Mtu akifa anaenda wapi?

Mtu akifa anaenda wapi?

Hongera, kwa hiyo ulipokufa ulifanyiwa hivyo! Sasa umerudi kutujulisha kisha utaenda tena!
Kitabu kingine
61IujNNDeaL._UF1000,1000_QL80_.jpg
 
MTU AKIFA ANAENDA WAPI?

Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi?
Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja:

18 Kutoka hapo nikaenda mahali pengine, mlima wa mwamba mgumu.
19 Na ndani yake palikuwa na mashimo manne, makubwa na mapana na laini sana. Mashimo hayo yalikuwa laini mno, makubwa na yenye giza kuonekana.
20 Ndipo Rafael, mmoja wa malaika watakatifu aliyekuwa pamoja nami, akaniambia: “Mashimo haya yameumbwa kwa kusudi hili, kwamba roho za nafsi za waliokufa zikusanyike humu, naam, kwamba roho zote za watoto wa wanadamu zikusanyike hapa. Na mashimo haya yamefanywa kuyapokea hadi siku ya hukumu yao na muda wao uliowekwa, mpaka hukumu kuu juu yao itakapofika.”
21 Nikaona roho ya mtu aliyekufa ikileta malalamiko, na sauti yake ikaenda mbinguni ikiwasilisha kesi. Nikamuuliza Rafael malaika aliyekuwa pamoja nami: “Hii roho inayowasilisha malalamiko, ni ya nani? Ni nani ambaye sauti yake inapaza kesi mbele ya mbingu?”
22 Akanijibu akasema: “Hii ni roho iliyotoka kwa Habili, ambaye aliuawa na ndugu yake Kaini. Yeye anawasilisha kesi dhidi yake hadi uzao wake utakapofutwa kabisa juu ya uso wa dunia, na uzao wake uondolewe kati ya uzao wa wanadamu.”
23 Kisha nikauliza kuhusu hilo, na kuhusu mashimo yale yote: “Kwa nini shimo moja limetengwa na lingine?”
24 Akanijibu akasema: “Mashimo haya matatu yamefanywa ili roho za waliokufa zitenganishwe. Na mgawanyiko umewekwa kwa ajili ya roho za wenye haki, ambamo kuna chemchemi yenye maji angavu. Na mgawanyiko umewekwa kwa ajili ya wenye dhambi wanapokufa na kuzikwa duniani, na hukumu haijatendeka juu yao wakati wa maisha yao.
25 Hapa roho zao zitawekwa kando katika mateso makubwa mpaka siku kuu ya hukumu na adhabu na mateso ya wale wanaolaani milele na malipo ya roho zao. Hapa watafungwa milele. Na mgawanyiko umewekwa kwa ajili ya roho za wale wanaowasilisha malalamiko, wanaotoa ushuhuda kuhusu maangamizi yao, walipouawa katika siku za wenye dhambi.
26 Mgawanyiko pia umewekwa kwa ajili ya roho za watu ambao hawakuwa wenye haki bali ni wenye dhambi, waliokamilika katika makosa. Hao watakuwa marafiki wa wakosaji, lakini roho zao hazitauawa siku ya hukumu, wala hazitafufuliwa kutoka humo.”

Ufunuo wa Safari ya Roho Baada ya Kifo

Kulingana na Henoko, malaika Rafael alimwonyesha kwamba baada ya kifo, roho za wanadamu haziishi ovyo, bali zinakusanywa na kutenganishwa kulingana na matendo yao. Kuna mashimo manne makuu:

(a) Shimo la Wenye Haki

Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu.

Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima.

Yesu alisema: “Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.” (Yohana 17:3).

(b) Shimo la Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani

Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao.

Roho zao zinawekwa kwenye mateso makubwa, zikitazamia hukumu ya mwisho.

Waebrania 9:27: “Na kama vile wanadamu wamewekwa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.”

(c) Shimo la Waliouliwa kwa Dhuluma

Roho hizi zinatoa malalamiko na ushuhuda juu ya mateso yao.

Mfano ni Habili, ambaye damu yake ilililia haki mbele za Mungu (Mwanzo 4:10).
"Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi."

Hii inatufundisha kuwa Mungu husikia kilio cha wanyonge.

(d) Shimo la Wenye Dhambi Waliojaa Makosa

Hawa walikamilika katika uovu, waliishi maisha ya uasi wa kudumu.

Roho zao hazitafufuliwa tena, bali zitafungwa milele kwenye giza lisilo na tumaini.

Ufunuo 20:15: “Na mtu yeyote asiyepatikana ameandikwa katika kitabu cha uzima alitupwa katika ziwa la moto.”

Mafunzo Makuu kwa Maisha Yetu

1. Kifo si mwisho, bali ni mwanzo wa safari ya milele.

2. Mungu ni wa haki, kila dhuluma huangaliwa na hukumu yake huja.

3. Wenye haki na waovu hutenganishwa.

4. Yesu Kristo ndiye tumaini la uzima wa milele. Yohana 11:25: “Mimi ndimi huo ufufuo na uzima; yeye aniaminiye mimi ajapokufa ataishi.”

Kwa hiyo, mtu akifa haendi mahali pamoja kwa wote. Kuna mgawanyiko:

Wenye haki → pumziko na faraja.

Wenye dhambi → mateso na giza la milele.
Sasa si mnamfukia wote tunamuona wapi aende sasa
 
Kuna kitu kinaitwa kiburi cha uzima ndicho kinachowatesa wengi ila siku wakuugua wako hoi kitandani utashangaa wakianza ona maluweluwe muiteni mchungaji aniombee huku walipata muda ila hawakufanya hivyo na walisikia ushuhuda wa Mungu ila waliupuuzia na wakaishia kuwatukana watumishi wa Mungu. Acha dhambi leo usimwache shetani atawale maisha yako, njoo kwa yesu uone amani na raha ya kuishi ndani yake.
Amen
Dhambi ni nini ??
 
ROHO NI NINI?
Naomba kwanza uanze hapa nimeeleza vizuri zaidi:
1. Msingi wa Ubinadamu: Mwili, Nafsi na Roho

Ili binadamu akamilike, anakuwa na sehemu kuu tatu: mwili, nafsi, na roho.

1. Mwili
Mwili ni sehemu ya nje, inayoonekana kwa macho na kuguswa. Ni chombo kinachobeba na kuunganisha sehemu zingine mbili yaani nafsi na roho. Kupitia mwili, binadamu anafanya mambo ya kimwili kama kula, kufanya kazi, kuzungumza, na kuhamasisha mazingira yake.

2. Nafsi
Nafsi ni sehemu ya ndani inayohusisha akili (ufahamu), hisia (emotions), na utashi (willpower). Nafsi ndiyo sehemu inayochambua, kuchagua, kutafakari na kuamua. Inaweza kulinganishwa na "controller" au dirisha la uamuzi yaani, ni sehemu inayopokea taarifa kutoka mwilini au rohoni na kuamua nini kifanyike. Nafsi ndiyo inaongoza tabia, mitazamo na maamuzi ya kila siku.

3. Roho
Roho ni sehemu ya ndani kabisa, kiini cha maisha ya kiroho ya binadamu. Roho ndiyo inaunganisha mtu na Mungu au ulimwengu wa kiroho. Ni katika roho ndipo kunakotokea hisia za kina za ibada, dhamira, na mawasiliano na nguvu za juu. Watu wanaoongozwa na roho mara nyingi huishi maisha ya kutafakari mambo ya kiroho, maadili, na kusudi la juu la maisha.

Uhusiano Kati ya Mwili, Nafsi na Roho

Mwili ndio unaonekana na ni kama nyumba inayobeba nafsi na roho.

Nafsi ni kama controller au sehemu ya uamuzi inayosimamia na kuamua ni sehemu ipi ya mwili au roho itakayekuwa na nguvu zaidi katika maisha ya mtu.

Roho ni chanzo cha uhai na mawasiliano ya kiroho.
 
Mtu akifa ndiyo mwisho wake.Haendi popote kama Imani vinavyotuaminisha zaidi ya kuoza na kuliwa na wadudu na zile sehemu ngumu kama mifupa kuoza taratibu Hadi kugeuka kuwa udongo
 
MTU AKIFA ANAENDA WAPI?

Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi?
Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja:

18 Kutoka hapo nikaenda mahali pengine, mlima wa mwamba mgumu.
19 Na ndani yake palikuwa na mashimo manne, makubwa na mapana na laini sana. Mashimo hayo yalikuwa laini mno, makubwa na yenye giza kuonekana.
20 Ndipo Rafael, mmoja wa malaika watakatifu aliyekuwa pamoja nami, akaniambia: “Mashimo haya yameumbwa kwa kusudi hili, kwamba roho za nafsi za waliokufa zikusanyike humu, naam, kwamba roho zote za watoto wa wanadamu zikusanyike hapa. Na mashimo haya yamefanywa kuyapokea hadi siku ya hukumu yao na muda wao uliowekwa, mpaka hukumu kuu juu yao itakapofika.”
21 Nikaona roho ya mtu aliyekufa ikileta malalamiko, na sauti yake ikaenda mbinguni ikiwasilisha kesi. Nikamuuliza Rafael malaika aliyekuwa pamoja nami: “Hii roho inayowasilisha malalamiko, ni ya nani? Ni nani ambaye sauti yake inapaza kesi mbele ya mbingu?”
22 Akanijibu akasema: “Hii ni roho iliyotoka kwa Habili, ambaye aliuawa na ndugu yake Kaini. Yeye anawasilisha kesi dhidi yake hadi uzao wake utakapofutwa kabisa juu ya uso wa dunia, na uzao wake uondolewe kati ya uzao wa wanadamu.”
23 Kisha nikauliza kuhusu hilo, na kuhusu mashimo yale yote: “Kwa nini shimo moja limetengwa na lingine?”
24 Akanijibu akasema: “Mashimo haya matatu yamefanywa ili roho za waliokufa zitenganishwe. Na mgawanyiko umewekwa kwa ajili ya roho za wenye haki, ambamo kuna chemchemi yenye maji angavu. Na mgawanyiko umewekwa kwa ajili ya wenye dhambi wanapokufa na kuzikwa duniani, na hukumu haijatendeka juu yao wakati wa maisha yao.
25 Hapa roho zao zitawekwa kando katika mateso makubwa mpaka siku kuu ya hukumu na adhabu na mateso ya wale wanaolaani milele na malipo ya roho zao. Hapa watafungwa milele. Na mgawanyiko umewekwa kwa ajili ya roho za wale wanaowasilisha malalamiko, wanaotoa ushuhuda kuhusu maangamizi yao, walipouawa katika siku za wenye dhambi.
26 Mgawanyiko pia umewekwa kwa ajili ya roho za watu ambao hawakuwa wenye haki bali ni wenye dhambi, waliokamilika katika makosa. Hao watakuwa marafiki wa wakosaji, lakini roho zao hazitauawa siku ya hukumu, wala hazitafufuliwa kutoka humo.”

Ufunuo wa Safari ya Roho Baada ya Kifo

Kulingana na Henoko, malaika Rafael alimwonyesha kwamba baada ya kifo, roho za wanadamu haziishi ovyo, bali zinakusanywa na kutenganishwa kulingana na matendo yao. Kuna mashimo manne makuu:

(a) Shimo la Wenye Haki

Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu.

Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima.

Yesu alisema: “Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.” (Yohana 17:3).

(b) Shimo la Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani

Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao.

Roho zao zinawekwa kwenye mateso makubwa, zikitazamia hukumu ya mwisho.

Waebrania 9:27: “Na kama vile wanadamu wamewekwa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.”

(c) Shimo la Waliouliwa kwa Dhuluma

Roho hizi zinatoa malalamiko na ushuhuda juu ya mateso yao.

Mfano ni Habili, ambaye damu yake ilililia haki mbele za Mungu (Mwanzo 4:10).
"Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi."

Hii inatufundisha kuwa Mungu husikia kilio cha wanyonge.

(d) Shimo la Wenye Dhambi Waliojaa Makosa

Hawa walikamilika katika uovu, waliishi maisha ya uasi wa kudumu.

Roho zao hazitafufuliwa tena, bali zitafungwa milele kwenye giza lisilo na tumaini.

Ufunuo 20:15: “Na mtu yeyote asiyepatikana ameandikwa katika kitabu cha uzima alitupwa katika ziwa la moto.”

Mafunzo Makuu kwa Maisha Yetu

1. Kifo si mwisho, bali ni mwanzo wa safari ya milele.

2. Mungu ni wa haki, kila dhuluma huangaliwa na hukumu yake huja.

3. Wenye haki na waovu hutenganishwa.

4. Yesu Kristo ndiye tumaini la uzima wa milele. Yohana 11:25: “Mimi ndimi huo ufufuo na uzima; yeye aniaminiye mimi ajapokufa ataishi.”

Kwa hiyo, mtu akifa haendi mahali pamoja kwa wote. Kuna mgawanyiko:

Wenye haki → pumziko na faraja.

Wenye dhambi → mateso na giza la milele.
Ukitaka kuelewa hayo mambo, bc biblia na kuran achana nazo mana hizo zimewekwa kulainisha akili za watu kama nyie mpaka mnaoandika haya mashudu
 
Nimeomba ushahidi, sio hizi taarabu.
1. Msingi wa Ubinadamu: Mwili, Nafsi na Roho

Ili binadamu akamilike, anakuwa na sehemu kuu tatu: mwili, nafsi, na roho.

1. Mwili
Mwili ni sehemu ya nje, inayoonekana kwa macho na kuguswa. Ni chombo kinachobeba na kuunganisha sehemu zingine mbili yaani nafsi na roho. Kupitia mwili, binadamu anafanya mambo ya kimwili kama kula, kufanya kazi, kuzungumza, na kuhamasisha mazingira yake.

2. Nafsi
Nafsi ni sehemu ya ndani inayohusisha akili (ufahamu), hisia (emotions), na utashi (willpower). Nafsi ndiyo sehemu inayochambua, kuchagua, kutafakari na kuamua. Inaweza kulinganishwa na "controller" au dirisha la uamuzi yaani, ni sehemu inayopokea taarifa kutoka mwilini au rohoni na kuamua nini kifanyike. Nafsi ndiyo inaongoza tabia, mitazamo na maamuzi ya kila siku.

3. Roho
Roho ni sehemu ya ndani kabisa, kiini cha maisha ya kiroho ya binadamu. Roho ndiyo inaunganisha mtu na Mungu au ulimwengu wa kiroho. Ni katika roho ndipo kunakotokea hisia za kina za ibada, dhamira, na mawasiliano na nguvu za juu. Watu wanaoongozwa na roho mara nyingi huishi maisha ya kutafakari mambo ya kiroho, maadili, na kusudi la juu la maisha.

Uhusiano Kati ya Mwili, Nafsi na Roho

Mwili ndio unaonekana na ni kama nyumba inayobeba nafsi na roho.

Nafsi ni kama controller au sehemu ya uamuzi inayosimamia na kuamua ni sehemu ipi ya mwili au roho itakayekuwa na nguvu zaidi katika maisha ya mtu.

Roho ni chanzo cha uhai na mawasiliano ya kiroho.
 
1. Msingi wa Ubinadamu: Mwili, Nafsi na Roho

Ili binadamu akamilike, anakuwa na sehemu kuu tatu: mwili, nafsi, na roho.

1. Mwili
Mwili ni sehemu ya nje, inayoonekana kwa macho na kuguswa. Ni chombo kinachobeba na kuunganisha sehemu zingine mbili yaani nafsi na roho. Kupitia mwili, binadamu anafanya mambo ya kimwili kama kula, kufanya kazi, kuzungumza, na kuhamasisha mazingira yake.

2. Nafsi
Nafsi ni sehemu ya ndani inayohusisha akili (ufahamu), hisia (emotions), na utashi (willpower). Nafsi ndiyo sehemu inayochambua, kuchagua, kutafakari na kuamua. Inaweza kulinganishwa na "controller" au dirisha la uamuzi yaani, ni sehemu inayopokea taarifa kutoka mwilini au rohoni na kuamua nini kifanyike. Nafsi ndiyo inaongoza tabia, mitazamo na maamuzi ya kila siku.

3. Roho
Roho ni sehemu ya ndani kabisa, kiini cha maisha ya kiroho ya binadamu. Roho ndiyo inaunganisha mtu na Mungu au ulimwengu wa kiroho. Ni katika roho ndipo kunakotokea hisia za kina za ibada, dhamira, na mawasiliano na nguvu za juu. Watu wanaoongozwa na roho mara nyingi huishi maisha ya kutafakari mambo ya kiroho, maadili, na kusudi la juu la maisha.

Uhusiano Kati ya Mwili, Nafsi na Roho

Mwili ndio unaonekana na ni kama nyumba inayobeba nafsi na roho.

Nafsi ni kama controller au sehemu ya uamuzi inayosimamia na kuamua ni sehemu ipi ya mwili au roho itakayekuwa na nguvu zaidi katika maisha ya mtu.

Roho ni chanzo cha uhai na mawasiliano ya kiroho.
Nenda kalale
 
Back
Top Bottom