Mtoto wetu ana miaka 4 Bado anataka kunyonya

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Ilikuwa ngumu sana kumuachisha kunyonya.
Alinyonya hadi miaka 3 as recommended by doctors.ila bado hadi Sasa anapenda nyonyo .ukilala ukipitiwa unamkuta analo mdomoni. Au mchana tu anaweza tu kuanza kulilia nyonyo
.najua as only child maybe tumemspoil kiaina ila namshukuru mungu yuko poa tu hata class yaani Ni kale katoto miaka 3 alishajua kusoma na kuandika .hatuelewi shida inakuwa wapi dogo anataka kunyonya mpaka lini? Tufanyeje wakuu
 
Ni wa kiume?
 
Itakuwa baba yake ananyonya sana. Si unajua watoto kwa kuiga na kuamini kila anachofanya mzazi ni bora zaidi.
When the mother cow is chewing, the calf will be looking on its mouth
 
Ahaaaa kwani tunafanya mbele yake?
 
Niliweka pilipili ikashindikana
Weka alovera ikashindikana
Nikaweka tomato na plasta anaogopa sana damu.akaona naumwa kweli .ndo akaacha
sasa akitaka kunyonya unamwambia inatoka damu bado inauma halaf ukilala vaa sidiria mpaka atajavyozoea
 
Kulala na bra maziwa yatalala bna.
Nahisi dogo anavutuwa na nyonyo yaani sielewi
 
Beba mimba ataacha tuu..hiyo ni ishara anataka mdogo wke acheze nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom