Namashaka na style ya wauaji kuwa ya ustadi mkubwa,bila woga,kufahamu mda vizuri na malengo mahususi.
Wanaweza kuwa maaskari wenzao wanao wafahamu vizuri!
Jeshi la polisi lifanye uchunguzi wa kina na madhubuti!Familia nane kwa wakati mmoja kwenye kambi moja ni hatari sana,hata kwa waliobaki kambini hapo.
Hao wanaovamia Studio na kutishia watu kwa bastola si wakupuuzwa na kuchekewa.Kuna kitu lazima.Tunalazimishiwa woga bila sababu ya msingi.Fanyeni kazi yenu kwa WELEDI walinzi wetu wa amani.USALAMA wa raia upo shakani