pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 462
- 265
Kukosoana
Tunashangalia tunapokosoa wengine, wakitukosoa tunaona kama tunavuliwa nguo na uchi wetu kubagazwa; roho ya korosho inatukaa na kuanza kukemea kwa mamlaka yetu.
Mapambio yanaimbwa kwa shangwe lakini nyimbo za kutushinikiza kutubu dhambi zetu hatutaki kusikia Wala kuwaona wa kututumbisha toba hiyo. Basi kama vyote ni dhambi yanini tutumie wenye dhambi kutubarikia?