Mtoto wetu ana miaka 4 Bado anataka kunyonya

Mtoto wetu ana miaka 4 Bado anataka kunyonya

Ilikuwa ngumu sana kumuachisha kunyonya.
Alinyonya hadi miaka 3 as recommended by doctors.ila bado hadi Sasa anapenda nyonyo .ukilala ukipitiwa unamkuta analo mdomoni. Au mchana tu anaweza tu kuanza kulilia nyonyo
.najua as only child maybe tumemspoil kiaina ila namshukuru mungu yuko poa tu hata class yaani Ni kale katoto miaka 3 alishajua kusoma na kuandika .hatuelewi shida inakuwa wapi dogo anataka kunyonya mpaka lini? Tufanyeje wakuu
Mtafutie mwenzie acha ujinga, mpandishe cheo faster aitwe Kaka/Dada
 
Mwambie Baba Yake Anyonye maziwa mpaka yaishe, mtoto akose ya kunyonya ataacha!
Mtoto ananyonya mpaka miaka 4...! Khaaaa..,!
Hahahahaahaha dah! Washindane kunyonya sio? Baba ziwa hili mtoto ziwa lingine
 
Mimi nakumbuka nina miaka 5 bado nanyonya kwenye chupa kuna mgeni alikuja home akaona tunapewa maziwa kwenye chupa. Kilichotokea hapo ilikuwa mwisho wa kunyonya kwenye chupa, kama sio mgeni yule mpaka leo ningekuwa nanyonya kwenye chupa[emoji6]

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Alikufanyeje?
 
... kwetu nyumbani mtoto akizingua anapelekwa kwa Bibi yake, siku akirudi maziwa yamekata kifuani. Mtengenezee mazingira ya kusahau, pia kama kuna sehemu ambayo ni salama anaweza kulala awe analala huko kwa wadogo zake au kama una Mme, Mme awe analala kati kati
 
Inategemea na jinsia mkuu?
Wa kiume ni rahisi sana kwa umri huo,kwa kutumia wakubwa kwake kidogo wa mtaani. Kama hamjalea kwa mfumo wa "juniyaa stoop....juniyaa dont...." mchanganye na hiyo timu,hakikisha na wenzie unawasimulia kuwa mwenzao bado anataka kunyonya,nunua mpira na mwanao awe mtunzaji.... Akipigwa huko usiingilie.
Sisi ilitusaidia sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom