Mtoto wetu ana miaka 4 Bado anataka kunyonya

Mtoto wetu ana miaka 4 Bado anataka kunyonya

Kaa na kafimbo..

Akija kudai tu ..unachapa miguuni afu unajifanya kulia wewe..

Atakushangaa .. siku mbili tatu anaacha...
 
Acha aendele kunyonya hainashida. Upo uwezekano wakuwa na uwezo mkubwa wa akili, perhaps.
 
Mimi mwenyewe napenda kunyonya na sina mpango wa kuacha.[emoji39]
 
Mimi nakumbuka nina miaka 5 bado nanyonya kwenye chupa kuna mgeni alikuja home akaona tunapewa maziwa kwenye chupa. Kilichotokea hapo ilikuwa mwisho wa kunyonya kwenye chupa, kama sio mgeni yule mpaka leo ningekuwa nanyonya kwenye chupa[emoji6]


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Penye chupa isomeke chupi, curable typing mistakes.[emoji6]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom