangu za Nssf baada ya kuzuiwa kwa fao la kujitoa!
 
hahahaaa daah!! basi samahani kwa komenti yangu ya kipumbavu mkuu naelewa na naheshim sana charisma kubwa ulonayo, tunaomba sasa umsaidie huyu mleta mada kwa faida ya wengi

Siku nyingine usipende kuja Kwangu ' Kichwa Kichwa ' kwani huwa sikosi ' Silaha ' ya kumuangamiza ' adui ' yangu yoyote yule. Adabu hii ya sasa nadhani ndiyo ulipashwa uionyeshe Kwangu mapema mno ila kwakuwa ulikuwa unataka sifa na kujifanya unajua sana maneno ya ' Shombo ' na ukasahau kuwa kumbe hapa ndiyo ' Headquarters ' yake hayo maneno.

Na bahati nzuri mno ni kwamba nimeshaku ' label ' siku nyingi sana hasa kuhusiana na post zako ambazo huwa unapenda kunijibu na nikawa nakustahi tu ila nikaona sasa unazidi tu mwenyewe kujaa katika ' frame ' na nikaona kidogo leo nikuonjeshe tu sehemu yangu ya majibu kwa Watu wa aina yako.

Kuhusu kumsaidia huyo Mleta mada nadhani hata Wewe kwa umeshajionyesha kuwa ni ' mjuaji ' unaweza pia ukamsaidia kwa kumfafanulia kile anachokitaka na ndiyo hili likawa ni jamvi la wengi wenye uelewa na ufahamu wa mambo mbalimbali ya kimaisha na kidunia.
 
so you attack personalities now? mimi seriously sikujua nagombana na wewe.. nilikua na ugomvi na ideas zako
 
wewe ndo hujamuelewa huyo mbishi,, yeye anamaanisha hata mimi ambae labda kwa mfano sina ujuzi ama mbinu zozote za medani ningewaambush hao aska?ri ningeweza kuwalaza chini wote bila tatizo. kwahiyo kwake kinachowalaza chini wote ni neno "ambush" na sio uwezo wa silaha ama umahiri wa mshambuliaji
unaposema ambush basi ujue hufanywa na wajuzi tu. Lazima tukio zima lipangwe baada ya kupata taarifa zote na kusoma nyendo za walengwa. Ambush ni shambulio la ghafla na linatokana na kuvizia
 
Kwa uelewa wangu nadhani anashangaa na kujiuliza watu kuwa na ufundi wa kupiga risasi gari bila gari kuwa na matundu ya risasi...risasi iliyovunja kioo na kuwapata wote( professional kiufupi au well trained)...nadhani point kubwa sio majambazi wa kawaida
 
Wajerumani walichukuwa kichwa cha Mkwawa baada ya kuumizwa sana na shambula la ambush ambalo Mkwawa ailifanya dhidi yao na lkawafanya wakapoteza Kamanda wao. Mkwawa alipopata taarifa za kiinteligensia kuwa kuna kundi la Askari liikiongozwa na Kamanda wa Kijerumani lina advance kuja kwenye ngome yake, basi yeye akapanga shambulio la kushtukiza (ambush)
Katika njia wanayopita hao Askari pamoja na Wajerumani kuna sehemu ina mto, alijua wakifika hapo watahitaji kurefresh kidogo then wavuke. Ndipo mahali alipopanga kuwashambulia. Aliwapata wakiwa hawajajianga na wamerelax. Waliweza kuua idadi kubwa ya Askari amoja na Kamanda wa Kijerumani. Wajerumani liwaumiza sana kuotewa na Chifu wa kiafrika kwa jinsi ile. Walichukuwa muda kujipanga ikiwa pamoja na kutafuta taarifa za Mkwawa na waliporudi walimshinda. Wakachukuwa kichwa chake kuthibitisha kuwa usumbufu umeondoka
 
Back
Top Bottom