Wakuu wa janv,
Mimi nina kaswali ambako kwakweli hunitatiza.
Kabla sijauliza naomba niweke marital status yangu kua ni single, na
niongeze kua sina mtu yeyoye in target kwa sasa. Lakini niseme pia kua,
hua natamani siku moja niwe na mke na watoto na nilee familia yangu.
Swali lenyewe: Hivi tunatakiwa kuowa mtu unaempenda au mtu unaeona anafaa kua mke?
naamini sio kila unaempenda anaweza akawa mke, lakini pia sio kila anefaa kua mke utampenda.
Naombeni jibu.